mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur
10.6K posts

mk-sulphur
@MegabeSteven
pharmaceutical personel @youngAfricansSC https://t.co/oxk6gnM0uy
Tanzania 参加日 Mayıs 2023
3.1K フォロー中1.5K フォロワー
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート

Hata kama wazazi wote wawili hawana ualbino, bado wanaweza kupata mtoto mwenye ualbino iwapo kila mmoja anabeba jeni husika. Ualbino ni hali ya kurithi inayotokana na vinasaba na si ugonjwa na wala haihusiani na imani za kishirikina.
#HakiJumuishi | #WatotoWenyeUalbino

Filipino
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート

mk-sulphur がリツイート

Idara ya Usalama wa Taifa Yatangaza Nafasi za Kazi | Ni Mara ya Kwanza Katika Historia ya TANZANIA ift.tt/Z0CJo9E
Indonesia
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..

Indonesia
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート

VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara John Wegesa Heche amemuelezea Marehemu Selemani Bungara(Bwege) kama mtu ambae aliyesimama imara kuwapigania wananchi kila alipopata nafasi huku akiwa hayumbishwi.
Heche amezungumza hayo leo Machi 31, 2026 aliposhiriki mazishi ya Bwege Kilwa Kivinje mkoani Lindi na kueleza kuwa Bwege mwenyewe alimpenda sana Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kutokana na misimamo yake.
Pamoja na hayo Heche ameeleza kuwa kama Lissu asingekuwa gerezani basi siku ya leo angeshiriki mazishi ya Bwege kutokana na kuwa pia yeye alimkubali Marehemu Bwege.
Tazama Hotuba nzima ya Heche Kwenye YouTube yetu ya Jambo TV.
Indonesia
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート

Mungu anaipenda sana CHADEMA. Huyu chalii kachomoka? Honestly, si loss. Alikuwa full liability, yeye kuwa CHADEMA ilikuwa risk zaidi, kama meli za mafuta kupita Strait of Hormuz. Mara tatu nilishataka kumfukuza nikiwa Mkti wa Kanda ya Kaskazini, lakini waliomhitaji wakam-hold. Sasa hivi? POA. He is nothing, buddy.

Indonesia
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート

Natoa pole kwa ndugu, rafiki na jamaa wa Bwege. Nilikuwa naye Bungeni, alikuwa mbunge anayechukizwa na mateso ya watu na mauaji.
Niliongea naye hivi karibuni na kuahidi kumuona siku za karibu, lakini haitowezekana tena sasa. Pumzika kwa amani.
“Kila nafsi itaonja mauti.” Qur’an (3:185)
Kifo kina ukimya unaozidi maneno. Hutufundisha kuwa muda si mali yetu bali ni mkopo. Kinaondoa kiburi cha kesho na kutuacha na ukweli wa leo. Mwisho wa pumzi si mwisho wa maana, bali ni mwanzo wa kupimwa kwa yale tuliyoishi. Tunapomlilia aliyeondoka, tunakumbushwa kuwa safari yetu ina mwelekeo ule ule, na thamani ya maisha ipo katika athari tunazoacha nyuma, si muda tunaokaa duniani.

Indonesia
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート
mk-sulphur がリツイート






















