๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ
3.1K posts

๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ
@Neemaprinmat
Huduma bora za afya kwa jamii Tupo kwa ajili ya maisha yako na familia yako Huduma za mama na mtoto uchunguzi na tiba
Tarime _ Nyamongo ๅๅ ๆฅ Haziran 2025
249 ใใฉใญใผไธญ411 ใใฉใญใฏใผ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ

Follow @akblinding โ
for instant follow back
My Very active supporter ๐ฅ๐๐พ2๏ธโฃ0๏ธโฃ
Stay active on my posts โค๏ธ๐ฅ
(โค๏ธ Like โข ๐ฌ Comment โข ๐ Repost)
I pick 20+ active engagers daily ๐
You can be picked more than once ๐๐ฅ
English
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ

Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2026/25 imepanga kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wapya kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu tarehe ya kupata namba ya utambulisho wa mlipakodi.
Imefafanua kuwa hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya kuvutia urasimishaji wa sekta isiyo rasmi ambayo inaajiri zaidi vijana na wanawake.
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar ameeleza hayo leo Alhamisi Juni 11,2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2026/27 bungeni jijini Dodoma, tukio linalofuatilia mubashara na Rais Samia Suluhu Hassan.
โHatua nyingine ni kufanya maboresho kwenye Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa, Sura 290, ili kuwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kutenga asilimia 15 ya mapato ya ndani badala ya asilimia 10 ya mikopo ya vijana, wanawake na wenye ulemavu,โ ameeleza Balozi Omar.
Balozi Omar amesema kati ya asilimia 15 zitakazotengwa asilimia 10 zitaendelea kuelekezwa kwenye makundi ya wanawake, vijana na wenye ulemavu huku asilimia tano ikitumika kwa ajili ya uwekezaji wa miradi, ujenzi na maboresho ya masoko na maeneo ya ujenzi, biashara na masoko.
โHii itavutia na kuongeza fursa za ajira kwa vijana, wanawake na makundi maalumu,โ amesema Balozi Omar.

Filipino
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ

Uwekezaji Mkubwa wa Maji na Usafiri Kuboresha Maisha ya Wananchi
Serikali imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika huduma za maji na miundombinu ya usafiri, ambapo shilingi bilioni 870.4 zimetumika kutekeleza miradi mbalimbali ya maji nchini, ikiwemo Bwawa la Kidunda ambalo linatarajiwa kunufaisha wananchi wa mikoa mitatu kwa kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama.
Katika sekta ya usafiri, Serikali imetenga shilingi trilioni 2.86 kwa ujenzi na uboreshaji wa barabara, sambamba na kuendelea kuimarisha huduma za reli. Aidha, huduma za usafiri kupitia Standard Gauge Railway (SGR) kati ya Dar es Salaam na Dodoma tayari zimezinduliwa, na kutoa usafiri wa kisasa, salama na wenye ufanisi zaidi.
#HotubaWizaraYaFedha2026/2027

Indonesia
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ
๐ก๐๐๐ ๐ ๐๐๐ฆ๐ฃ๐๐ก๐ฆ๐๐ฅ๐ฌ ๐๐ฉบ ใใชใใคใผใ



















