Innocent Herman
8 posts

Innocent Herman retweetet

Pia kuna mwanamuziki Avicii, huyu jamaa alikuwa na msururu wa taarifa za mastaa wa Hollywood ambao walikuwa wakifanya mapenzina watoto wadogo na aliahidi yupo njiani kuitengenezea documentary iitwayo Silent Children, wajuba wakamuwahi.
Mwingine ni Marilyn Monroe. Huyu huwa ninamzungumzia sana kuhusu urembo wake na hata mahusiano yako ya kimapenzina rais wa Marekani, John F. Kennedy.
Kilichomuondoa duniani ni kwamba alikuwa na mahusiano mazuri na Wacuba, kwahiyo walikuwa wakimtumia kwa ajili ya kupata taarifa za ndani za serikali ya Marekani, tena zile za siri kabisa.
CIA waliligundua na walijua kwa namna rais alivyokuwa akimpenda huyu manzi, aliuza ramani ya vita kwa adui, wakafanya uamuzi wa kibusara tu, wakamdedisha bila rais kupewa taarifa.

Indonesia











