Sightmirror

71.5K posts

Sightmirror banner
Sightmirror

Sightmirror

@sightmirror

#FFF#

Inscrit le Temmuz 2018
585 Abonnements722 Abonnés
Sightmirror retweeté
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Tanzania Jaji ni mmoja tu Joseph Sinde Warioba. Huyu tunatakiwa kumuombea sana maana anazeeka na integrity yake, hajawai kucompromise.🙏
Hilda Newton tweet media
Indonesia
17
83
398
3K
Sightmirror retweeté
mwananchidr
mwananchidr@mwananchidr·
Tusipoteze watanzania wengi kwasababu ya mtu mmoja
Indonesia
3
39
170
5.5K
Sightmirror retweeté
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Zamani tuliaminishwa kuwa Chadema ni watu wa fujo na maandamano yasiyo na tija . Sasahivi tumegundua kuwa kumbe Hawa Watawala Wana msimamo mkali wa kung'ang'ania madaraka . Hivyo hawawezi kutoka kwa maelewano Ni Lazima walazimishwe ,watolewe kwa Nguvu ya Umma wenye msimamo mkali
Filipino
6
45
180
1.6K
Sightmirror retweeté
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kwisha habari yenu 🔥😁 Mmejichafua kimataifa! Na bado! Nobody in their right mind can believe a single word uttered by Nyalandu! Ludicrous! We have evidence of state backed premeditated massacre! FYi 500 deaths is not insignificant but we know the number is higher! You will be all held accountable!
Sky News@SkyNews

@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?" Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025. 🌍 trib.al/zff6Z7W

