
Leo nimejifunza pia kuhusu Semicolons (;) na jinsi inavyoweza kutesa code isifanye kazi. 🤦♂️
Ni kosa gani lingine la 'kizembe' ambalo ma-beginner wengi wa Java hulifanya sana? Nataka nijikinge mapema! 😂
#JavaErrors #CodingTips #AskTechTwitter"
Indonesia



