Sightmirror がリツイート

🙄 Msione yaelea vimeundwa!
Kila mtu alishangaa kauli ya Chande kuhusu vijana kupewa mafunzo kwenye jengo ambalo liko kita 10 kutoka kituo cha polisi
Kumbe chawa wa Abdul katoa code kuwa walilenga @ChademaTZ2 eti jengo la Ufipa
Sasa mzee Chande atueleze kama hiyo ripoti waliandika pamoja na akina Abdul ama inakuwaje? Yaani mtu azuke kutoa details hizi kweli?
Huu upumbavu wenu una mwisho na tunashukuru Mungu kawapiga upofu wanabwabwaja tu
Ila #TutaelewanaTu #SamiaMustGo


Filipino



















