고정된 트윗

When I was young my bestfriend was a girl (wambui). So siku moja tukicheza, nikasema nimeenda kususu hapo kando na pia wambui akasema anataka kususu pia so we went together. Nikiwa nimesimama na susu nikaona wambui ameenda chini(squat). I was like 'weeee acha kukunia hapo' and she was like no na susu, i was so confused. Unasusu ajy nikama unakunia?😂😂 Later that day kurudi home my mother had a really hard time to explain to me cause i wanted to see kwani hio kitu inakaa ajy😂. Ilibidi mzae a demonstrate na ngombe ndio nikatulia.
Filipino