English
46
154
553
36.3K
Sightmirror retweeté
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hili zee linatukana vijana hawana uwezo kiakili Pili anasema kulikuwa na maandamano ila ukienda kuandamana unauwawa Nani alikuwa anaua waandamanaji na kwa amri ya nani
Filipino
0
6
25
1.1K
Sightmirror retweeté
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Uchunguzi huru utatupa ukweli sio huu upupu wa Kiande! Kiande anachukua taarifa ya mapolisi ndo anaweka kwenye vipeperushi vyake!!
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
2
33
151
3.9K
Sightmirror retweeté
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Samia alipoamua kumsweka jela Sabaya ili kufunika kombe mwanaharamu apite, kuna watu niliwaambia tunashangilia upumbavu wakataka kunitoa macho😂. DJ ni tapeli wa kisiasa!!
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
2
6
54
1K
Sightmirror retweeté
Kremlin
Kremlin@therealsemsii·
TUNDU LISSU kua SOLID Chadema (Ya sasa/kwa sasa) kunakwamisha mambo ya wengi sana nchi hii..Watawala waovu wanahaha Foreign affairs kwa moto,nchini kwa moto...Wapiga dili ndani ya chama ngoma ngumu..CHADEMA HII YA LISSU imekua kama imani imebeba mioyo ya wengi.
Indonesia
9
106
406
3.9K
Sightmirror retweeté
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Haya mafundisho ni sahihi kwa dini zote. Nyongeza kidogo hata wale wsnaoshuhudia bila kuchukua hatua, ama kushabikia umwagaji wa damu hizo na au kujinufaisha kwa kauli za kuwaunga mkono waliomwaga damu hizo wana hatia.
Indonesia
2
38
122
2.7K
Sightmirror retweeté
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
John Mrema wa CHAUMMA anawajua mpaka walioongea na CHANDE na ndio wanaoifadhiwa na TUME Moja ya watu wanahifadhiwa na Tume ni Tengecha kwa story anazopiga pembeni John Kumbukeni John ana ACCESS nzuri tu na TISS kabla ya Soka kutekwa maafisa waliomfuta kumuonya Soka walikwenda CHADEMA, kwenye kikao ambacho maafisa hao walikaa HQ ya CHADEMA wakati huo alikuwepo JOHN , MWAMBA na hao maafisa wa TISS Kwa maana hiyo John anaposema aliye frame CHADEMA ni Tengecha mimi naamini maana ni mtu anayeshirikiana sana na mfumo na hizi taarifa ametoa huko kwa mfumo Maana siku hizi moja ya eneo ambalo taarifa za TISS zinapatikana sana CHAUMMA, na haya majamaa ni mazumbukuku yakitoka hapo yanakwenda Tumia hizo taarifa kufanya upumbavu Hata tarehe kwamba 23 April inakuwa siku ya kusomwa hiyo taarifa tulipa hapo CHAUMMA, hata mipanga ya Samia kusema mwachie Lissu kisha kuwe na kampeni ya mama ana Huruma ni hapo hapo CHAUMMA, kuna taarifa pia kwamba Abdul anatakatisha pesa kupitia Boxing na team ya Darcity ya basket ball ni hapo CHAUMMA Hii ya sasa ya Tume ya Chande imeliki kutokana na CHAUMMA kupewa mwaliko kwa Salumu mwalimu, hata issue ya Salum mwalimu kutorudisha gani ni ya hapo hapo Sasa wamefika hatua wanapost mambo wanayozungumza na TISS kwenye mawhatssapp, wameshazungumza sana kwenye pombe na nyama. Chande amekwenda ku frame chadema kwa ushirika na Tengecha !!! sasa hii inakuwaje Tume huru ikiwa na political motive za aina hii ? Chande alisema POLISI akipiga mtu risasi anawajibika yeye kwa hayo maamuzi, sasa Swali kwako wewe mzee, Huyo Tengecha ambaye alikuwa anatoa mafundo hayo ya kigaidi kwa watu 500 mbona uko naye yeye awajibiki kwa kufundisha watu ugaidi? yeye ni askari ndiye anajua silaha kwa nini alifundisha watu ugaidi? Mnatuona sisi maboya sana sio? mambo yaliyofanya na polisi anawajibika mtu aliyefanya, lakini mambo waliofanya machawa wenu mnataka futa taasisi, Tengecha anathibitisha vipi alitumwa kufanya haya mambo au nyingi ndio mlikuwa mnamtumia kufanya hayo mambo? Huyu tengecha mwambie aende kutafuta kazi ya kufanya achani kutumia pesa za umma na hawa wajinga, mmetengeza kesi ya uhaini kutumia mapolisi kama Tengecha leo mko na nini ? Mimi mwenyewe huyo Techenga aliwa nitumia message akitaka kuanzisha mazungumzo ya kijinga nikamtia pin, kumbe mlikuwa mnamtumia toka wakati huo, niliona kama ni mjinga mjinga sasa kama mnafanya mipango ambayo mtu kama John anajua si nchi nzima itakuwa inajua huu upuuzi wenu
Think Different tweet media
Filipino
2
29
151
14K
Sightmirror retweeté
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, huyu mtoto aliuwawa kwa kupigwa risasi sababu alilipwa na kupewa mafunzo ya kuandamana. Rest easy, kid. Mioyo yetu inavuja damu🙏🏽😭
Tito Magoti tweet media
