Dr. Liu

23.5K posts

Dr. Liu banner
Dr. Liu

Dr. Liu

@MPOGOMI

Health Officer (EHO) MD& Agr Eng Founder: AfyaPlus+ App, Inawezekana Shamba Project, Musician & Band #TankIlTours& Safaris company

Mwanza &GeitaDc Katılım Kasım 2012
5K Takip Edilen3.8K Takipçiler
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
@Adventure_36 Ni mtu mbaya sana moja ya watu nawachukia Duniani ni huyo
Indonesia
1
0
0
253
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka ukimsikiliza hotuba zake lazima utajifunza vingi sana. Yule mzee ana madini mno.
17
45
419
12.5K
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
@SuluhuSamia @ManenoIzaak Naomba appointment ya kuonana na wewe Mama ninamengi ya kusema Na wewe juu ya vijana na utalii.
Indonesia
0
0
0
48
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Ikulu Chamwino, Dodoma Hotuba yangu leo nilipopokea taarifa ya Tume mbili nilizounda; Tume ya kufanya tathmini kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, na Tume ya kufanya utafiti wa utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari kutoka Hifadhi ya Ngorongoro.
Indonesia
31
78
182
11.8K
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Huyu Rc Aliyetoa kauli za kijinga Kwa Tour Guide Hafai kuitwa Kiongozi Guide ni Moyo wa uhifadhi kwa Taifa lolote Duniani Kauli zake Hazina afya kwa Taifa na uchochezi dhidi ya mamlaka na Tour Guide.
Indonesia
0
0
0
23
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Karibuni Tanzania. Karibuni Nyumbani. Leo nimejumuika na Marais wa nchi na Wawakilishi wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, jijini Arusha. Miaka 26 tangu kurejeshwa kwa umoja huu, umeendelea kuwa jukwaa muhimu la kuunganisha nguvu za nchi zetu kama ndugu, kuongeza sauti ya pamoja katika masuala mbalimbali, na kujenga mustakabali wenye mafanikio kwa wananchi wa Afrika Mashariki.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
55
143
460
27.5K
Dr. Liu retweetledi
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Kuna Muda inatokea hii Changamoto kwenye Biashara. UNAKUTA mteja Wa Winga Amefaika Dukani Bila kumpa Taarifa Winga. Ukaja Dukani Humkumbuki Kama ni Wa Winga ila Sura unaikumbuka. Unampa Bei Nzuri Kabisa inayokaribiana na Unayoomuulzia Winga wako. Unasikia anakwambia Mbona FREDDY Ananipigaga Sanaa..? Ndio Muda Unakumbuka Kumbe Ni Mteja wa Winga wako Muhimu Kabisa. Hapaa Kibiashara Inatakiwa Kufanyaje Umsariti Mteja au Winga Wako..?
Indonesia
18
23
354
44.4K
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Kijana wenu Ninawania Tuzo Ya Best mountain Guide nipigie kura Six evarist George niweze kushinda . Katika tuzo za Serengeti awards naomba kura yako Ingia hapa https//serengetiawards.maliasili.go.tz/vote
Dr. Liu tweet media
Filipino
1
0
1
60
Dr. Liu retweetledi
Audio na video
Audio na video@kim_2k04·
Since when a lion wants to have human muscles😳?
English
39
22
80
68.3K
Kibayasi FS 🇹🇿
Kibayasi FS 🇹🇿@Hon_KibayasiF·
Kinacho nichanganya ni muda anaopatikana. Namkuta amechoka sana alafu anasingizia gym. Asa mwanangu jana kuna kosa kalifanya. Na ule muda wa kuvutana mi nikakimbilia simu yake. Nmekuta vitu vingi vya ajabu huwezi hata ukahesabu. Inaweza ikawa ndo sababu ya mikosi.
Indonesia
11
9
76
1.6K
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
CCM Ndio chama Bora kuwahi kutokea Duniani. Japo zimo kasoro chache za kibinadamu ila Ubora unabakia.
Filipino
0
0
0
28
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko@mbonimpaye_n·
GOD, thank you! that’s it, that’s all! ❤️🫂• Masters Degree of Business Administration 👨🏾‍🎓 in Marketing Management [#MBA#MKTM]•
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko tweet media
English
45
15
256
17.4K
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Tushukuru Yeye Chanzo halisi
Indonesia
0
0
0
26
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Utulivu uendelee Watanganyika
Indonesia
0
0
0
30
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Vijana Tuilinde Nchi yetu Daima tusichome Ndio Nyumbani kwetu
Dr. Liu tweet media
Indonesia
0
0
0
28
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko@mbonimpaye_n·
@LocalFundi_ Kama hakuna umuhimu wa kutoka unashauriwa kusheherekea uhuru ukiwa ndani, ila kama una mambo yako mengine kutoka ruksa. 😀😀
Indonesia
2
0
1
104
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Nchi imetulia Hadi Raha hii Ndio Tanzania yetu.
Indonesia
0
0
0
112
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Watanganyika sio wajinga Tena Wamepuuzia Propaganda za kuandamana
Indonesia
0
0
0
47
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Stay Safe Buddy
English
0
0
0
60
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
@MariaSTsehai Njoo tuandamane wote tuonyeshe uzalendo usituchoreee
Eesti
0
0
7
808
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kama nilivyowaambia leo Dunia inaangalia Tanzania hakuna risasi labda mabomu ya machozi bebeni maji! Ukisimamishwa unajua pa kupenya ila uaikubali kubebwa na polisi! #D9TanganyikaDay #D9Tunatoka
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
85
344
2.1K
83.1K
Dr. Liu
Dr. Liu@MPOGOMI·
Ko Mnasema Utapima Kina Cha maji kwa kuyatazama? Poleni Msisubutu
Indonesia
0
0
0
42