Laz King

1.4K posts

Laz King banner
Laz King

Laz King

@Laz_king99

Man of Animal health | Vetenarian | content creator | young african fan and Arsenal fan

Tanzania Katılım Eylül 2021
709 Takip Edilen388 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Laz King
Laz King@Laz_king99·
Dagaa niwatamu sana, ila ukiachana na harufu ya pilau kwa jirani
Filipino
0
0
2
0
JOHN II
JOHN II@ze_asylum·
@SeekNaturalLife Kaka mimi nililiwa hela na ndugu yangu na huku akijua fika hio hela aliyoila ndio hiohio niliokuwa nayo
Filipino
2
0
1
615
Tujifunze silaha za kivita.
Tujifunze silaha za kivita.@SeekNaturalLife·
Mimi Sina kitu ni hoehae ila nimekifunza vingi sana hii Dunia, watu wana roho mbaya sana, haswa wakiwa kwenye mfumo hawatamani wengine waingie huko. Siku moja nilielekezwa na mjomba wangu mmoja niende ofisi Fulani Yuko jamaa yake ana uwezo wa kunisaidia kuwa recruited pale...
Indonesia
15
17
229
16.5K
Laz King
Laz King@Laz_king99·
@Thereal_Kabote shot sana sasa nikamlia buyu mazima kila akinitext buyu akipiga buyu asa waku nimezngua au imekaaje hii?
Indonesia
0
0
1
21
TUNECHI🇦🇺
TUNECHI🇦🇺@Thereal_Kabote·
Ushauri wangu Usijibu hiyo sms Kwa sababu PEACE HIT DIFFERENT WHEN YOU HAVE NOTHING TO PROVE Ukiweza pia Kaa kimya Kaa mbali kabisa na chochote kinachomuhusu
Indonesia
4
0
7
327
Laz King
Laz King@Laz_king99·
@Thereal_Kabote Mi kuna dem mmoja nilikuwa namfukuzia sasa nikampata, mwanzoni alikuwa anaeleweka vizuri tu maana tulijuana mda mchache yeye akarudi zake chuon ni mkoani, sasa juzi kati vyuo vilipokuwa vinakarbia kufungwa nikawa namcheki akawa arespond siku mbili tatu akawa anajibu fresh ila
Filipino
0
0
1
20
agunda_v
agunda_v@MoSalahVinnie45·
Sai watu 50 tukiguziana we call it a day hata jioni hakuna haja ya kurudi drop your handles tuguziane my fellow small wigs.
Indonesia
176
80
354
6.7K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Nakumbuka Baada ya kumaliza form 6, nikajikaza kwenda kureport kambi moja kule songea, kama mnavyojua " mujibu wa sheria".. Tukareport , picha linaanza tumelala saa 6 saa 7 tunaambiwa kumekucha,. Unajiuliza kumekucha vipi na hili giza, wanasema hilo giza ndio kukucha kwenyewe,.. Bhasi bhana kati ya tulioreport alikuwepo jamaa ana kichwa kirefu, hakuwa mlemavu ila alikuwa na kichogo kirefu,..wakawa kila muda wanampiga makofi , wanamwambia wanataka wamuue ili asije akaendeleza kizazi chake😂💔,.. jamaa mwisho akatoroka usiku sana ..
Indonesia
142
62
541
28.3K
LI BRO STIMA ⚡
LI BRO STIMA ⚡@JosmanStima·
Nataka Tuanzishe X familia ya kusaidiana Online na Offline hata kiuchumi....Jambo muhimu ni kuengeji kwa familia ,kufolo &Fb Kufungua Space za mijadala na story mbali mbali.. Kama upo teali? coment Emoj yoyote.
Indonesia
64
25
150
9.8K
Timber TZA
Timber TZA@Timbertzaa·
Una uhakika tatizo lako ni MTAJI tu? Tukikupa saa hizi milioni 100 tukaja baada ya miaka 5 una uhakika tutazikuta hizo milioni 100 na nyingine ulizozalisha?
51
32
296
