luanda

1.4K posts

luanda

luanda

@GeofrayLuanda

Mtoto wa mamantilie| Simba sc| kabighushikabigham

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2019
419 Takip Edilen174 Takipçiler
luanda retweetledi
Sevilla FC
Sevilla FC@SevillaFC_ENG·
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿 An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Sevilla FC tweet media
English
262
1.2K
9.4K
154.6K
luanda retweetledi
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Its sad as a Nation hatuna mijadala ya Elimu yetu tunataka iweje na izalishe watu wa namna gai, Mh Waziri ana table budget ya wizara waheshimiwa wabunge wanayochangia unawaza kama wamemsikiliza vyema mwasilishaji? Tunafikiaje TDV 2050 kamą yaliyoandikwa hatuyajadili Bungenigeni
Indonesia
2
1
8
578
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
Superb goal from Tanzanian Premier League. 🙌🏿🔥
English
24
291
1.5K
27.1K
luanda retweetledi
Richard Mabala
Richard Mabala@MabalaMakengeza·
Kwa nini kila mara.tunaongelea Oktoba 29 tu kana kwamba mauaji yalifanyika siku moja tu wakati wa maandamano? Mauaji hayakuendelea.katika siku zilizofuata bila hata harufu ya maandamano?
Indonesia
22
104
487
12.3K
luanda
luanda@GeofrayLuanda·
@PolycarpMDM @bajabiri Ukishakua kiongozi kazi yako sio kumsaidia watu, badala yake ni kuondoa vikwazo vya kimfumo ili watu wapate Msaada kutoka kwenye mfumo hata kama wewe haupo, mtu Hufa ila mfumo hubaki
Indonesia
1
0
4
838
luanda retweetledi
FailiKali TZ
FailiKali TZ@KwanzaFaili·
@MwananchiNews Huduma si fadhila, ni haki. Mifumo iwe kwa kila mtu, si wenye cheo tu.
Indonesia
0
1
7
1K
luanda retweetledi
Crazy Kennar
Crazy Kennar@crazy_kennar·
HOW AFRICAN GOVERNMENTS HUSTLE FOR FUNDS 😂😂😂😂😂
English
970
7.8K
25.4K
630.7K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kuna mwanangu mmoja alinipa hii lesen since mwaka jana halafu nikamuazima hela naona ananizungusha kunilipa hebu niambieni hii ni leseni OG kweli au nimeshapigwa za utosi 💔🥹
Narrowbeefly tweet mediaNarrowbeefly tweet media
Filipino
21
8
113
14K
luanda
luanda@GeofrayLuanda·
@EduTalkTz Ukweli mchungu Sana ,lakini ndio dawa
Filipino
0
0
0
11
luanda retweetledi
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mchawi ni uwekezaji tu, hakuna muujiza mwingine. Hauwezi kufundisha watoto TEHAMA kwa kuwachorea kompyuta ubaoni halafu ukategemea wawe creative. Creativity ni zao la kujamiiana kati ya mwanafunzi na learning tool. Interaction kati ya learning tool na mwanafunzi ndiyo inayotoa fursa ya mtoto kujararibu kile alichofundishwa na kukiongeza kulingana na talanta yake. Nenda Singapore, China, Finland, South Korea etc., uone wenzetu wanavyohangaika kuwekeza matrilioni ya fedha ili watoto wao wapate nafasi kujamiiniana na tools za kujifunzia na kukuza creativity. Hauwezi kuchochea ubunifu wala gunduzi katika mazingira ambayo darasa moja lina wanafunzi 100 na mwalimu mmoja anayetegea vitabu 12 tu pasipo nyenzo nyingine yoyote ile ya ufundishaji na ujifunzaji. Hauwezi kutengeneza creative human capital katika mazingira mayo 24/7 watoto wanakomalia madesa ya Mwalimu ambayo na yeye aliyakopi kwa Mwalimu mwingine. Hauwezi kutengeneza creativity katika mazingira ambayo njia pekee ya kuchochea ukuaji wa maarifa (learning reinforcement) ni ku-solve maswali