Jacqueline Machangu
120 posts

Jacqueline Machangu
@JMotcho
Country Officer International Fund for Agricultural Development IFAD/All views are my own



Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Mkutano wa 48 wa Magavana wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) unaofanyika tarehe 12-13 Februari 2025, mjini Roma, nchini Italia.

MOA, UN PARTNER TO LAUNCH PROGRAMME ON DATA FOR DIGITAL AGRICULTURAL TRANSFORMATION Permanent Secretary of the Ministry of Agriculture, Mr. Gerald Mweli on 25 October 2024, launched a Joint Programme on Data for Digital






📍Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Dkt. Aboud Suleimani Jumbe akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo Duniani (IFAD) pamoja na timu ya Uratibu wa Programu ya AFDP Ofisini kwake baada ya Kumaliza utembeleaji wa Miradi ya Maendeleo inayofadhiliwa na shirika hilo kwa Visiwa vya Pemba na Unguja. 📸:O/Waziri Mkuu




