18.5K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Hujashika simu siku nzima upo bize na kazi unakuja kuangalia simu jioni unakuta hakuna missed calls wala meseji whatsap zaidi mameseji ya voda tu na watu wa mikopo hapo ndio utajua unaishi maisha ya upweke sana 😃
Indonesia
21
30
384
18.8K
Laz King retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
SUBRA. Giza halikai milele, na Mungu hakuachi njiani.
Indonesia
12
100
519
10.7K
Laz King retweetledi
Maisha_Halisi
Maisha_Halisi@hassanially1996·
⚠️ Zitakuwepo Siku Ngumu kwenye Maisha Yako ila Hazitadumu, Usiache Kusali na Kuvumilia..🙏
4
74
498
9.8K
Laz King retweetledi
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Mkumbushe mwanao kwamba 👇🏽 Kuwa HAI ni fursa ya kurekebisha mahusiano yako na MUNGU 🚶🏾‍♂️
Indonesia
21
101
597
8.6K
Laz King retweetledi
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
Watu watatu wana mtaji unaofanana. Kila mmoja anafuga kuku 500, lakini miradi yao ni tofauti Wa kwanza anafuga kuku wa nyama/Broilers 500 Wa pili anafuga kuku wa mayai/Layers 500 Wa tatu kuku wa kienyeji 500 Je, kati yao, nani atapata faida kubwa mapema? Kwa nini?
Indonesia
51
50
561
39.1K
Laz King retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Kumbuka kujitunza na kujijali wakati mwingine unakuwa busy sana kuwajali wengine hadi unasahau kwamba wewe pia ni muhimu.
Indonesia
8
45
352
10.8K
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Bro to bro Kitu cha kweli kabisa unachoweza kujifanyia ni kujituma kwa nidhamu kubwa na kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yako. Usisikilize kelele za nje, usitafute visingizio, wala usilaumu mtu weka macho kwenye matokeo. Usikate tamaa hata mambo yanapokuwa magumu wewe pambana hadi dakika ya mwisho. Kumbuka, jukumu la maisha yako lipo mikononi mwako mwenyewe. Uamuzi wako wa leo ndiyo unajenga kesho yako. Endelea kusonga mbele daima bila kurudi nyuma 🙏
Indonesia
21
99
492
18.2K
THUG LIFE🚬💨
THUG LIFE🚬💨@ModdohClassic·
Kama mshahara wako ndio kitu pekee kinachokuinguzia kipato, basi Boss wako anamiliki ndoto zako.
Filipino
13
15
51
1.3K
Laz King retweetledi
MvuviTech🔌
MvuviTech🔌@ITexpertTz·
Wazo Na Mikakati Ya Kufungua Ofisi Mpya Ilianza Kitambo Swala La Kumuuguza Mzee + Msiba Lilipoingilia Kati Hela Zipotea Kama Upepo 😁 Bhasi Sikukata Tamaa Mpka Ikafikia Hatua Nikauza Chombo Yangu Ya Usafiri Ili Tu Malengo Yatimie ✅ Lakini Bado Haikuwa Rahisi Hata Kidogo🥹
MvuviTech🔌 tweet media
Indonesia
15
35
121
34.2K
Laz King
Laz King@Laz_king99·
@mswahili___ " Hivi ntatoboa kweli namuuliza mwanangu Ibrahim, Ajibu"
Indonesia
0
0
1
131
TICHA MANDEVU13
TICHA MANDEVU13@TichaMandevu·
Una mshauri nini kijana WA miaka 20 hadi 35????
Indonesia
67
42
652
82.9K
Laz King
Laz King@Laz_king99·
@samuelmway Shida hapo wengi wanawaza uefa mchawi hapo Aston villa
Indonesia
0
0
0
714
SAMKICHEKO
SAMKICHEKO@samuelmway·
Wanangu wa kubeti leo ni Jumamosi hela ipo cha muhimu tutulize akili aya nani mchawi hapo tumtoe fasta
SAMKICHEKO tweet mediaSAMKICHEKO tweet media
Filipino
58
66
649
109.4K