Gilbert Vitalis

161 posts

Gilbert Vitalis

Gilbert Vitalis

@GilbertVialis

Katılım Temmuz 2023
139 Takip Edilen16 Takipçiler
John
John@CountOfManila·
@rawknuckle Did everything he could with the little resources and know he has and still able to raise 3 children to become good human beings and successful professionals. Absolute G of a Man.
English
2
4
75
3.7K
RAW
RAW@rawknuckle·
Growing up is learning your dad was even more of a G than you even knew
English
57
2.1K
13.6K
274.6K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
GEORGE ANAHITAJI MSAADA WAKO ILI AWEZE KUTEMBEA TENA. Huyu anaitwa George Wayanga aliwahi kuwa Katibu wa BAVICHA Wilaya ya Chunya kipindi cha 2014-2019 na amekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Chunya 2019-2024. Siku za hivi karibuni alipata ajali iliyopekea kukatwa mguu wake kwasasa anatumia magongo ili aweze kutembea. George anahitaji msaada wa hali na mali ili aweze kupata mguu bandia ambao gharama yake ni TSH 2,200,000/= Hivyo tunaomba mchango wako kiasi chochote ulichojaliwa na Mungu ili George aweze kupata mguu bandia ambao utamuwezesha kutembea na kuendelea na shughuli zake za kila siku. Mchango wako unaweza tumwa kwenye hii namba M-PESA 0760638604 Jina: George Wayanga. Natanguliza shukrani za dhati.🙏🏻
Hilda Newton tweet media
Indonesia
43
428
1.4K
58.4K
Gilbert Vitalis retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kati ya watu niliowai kukutana nao na sio waoga basi ni @fbuyobe sijawai kuona hofu yoyote usoni kwake. #FreeBuyobe
Indonesia
10
215
1.4K
26.5K
Gilbert Vitalis retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
It’s already a big new’s Keep tagging meta folks , this is Injustice Repost 908 @Meta
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
English
137
1.4K
2.9K
69.3K
Gilbert Vitalis
Gilbert Vitalis@GilbertVialis·
@fintanjr_ Kwamba CNN iseme serikali ilichokozwa ikaamua kuua? Cha kutuunganisha kama taifa ni uwajibikaji wa wauaji, ukweli, katiba mpya sio report za CNN Na unasemaje hufungamani na upande wowote wakati Kuna kundi linaonewa na Kuna watu wamekufa bila hatia?
Indonesia
0
0
0
18
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Sina chama, sifungamani na lolote ila kwenye report ya CNN kuna bias.. lolote linalofanyika bhasi litusaidie kama taifa na sio kutuvuruga zaidi.✍.. Na huu ni mtazamo wangu, wenye akili karbuni kwa hoja, hopeless karibuni kwa matusi🤝
The champ👑 tweet media
Indonesia
75
11
71
10K
alinamdaj
alinamdaj@m_king100·
@fredkavishe Hicho kitu Tanzania kinaingilia sikio la kulia linatokea sikio la kushoto,kama kweli haya yatakuwepo mimi ni muislamu lakini kati ya mufti na gwajima namsaidia gwajima bila kusita,kwani sio mnafiq ati mufti anakula rushwa atetee ujinga halafu anishawishi nini mimi.
Indonesia
2
0
11
503
Fred Kavishe
Fred Kavishe@fredkavishe·
Wakubwa kete ya Udini ni mbaya sana msiiendekeze naona unasukumwa kwa kasi sana.
Filipino
49
66
394
16.6K
Munishi Renald
Munishi Renald@MunishiRenald·
Rais anamuagiza DPP kama nani? This is why we need a new constitution.
English
46
159
1.4K
81.2K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
@gabyconscious Waziri ni mtu wa sera tu kaka kuna watendaji ambao ni brain kwa maana ya wataaluma wala makatibu wakuu ma watendaji asa huyo kama anaweza kufanya managerial functions
Indonesia
17
0
3
5.3K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hii ni convo ya tarehe 4 Nov 2025 Nikasema au dogo ananipanga.
Lubasha Jr tweet media
Indonesia
35
133
694
35.5K
Hassan Kibwana
Hassan Kibwana@HK_Mtaasisi·
@GeofrayLuanda @MunishiRenald Wanaoitaka katiba mpya ni Wanasiasa wa upinzani, wakidhani kuwa itaweza kuwa na mianya ya kuwarahisihia wao kuingia Madarakani, Wananchi wa kawaida haja zao ni kuboreshwa kwa huduma za kijamii na miundombinu ili wawe na unafuu katika maisha yao ya kila siku.
Indonesia
2
0
0
205