Jeff

565 posts

Jeff

Jeff

@Jeffdizle

Pwani, Tanzania Katılım Mart 2021
740 Takip Edilen104 Takipçiler
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Adam Mchovu kabia juu hapo hapo 📌
Indonesia
11
38
349
20.9K
Môshkï
Môshkï@Mr_Moshki·
Hawa wanaume hukuwa na ndevu mingi na wamenyoa kipara hawananga akili hata kidogo
Filipino
124
286
2.3K
79.1K
OG OUTFITS❤️💃
OG OUTFITS❤️💃@og_outfits·
Kofia zimebaki chache mnoo🔥🙌🏻 16000 tu
OG OUTFITS❤️💃 tweet media
Polski
4
25
46
2.9K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Baada ya kukamilika kwa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa benki (Core Banking System) ndani ya saa 72, Benki ya CRDB imewahakikishia wateja wa benki hiyo kuwa fedha zao zipo salama na huduma zote sasa zinapatikana kama kawaida. Wateja waliokuwa na wasiwasi juu ya salio kusoma sifuri kwenye akaunti zao au upatikanaji wa huduma wametakiwa kuwa watulivu kwani mabadiliko hayo yalikuwa ni ya kiteknolojia, yakilenga kuimarisha zaidi huduma kwa wateja wa ndani na nje ya nchi. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, amesema zoezi hilo la kiufundi lilihusisha uhamishaji wa taarifa zote muhimu za wateja kutoka mfumo wa zamani hadi mpya bila kupoteza taarifa yoyote. Amesema zoezi hilo lilifanyika kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha usalama wa taarifa na fedha za wateja unazingatiwa kwa viwango vya juu kabisa. “Tulifanya kazi usiku na mchana kwa saa 72 kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Sasa mfumo mpya uko hewani, na huduma zote zimerejea kwa ubora na kasi kubwa zaidi,” amesema Nsekela. Ameongeza kuwa Benki ya CRDB ambayo inaendelea kupanua huduma zake kimataifa ikihudumu nchini Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), na sasa ikiweka mikakati ya kuingia sokoni Dubai, imesema haikuwa na budi kuboresha mfumo wake ili kukidhi mahitaji ya kimataifa. Amebanisha kuwa Mfumo mpya unaiwezesha benki kutoa huduma zenye usalama zaidi, ufanisi wa hali ya juu, na uwezo wa kuongeza huduma mpya za kidijitali kwa urahisi zaidi. Katika mchakato wa mabadiliko, baadhi ya huduma zilisitishwa kwa muda, ikiwemo huduma za matawini na baadhi ya njia mbadala kama CRDB Wakala, SimBanking na huduma za mtandaoni. Nsekela amesema hatua hiyo haikuwa rahisi lakini ilikuwa ya lazima ili kutoa nafasi kwa timu ya wataalamu kukamilisha mchakato kwa mafanikio. Kwa upande wake, Afisa Mkuu wa Uendeshaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile, amesema mabadiliko hayo yameweka historia mpya kwa taasisi hiyo kwa kuwa sasa wateja wanaweza kupata huduma katika lugha wanayoitaka na kufanya miamala kwa sarafu mbalimbali kulingana na nchi au mahitaji yao. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet media
Filipino
19
7
200
31.2K
Jeff
Jeff@Jeffdizle·
@swahilitimes Asa uku unafanya nn, kashinde na Kalia kule
Indonesia
0
0
0
127
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Ninawahakikishia Watanzania, Serikali itabeba gharama zote za klabu ya Tanzania itakayoshiriki Klabu Bingwa Afrika hadi kombe lije nyumbani." - Salum Mwalimu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHAUMMA
Swahili Times tweet media
Indonesia
82
17
350
28.4K
Jeff
Jeff@Jeffdizle·
@bedjosessien Yanga, simba,Azam & Singida began investing competitively in their teams by by signing players of international calibre , hiring experts to manage the teams, offering appealing salaries to the players.
English
0
0
4
1.6K
Collins Okinyo
Collins Okinyo@bedjosessien·
Yanga sponsorship deal with Sportpesa is Tzs 21 billion equivalent to $8,348,629 for 3 years Yet in Kenya 🇰🇪 if you look at FKF deal with Sportpesa equates to a minimal sum for clubs. Why are Tanzania 🇹🇿 clubs good negotiators than Kenya 🇰🇪 clubs and federation and they both deal with Sportpesa? @soka25east
Collins Okinyo tweet media
English
95
81
1.6K
114.1K
Jeff
Jeff@Jeffdizle·
@EduTalkTz Ww jamaa nimejiridhisha vitabu vyako copy & paste
हिन्दी
0
0
0
152
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kuna tofauti kati ya kudhani mtu ni mpumbavu (unaweza kumpa benefit of doubt) na kudhibitisha kuwa mtu ni mpumbavu. Ni ajabu sana kwamba Mhe. Mbowe aliporomoka kutoka kushauriwa na watu kama Prof. Baregu mpaka kufikia washauri wa aina hii.
Indonesia
33
23
163
7K
Jeff
Jeff@Jeffdizle·
@BillyTronix1 Dar na Dodoma zimeifanya Morogoro idumae,Viongozi wakitoka Dar destination wanaiwazia Dom. Na wenyeji wana mentality kua wapo Dar wanaisahau nyumbani
Indonesia
0
0
1
96
Billy
Billy@BillyTronix1·
