Kuna madhara yeyote kisayansi mwanaume anayapata endapo hatashiriki tendo kwa muda mrefu kuanzia mwaka mmoja hivi.
X madaktari msaada majibu ya chatgpt sijayaelewa.
@macare_46 Ishanikuta nimeenda choo cha stendi nikalipa naondoka anasema sijalipa nilitamani nimtusue ila nikiangalia pale arusha stend isijekuwa jau nikalipa 200 yao
@kasesco_tz Ndio kulikua na secta ya vita kilimo na ibada na zote zilikua na wajuzi ambao wanatoa ushauri kwa namna ya ujuzi wao sema sisi tulipo feli wazee hawakuandika kitu kwenye karatasi wanaishinavyo kichwan walivyopotea vikaenda kama ww nadhani pia kuna idea unazo ila hazipo noted
M20 Kujenga Tu Kiwanja Kipo Ni Pesa Nyingi Sana.
Jenga Nyumba Yenye Material Ya Kawaida.
Mfano Ezekea Bati Nyeupe
Jengea Tofali Za Choma
Piga Lipu Ya Normal Chini Weka Sakafu
Choo Cha Kawaida Sio Kile Cha Gharama
Alafu Nje Piga Nyumba Yote Lip Paka Rangi.
Simamia Mwenyewe.