Last pharaoh
344 posts

Last pharaoh
@Lastbornpharaoh
The Virgo King, 2002. @mancity💧 @yangasc 🍀@fcbarcelona 💈@spain📌 @argentina🎄


Cristiano Ronaldo, in tears after scoring a brace… and the Saudi Pro League title is coming. 🏆🔜








Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi . Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media . Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani . Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss . Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all . Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE " The World is Yours " GEORGE AMBANGILE 🤝


Wilaya 5 Maarufu kuliko Mikoa yake! 1. Tarime 2. Moshi 3. Songea 4. Kahama 5. Sumbawanga Ongezea Wilaya moja Tuone?





