ya NECTA. Hauwezi kukuza creativity katika mazingira ambayo faculty nyingine zote kama vile vipaji vya mziki, michezo, uigizaji, na mengineyo, vyote umevizuia kudevelop kwa sababu ya kuwa busy ku-cover matini ya NECTA. Creative human capital ni zao la uwekezaji aggressive, sio porojo. Sasa Tanzania pesa ya kuweka kompyuta, maktaba, maabara, karakana, na vifaa vya michezo ndio hiyo tumeamua kuitumia kugharamia anasa za viongozi kama vile mishahara kufuta ya wabunge na affluence za watawala, unategemea creativity ishushwe na Mungu???🤔🤔 Tutaendelea kulalia kitanda tunachokitandika mpaka tupate akili.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
6
18
81
2.1K
luanda retweetledi
The Kenyan Vigilante
The Kenyan Vigilante@KenyanSays·
"‘Je, umeua ukatamalaki?’" this verse from the Bible was read in front of Tanzania President Samia Suluhu during the requiem mass of former Catholic Cardinal Polycarp Pengo in Dar es Salaam.
English
30
235
859
49.4K
Joe boy
Joe boy@MartineMasalu·
@EduTalkTz Tukiacha wivu kenyans are very sharp minded
Eesti
3
0
3
433
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
The guy knows his subject well, wish I could borrow his composure!!
English
6
37
196
16.1K
Munishi Renald
Munishi Renald@MunishiRenald·
Nchi ambayo utajiri unapatikana kwenye siasa, na matajiri hao hakuna thamani yoyote wanatengeneza kwenye jamiii, hii nchi iache kuwaza kabisa kupata maendeleo.
Indonesia
12
27
170
3.7K
luanda
luanda@GeofrayLuanda·
@EduTalkTz Watakwambia wanaenzi utamaduni wetu 😂😂😂
Indonesia
0
0
0
17
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Gari ya Mkuu wa Mkoa Milioni 640 Gari ya Katibu Tawala wa Mkoa Milioni 640 Nyumba ya Mkuu wa Mkoa Milioni 500+ Nyumba ya K/Tawala Mkoa Milioni 500+ Gari ya Mkuu wa Wilaya Milioni 250 Nyumba ya Mkuu wa Wilaya Million 500 Gari ya Mkurugenzi Millioni 250 Nyumba yaMkurugenzi Mil 500
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
17
75
308
7K
Mulastar
Mulastar@Mulastar255·
@GeofrayLuanda @MarekaMalili Basi wewe jua hilo la sehemu halafu Mimi niache na la wakuu wake wakubwa tuone kwa maisha ya sasa kama utatoboa
Filipino
1
0
0
63
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Idara ya Maji uwa wanajiendesha kwa kutegemea bill za wateja eeh? No way watu 10 wanakuja kukutishia kukata maji bill ya 12k 🙌🏼
Indonesia
33
32
641
33.1K
luanda
luanda@GeofrayLuanda·
@Mulastar255 @MarekaMalili Kama hvo nisawa, ingawa kuripoti unatakiwa kujua ofisi tuu anapotoka mtoa huduma na si kumjua kiongozi
Indonesia
1
0
0
54
Mulastar
Mulastar@Mulastar255·
@GeofrayLuanda @MarekaMalili Sio hivyo, ninachomaanisha uweze kuripoti linapotokea swala kama hilo ili waweze kuwajibishwa iwe funzo kwa wengine
Indonesia
1
0
1
137
luanda
luanda@GeofrayLuanda·
@Mulastar255 @MarekaMalili Nchi itaenda Kweli kwa utaratibu huu 😂, kwamba hupati huduma nzuri mpaka ujuane na kiongozi ,tunaua uwajibikaji na tunafanya ndio mfumo wa maisha, doooh!
Indonesia
1
0
1
132
Mulastar
Mulastar@Mulastar255·
@MarekaMalili Sio kwa ubaya ila inabidi muwe na connection hata ikiwezekana ya ofisi za mawaziri kwa vile vitengo kama maji, umeme, huduma za afya... Cs wafanyakaz wa hizo sekta baadhi Yao wanakiuka maadili ila wakijua unajuana na watu wa juu basi utatreatiwa kama mfalme.
Indonesia
3
2
8
2.1K