Fatuma Hassan
942 posts

Fatuma Hassan
@FatumaHasni
الله أكبر a Servant of God Global Youth Leader Simba + Barcelona Fan
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2024
149 Takip Edilen24 Takipçiler
Fatuma Hassan retweetledi
Fatuma Hassan retweetledi
Fatuma Hassan retweetledi
Fatuma Hassan retweetledi

@AdvocateSailenc @Blesaingthomas @ChademaTZ2 @HecheJohn @HildaNewton21 @JohnKitokavo08 @MariaTshe @MariaSTsehai @MMtenya94734 @ShijaShibeshi @OAliko15511 MUSOMA - MARA ZIARA YA MWENEZI CCM TAIFA
Indonesia

BREAKING: Tuliwaletea taarifa kwamba Samia ataondoa wote wanaoonekana kuwa mashahidi ICC. Wambura ni shahidi namba moja, ni muda sasa hajaonekana nyumbani kwake Mbweni. Kama atapona, amshukuru Mungu, ila Taarifa tulizonazo, zinatia hofu. MAFWELE, nadhani unasoma #TanzaniaLeaks.

Indonesia


Eti huyu ndie mlezi wa vyama na demokrasia nchini?
1. Hajui maandamano ni tukio la kisiasa.
2. Tena hajui ni haki ya kikatiba kwa vyama na taasisi zote.
3. Hajui alichosema @HecheJohn ni shinikizo kwa serikali kumwachia mkiti wake.
4.Hajui watu bado wanavuja damu ya 2025.
sultan@chapanombombwi
Nimeipenda sana sababu ya kwanza inayotaka kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo duniani 😁😁😁 Kama ninyi mnaotazamwa na kila mtu ni wapumbavu namna hii, basi nchi ina takataka nyingi sana. Nataka niwatoe wasiwasi kuwa takwa la kuandamana kwa ajili ya Tundu Antiphas Lissu si takwa la Chadema pekee, bali ni takwa la wananchi wa Tanzania. Kwa hiyo, kama mnadhani kuifuta Chadema kutaondoa wito huo, basi nyie ni wajinga kiasi cha kutosha! NB: Chadema ni chama cha wananchi, Chadema ni imani, na kamwe hamtakifuta wala kukiondoa Chadema ✊✊✊
Indonesia

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewafikisha Mahakamani mlinzi (baunsa), Yohana Peter (22) pamoja na mfanyakazi wa usafi, Hamis Mussa (27) waliokuwa wakifanya kazi katika baa ya Las Vegas, wakituhumiwa kwa mauaji ya Mzafuru Yunusu baada ya kushindwa kulipa bili ya shilingi 8,000.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 28, 2026, na washtakiwa wamerejeshwa rumande.
Indonesia

Mark the deadline for the May 2026 intake!
Deadline for application is 16th May 2026.
The Office of the Academic Registrar UTAMU warmly invites the public to secure their study place at UTAMU. Call now: 0750599736, 0770884643, admissions@utamu.ac.ug
@UTAMU_News
@baryamureeba
English



