Filipino
21
162
766
13.2K
Sightmirror retweeté
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
-DC, DAS, RAS, DSO, RPC, RCO, OCD, OC-CID- CCM - DED wakuu wa idarahalmashauri-CCM -Watendaji kata na vijiji-CCM CCM ni DOLA Msiwatese Watanzania na kuitia nchi aibu. FUTENI MFUMO WA VYAMA VINGI. Watanzania sio wajinga kudai katiba. Pamoja na mambo mengine uongozi usitokane
Indonesia
1
5
24
556
Sightmirror retweeté
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
-Rais Mkiti CCM -Wakuu vyombo vya dola-CCM -Mawaziri/Manaibu-CCM -Makatibu wakuu/Manaibu-CCM -Mwanasheria Mkuu na Wakurugenzi wake-CCM -Jaji Mkuu/Majaji na Wasajili-CCM -Wakurugenzi/Wakuu wa Mashirika-CCM -Wakuu wa vyuo-CCM -Wakuu wa taasisi Hosp, tafiti na mashirika-CCM RC, RAS
Indonesia
10
30
132
3.8K
Sightmirror retweeté
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Watu wanaambiwa kila siku ukiona mtu anafanya mambo ya ajabu ajabu kaa naye mbali Chande ametengenezea report ya kutumwa namna ya kutengeneza sasa anaambiwa ukae utulie umeshasema waandamanaji walibeba bunduki na ushahidi unao Hii report inakwenda maliza kabisa heshima ndogo iliyobaki ya CHANDE Kabudi ni kivuruge, yeye amejiokoa akawasakilizia kina Chande wapenda sifa, sasa kabudi anatumwa kila kona kusema aliyeandika ni Chande
Think Different tweet media
Indonesia
1
19
154
11.3K
Sightmirror retweeté
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨 Wamenasa Kwenye Mtego!‼️ Ripoti ya Tume ya Chande imejibu baadhi ya maswali ambayo hayakuwa na majibu: 👉🏽Kwenye swali la nani aliamuru vikosi viue raia wa Tanganyika, tume imeshindwa kutaja. Ukimya wa tume ni wazi kwamba aliyeamuru ni bosi wao ambaye naye alisisitiza kwamba ripoti ile ni ya kwake na wengine tusijitie kimbelembele kuifuatilia.. Ni dhahiri kwamba hakuna mauwaji ya kiwango hicho yanaweza kufanyika bila ridhaa ya mamlaka kuu. 👉🏽Kulikuwa na hoja Mkuu wa Jeshi la Polisi alipokea maelezo kutoka kwa nani kutangaza hali ya hatari. Swali hili limepewa majibu kuwa raia waliouawa ni 518 waliokufa vifo visivyo vya kawaida yani vya kikatili kabisa na kwingine Jaji Chande alisema waliouliwani 818. Utata huu wa kitakwimu unabidi kutatuliwa na tume huru isiyo egemea upande wowote. 👉🏽Kwenye suala la kuzimwa kwa interneti kulikofanywa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) swali hili lilijibiwa na Samia Suluhu Hassan pale alipoomba radhi kwa Jumuiya ya Kimataifa kwamba ni kweli walizima mitandao tangu Jumatano, Oktoba 29, 2025 kwa siku 6 mfululizo. 👉🏽Suala la nani aliagiza na kugawa silaha kwa wauaji hili pia limejibiwa kwa kusema kwamba raia ndio walikuwa na silaha za jadi ikiwemo mapanga, mishale na mikuki ambazo zisingeweza kufanya mauaji yale ya kimbari tuliyoyashuhudia. Mzigo wamebebeshwa wahanga wa vurugu ya dola dhidi ya raia wasio na hatia. 👉🏽Kuhusiana na mamluki wote wa kigeni na vikosi vya uhalifu vinavyoratibiwa na Idara ya Usalama ambao wametenda uhalifu dhidi ya ubinadamu wamefunguliwa mashtaka gani, tume imekiri kwamba ni lazima kuunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai. 👉🏽Kuna swali kuhusu Tume ya Chande kuficha ushahidi uliokuwa unatolewa na wahanga wa mauaji, tume imeshindwa kujibu. Jibu liko wazi, hawakutaka ukweli ujulikane ili waweze kutoa taarifa wanazozitaka wao. Raia wa Tanganyika hawatatishwa na kauli wala vitendo vya magaidi wa CCM vya kutaka kutawala Tanganyika kwa mabavu. Ripoti ya Chande ni ushahidi usiopingika kwamba mauaji ya halaiki yalitokea, watu wamepotezwa kwa nguvu na zaidi kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu #SamiaMustGo #SamiaAtICC
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
12
109
393
22.5K
Sightmirror retweeté
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Wakati George Orwell anaandika hivi vitabu, mama yake Samia alikuwa hajawaza hata kubeba mimba. Cha ajabu ni kwamba kila sentensi iliyoandikwa kwenye hivi vitabu inamzunguzia Samia, tena pasipo kukosea hata chembe. Kwa mfano, Animal Farm ni Samia mtupu mwanzo mpaka mwisho. 🙌🏿
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
10
48
359
10.4K
Sightmirror retweeté
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Hao Majaji Wakuu hawana historia yoyote muhimu katika Mahakama zetu. Ni CJs wenye nakisi ya jurisprudential values katika nyakati za utumishi wao. Ni watu wa hovyo tu!
Martin Maranja Masese@IAMartin_

