
Kwenye maisha ya kawaida, huwezi kuweka unga wa ngano kwenye chupa ya maji au maji kwenye gunia.Kila kitu kina chombo chake.
Hata kwenye Java, kabla ya kuhifadhi data,lazima uambie kompyuta ni aina gani ya Data unataka kuweka. Hii ndio tunaita Data Types. 🏷️
#JavaBeginner
Indonesia




















