@radio_ashe@EmmanuelMatano4#Ashebreakfast
Kumepambazuka Jumatatu njema kwa mke wangu Josephine Lugovani na watoto
Eugene Lugovani
Wallace Lugovani
Dionysus Lugovani
Frankie deh Lugovani
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Happy New Week! Umeamkaje? Mie @EmmanuelMatano4 ni mzima wa afya na niko tayari mjengoni @radio_ashe kuianza wiki kwa mpigo kwenye #AsheBreakfast, Unategea ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
#Mjadala
Lukas(Samburu) Ni afadhali jukumu la afya lirejeshwe katika serikali kuu kwasababu ni changamoto kupata huduma za matibabu katika hospitali zetu zinazosimamiwa na kaunti
@EmmanuelMatano4@radio_ashe#AsheBreakfast
#Mjadala
John(Samburu) Zamani wakati afya ilisimamiwa na serikali kuu, kulikuwa na dawa na huduma za matibabu zilikuwa shwari kabisa. Lakini sasa hali imekuwa ngumu tangu serikali za kaunti zilipochukua usukani
@EmmanuelMatano4@radio_ashe#AsheBreakfast
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! U hali gani? Kumekucha Msikilizaji na ni siku njema ambayo Mungu ameifanya tuifurahie. Tayari @EmmanuelMatano4 nishadunda mjengoni @radio_ashe kukuandalia show bab'kubwa #AsheBreakfast, Unatune ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! Umeamkaje? Ni wakati wa kunyakua baraka kwenye safari ya #AsheBreakfast ambayo imeng'oa nanga, kwenye usukani @EmmanuelMatano4@radio_ashe , Unatune in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! U hali gani? Safari ya #AsheBreakfast ndio hiyo imeng'oa nanga na kwenye usukani ni @EmmanuelMatano4@radio_ashe , Unacheck in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
#devotional