Mr Reforms💪
6.3K posts

Mr Reforms💪
@BigMon254
Mr Reforms is a passionate and tireless *human rights activist*, committed to advocating for justice, equality, and the dignity of all individuals.✌️✌️✌️✌️
Pwani, Tanzania Katılım Ağustos 2012
782 Takip Edilen38.9K Takipçiler

Kwa mara ya kwanza kula Krismas nikiwa mahabusu, tukiwa mahakamani, binti yangu Brilliant alinipiga moyo kwa maswali ya uchungu !!
Brilliant: “Dad, tutaweza kuja na Mum kula na wewe Krismas huko ?
Mimi: “Hapana, hauwezi kuja!”
Brilliant: “Je, mimi naweza kuja kulala na wewe huko?”
Mimi: “Hapana, haukuruhusiwi!”
Brilliant: “Nikifanya kosa gani, basi naweza kuja kukaa na wewe huko?”
Mimi: “Usiogope, mwanangu, nitakuwa nawe hivi karibuni.”
Brilliant , akalia sana, machozi yakimiminika !!
Kuna uchungu wa visasi mkubwa unaojengwa na kuimarishwa kwa nguvu na Serikali ktk Jamii. Ni hatari sana. Mh Lissu hastahili hata kidogo mateso ya aina hii.

Indonesia

Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo magumu ili kuthibitisha alama za nyakati na tujue tulikuwa na yeye ktk safari ya haki. Ninaiona kesho iliyo bora, yenye heshima na utukufu wa Mungu, maana dalili zote tayari zimekamilika. Basi tusifikiri mabaya juu ya mtu yeyote bali tuendelee kutafakari haki na wala tusichoke kutenda wema maana tutavuna pasipo kutarajia. Mtamshangaa sana Mwenyezi Mungu. Mimi, ingawa ni mdhaifu na sina uadilifu mbele zake, lakini ninautambua uwezo wake usio na kifani. Leo imekuwa siku ya ishara kubwa. Jipeni Moyo Mkuu. Tutavuka salama. Msizimie Moyo.
Indonesia
Mr Reforms💪 retweetledi
Mr Reforms💪 retweetledi

Hashtag yetu #No_Justice_No_Tourists_In_Tanzania
Reli hii itrend hapa X wanangu.
comment hapa: #No_Justice_No_Tourists_In_Tanzania
#No_Justice_No_Tourists_In_Tanzania
#No_Justice_No_Tourists_In_Tanzania
#No_Justice_No_Tourists_In_Tanzania
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia
Mr Reforms💪 retweetledi

@Jambotv_ Walitoka nje? Walifuata mkumbo? Walililipwa fedha? Kipi ni kipi?
Indonesia

VIDEO:
Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini zilizo chini ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) zimewataka vijana na wananchi kwa ujumla kutumia busara, utulivu na kufuata utaratibu wa kisheria wanapodai haki zao, huku zikisisitiza umuhimu wa kuepuka mikusanyiko isiyo rasmi hususan tarehe 9 Desemba 2025 kufuatia taarifa za uwepo wa maandamano.
Akizungumza leo kwa niaba ya Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA wa Mohamed VI, wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam mara baada ya itikaf ya kitaifa iliyoitishwa na Mufti, Amiri Mkuu wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Mussa Kundecha, ametoa wito mahsusi kwa vijana kuzingatia usalama wao na wa taifa.
“Tunawaasa vijana wetu kuitumia siku ya tarehe 9 Desemba kukaa nyumbani na wazazi wao kuliombea taifa letu na kufanya ibada kama sehemu ya kudumisha amani na utulivu wa taifa letu,” amesema Sheikh Kundecha na kuongeza,
“Tunataka Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla pale wanapolazimika kudai haki zao- iwe serikalini au popote pale nchini wadai haki hizo kwa kufuata taratibu na sheria tulizoziweka katika nchi yetu. Kufuata sheria na taratibu katika kudai haki kutahakikisha kwamba haki za Watanzania wengine nazo hazivunjwi.”
Indonesia

@mshambuliaji Walitoka nje? Walifuata mkumbo? Walililipwa fedha? Kipi ni kipi?
Indonesia

“Tumeambiwa kwana Vijana wale walioingia Barabarani, walilipwa fedha kwanza ndio wakaingia barabarani Je, Fedha zilitoka wapi, Tume mkaangalie hayo”____ Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akizindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025.✍️
#KitengeUpdates
Indonesia
Mr Reforms💪 retweetledi

MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU.
NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI.
NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya Ukweli ,Haki na Uwajibikaji.
Sijawahi Amini kwamba katika Taifa letu tunaweza tukawa na Majitu katili kiasi hiki katika mfumo wa utumishi wa Umma.Mungu Awalaani kabisa kila mmoja hadi kizazi chake cha 4.
HUU NI UHALIFU MKUBWA SANA NA HAUTAKIWI KUONEWA AIBU.ALIYE PANGA ,ALIYERATIBU NA ALIYETEKELEZA LAZIMA KWANZA WAWAJIBIKE KILA MMOJA KWA KADIRI YA MATENDO YAKE.
UNYAMA HUU HAUVUMILIKI
BAK MWABUKUSI.
Filipino

@mangekimambi Mtu atae rithiana na Hawa mashetani lazima atakuwa shoga
Indonesia
Mr Reforms💪 retweetledi

OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.
Filipino