Mtu aliyepita Morogoro mjini miaka 15 iliyopita na akipita leo hawezi ona tofauti yoyote huu mji ni kama umerogwa!
Tanzania 🇹🇿
134
67
1.5K
102.4K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Hawa ni baadhi ya maprofesa waliopitishwa: 1. Prof. Ester William Dungumaro (Jimbo la Korogwe Mjini) 2. Prof. George F. Kinyashi (Jimbo la Korogwe Vijijini) 3. Prof. Mangasini Atanas Katundu (Jimbo la Kaliua) 4. Prof. Norman Adamson Msigala (Jimbo la Makete) 5. Prof. Noah Makula Pauline (Jimbo la Magu) 6. Prof. Edwinus Chrisantus Lyaya (Jimbo la Magu) 7. Prof. Palamagamba Kabudi (Jimbo la Kilosa) 8. Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo (Jimbo la Musoma Vijijini) 9. Prof. Neema Penance Kumburu (Jimbo la Moshi Mjini) 10. Prof. Patrick A. Ndakidemi (Jimbo la Moshi Vijijini) 11. Prof. Pius Yanda (Jimbo la Buhigwe) 12. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako (Jimbo la Kasulu Mjini) 13. Prof. Obadia Venance Nyongole (Jimbo la Mufindi Kaskazini) 14. Prof. Alexander Kitila Mkumbo (Jimbo la Ubungo) 15. Prof. Kokel Letia Melumbo (Jimbo la Ngorongoro) 16. Prof. Daniel Mrisho Pallangyo (Jimbo la Arumeru Mashariki)
HT
28
4
92
11.7K
UD-BOY ⚡️
UD-BOY ⚡️@udsm_finest·
Wanangu wa Backbencher Andika Law moja ya Kisayansi unayoikubali zaidi. Naanza "Energy cannot be created or destroyed it can only be transformed from one form to another." -1st Law of Thermodynamics * Tuendelee...👇
English
84
47
653
65.6K
Doctor Mayani
Doctor Mayani@doctormayani·
ukiona hii jezi unamkumbuka mchezaji gani
Doctor Mayani tweet media
75
5
254
18K
Jeff
Jeff@Jeffdizle·
@swahilitimes Sema mama akimuamini mtu ashamuamini Mbona watu tupo wengi wa kumreplace mjomba
Indonesia
0
0
0
96
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Samia Suluhu amesema Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ataendelea kufanya kazi katika kusimamia mipango ya maendeleo, licha ya kuomba kupumzika.
Indonesia
13
25
390
9.4K
MrBlack™
MrBlack™@KE_MrBlack·
Mention your HIV positive friend just to make them feel special 🎗️
English
622
328
3.8K
377K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema chama chake hakitashiriki mpango wa kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama ilivyopendekezwa na CHADEMA @ChademaTZ2 , kwa sababu historia imeonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) @ccm_tanzania hakijawahi kutikisika hata pale vyama vya upinzani vinapoungana kususia uchaguzi. Akizungumza Jumanne katika Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam, Ado Shaibu @AdoShaibu amesema chama hicho kitaendelea kuamini katika mikakati ya kukabiliana na CCM kwa njia ya kisiasa kupitia sanduku la kura, badala ya kususa uchaguzi. “Wanaosema wapinzani tukiungana kususia uchaguzi CCM italeta mabadiliko, sielewi wanazungumzia CCM ipi! CCM hii ya Rais Samia na Nchimbi au CCM ya China?” amehoji Ado. Akikumbushia historia ya kisiasa ya hivi karibuni, Ado amesema kuwa mwaka 2016 vyama vinne vya upinzani chini ya mwavuli wa UKAWA, pamoja na ACT Wazalendo, vilisusia uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar. Lakini licha ya hatua hiyo ya pamoja, alidai kuwa CCM haikuonesha kuguswa na badala yake iliendelea na mchakato wa uchaguzi kama kawaida. “ACT Wazalendo tulikwenda mbali zaidi hadi tukamsimamisha Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu alipotaka kushiriki uchaguzi huo. Lakini CCM haikujali. Dawa ya CCM ni kukomaa nao kwenye uchaguzi, siyo kuwakimbia,” amesisitiza.
Indonesia
53
9
37
6.5K
Jeff
Jeff@Jeffdizle·
@spana_Konki Mbona hii rahisi jombaa Fallac..profit or loss= Total salary income-Total expenses
Català
0
0
0
289
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
There is a club in East Africa that recently approached Rulani Mokwena to become their next head coach. 🚨📰 He welcomed the approach respectfully, but after a few discussions, it became clear that the club lacks even basic facilities like a proper training pitch. Despite projecting a big image on social media, they are dealing with several internal issues. Given the circumstances, it was difficult for Mokwena to accept the offer. A wise decision by the South African tactician — better to learn from the past than walk into failure. #AfricanFootball
Micky Jnr tweet media
English
300
106
1.8K
158.1K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
KIJANA/MTOTO WAKIUME 1.Haupendi Mpira 2.Haunywi Pombe 3.Haupendi Mademu 4.HauBet 5.Hauvuti Bangi 6.Haupendi Muziki 7.Hupendi PS 8.Haupendi Magari Mwanetu Starehe Yako ni Nini.?? 🤧🤧🤧
Eesti
150
57
785
48.4K