Uwepo wa Majaji Wakuu wawili wastaafu katika tume hiyo, ungetakiwa kuleta utimamu wa kisheria na kuziba mianya na mapengo ya kisheria. Ni bahati mbaya sana, hata raia wa kawaida wameyaona mapengo mengi. Tume za uchunguzi wakati mwingine hufanya kazi kwa mujibu wa hadidu za rejea (terms of reference). Hata hivyo, ikiwa matokeo ya tume hiyo yanaathiri haki, mali, au sifa ya mtu, lazima kanuni za haki ya asili zitumike. Ni jambo la kushangaza kuona mchakato wa kisheria au wa kijaji ukikwepa misingi ya kisheria na haki ya asili (natural justice), hususani unapoongozwa na watu wenye uzoefu mkubwa na ubonezi wa juu katika sheria. Katika ulingo wa sheria ya ushahidi, haki ya kuhoji mashahidi (Cross-Examination) ni nyenzo muhimu zaidi ya kupata ukweli. Bila dodoso, mahakama (au hiyo tume) itakuwa inategemea simulizi za upande mmoja. Katika sheria, cross-examination inajulikana kama injini kuu ya kisheria iliyowahi kuvumbuliwa kwa ajili ya kubaini ukweli (the greatest legal engine ever invented for the discovery of truth). Hutakiwi kuikwepa. Bila mtuhumiwa au upande mwingine kupata fursa ya kumhoji shahidi, ushahidi huo unabaki kuwa wa upande mmoja (ex-parte). Tume inakuwa imejenga ukuta badala ya daraja katika kutafuta ukweli na haki. Ushahidi wa aina hiyo kitaalamu unakosa kile kinachoitwa "Admissibility weight" kwa sababu haujafanyiwa jaribio la moto (fire-testing). Mchakato huo unakiuka misingi ya Haki ya Asili (Natural Justice). Katika mahakama nyingi, ushahidi ambao haujapita kwenye dodoso huchukuliwa kama ushahidi dhaifu au wakati mwingine hukataliwa kabisa kwa sababu haujafanyiwa majaribio ya ukweli. Haujapimwa. Dodoso husaidia kufichua uongo, upendeleo, au makosa ya kumbukumbu ya shahidi. Dodoso ndiyo njia ya kupima kama shahidi ni mwaminifu. Je, ana chuki? Je, ana maslahi ya kifedha? Maelezo yake yanalingana? Bila maswali ya dodoso, uaminifu (credibility) wa shahidi hauwezi kuthibitishwa, na hivyo ushahidi wake hauwezi kuwa na probative value ya kumfunga mtu au kumwajibisha. Majaji wastaafu wanafahamu hilo. Kupuuza dodoso ni kuubadili mchakato kutoka wa “kisheria” na kuwa wa “kiutawala” au “kisiasa,” jambo ambalo linafifisha dhana ya utawala wa sheria. Ndiyo wamekwepa kuwataja wahusika wa hayo mauaji. Haki ya Kusikilizwa (Audi Alteram Partem). Hii ni nguzo ya kwanza ya haki ya asili—kwamba hakuna mtu anayepaswa kuhukumiwa bila kusikilizwa. Wametuhumiwa watu na makundi, hawahojiwa. Right to Hearing: Ikiwa tume ilikusanya tuhuma dhidi ya watu fulani bila kuwapa nafasi ya kujitetea (right to be heard), ripoti au mapendekezo ya tume hiyo yanaweza kupingwa kisheria (procedural impropriety). Kwa tume inayohusisha majaji wakuu wastaafu, matarajio ya umma na kisheria ni kwamba taratibu hizi zingefuatwa kwa ukamilifu ili kulinda heshima ya mchakato mzima. Badala yake, hatua zimerukwa Unapokuwa na jopo lenye watu wenye weledi wa hali ya juu (kama Majaji Wakuu wastaafu), tegemeo ni kwamba wataulinda huu mwongozo wa haki ya asili (Natural Justice). Lakini katika tume hii, imekuwa tofauti. Hao mnaosema walipanga, waliratibu, walifadhili waaandamanaji, mmewafikia na kuwahoji? Huo ushahidi usiokuwa na shaka ni ushahidi wa upande mmoja. Kwanini hamjawafikia waliotajwa, na kuwahoji? Kitaalamu, Jaji anafahamu, hukumu au hitimisho lolote linalofikiwa bila kushirikisha upande unaotuhumiwa ni batili kisheria (null and void) endapo itatumika kama msingi wa kutoa adhabu/maamuzi ya kisheria. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

Indonesia
7
47
249
9.6K