Manjale Magambo

3.6K posts

Manjale Magambo banner
Manjale Magambo

Manjale Magambo

@ManjaleMagambo

Mwenyekiti wa UVCCM MKOA-GEITA // #KulindaNaKujengaUjamaa #GeitaYaDhahabu // Fans @SimbaSCTanzania 🦁 & @ManUitd .💥

Geita Katılım Mayıs 2021
134 Takip Edilen12.3K Takipçiler
Manjale Magambo retweetledi
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
Wakati wa sherehe za kuagwa kwa Kocha Pep Guardiola, Bernardo Silva alimtania Pep kwa kumuuliza kuhusu video yake maarufu iliyosambaa sana Mitandaoni wakati ule, ambapo alionekana akiongea na kubishana vikali na kiti kilichokuwa tupu bila mtu yeyote. Guardiola alicheka sana kwa aibu, licha kutojibu kwa wakati huo, alijibu baadaye alipoulizwa tena na waandishi wa Habari, akikiri kwamba kasi ya mechi mara nyingi humfanya aonekane kichaa.
Filipino
1
11
101
8.9K
Manjale Magambo retweetledi
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back ✍️ Nifollow mimi @BarakaEnock_ Kwa pamoja tutafika 10K, 👇👇
Filipino
4
8
14
221
Manjale Magambo retweetledi
Simba SC Photos TZ📸
Simba SC Photos TZ📸@SimbaSCPhotosTZ·
Yote tisa kumi kipa🤣🤣😂😂
Filipino
1
2
8
654
Manjale Magambo retweetledi
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
🚨 “Uandishi wa habari ni kazi ya kuhabarisha na kuburudisha, siyo sababu ya mtu kudhalilishwa au kutukanwa. Kumuonesha Rio Ferdinand goli la Clatous Chama haimaanishi chuki dhidi ya timu yoyote, bali ni sehemu ya kumbukumbu ya soka letu....📌🔨 »Pole sana dada yetu @meena_ally kwa maneno yasiyofaa kutoka kwa baadhi ya watu. Mashabiki wa kweli wanajenga heshima hata wanapokuwa na tofauti za kimtazamo.....📌🔨 »Endelea kufanya kazi yako kwa weledi na kujiamini. Sauti yako ina thamani kubwa kwenye michezo na burudani Tanzania @meena_ally 🇹🇿 ❤️” NB: “STAY STRONG, @meena_ally GREAT PEOPLE ARE ALWAYS CRITICIZED FOR DOING GREAT WORK. KEEP SHINING, KEEP INSPIRING, AND NEVER LET NEGATIVITY SILENCE YOUR PASSION. FOOTBALL IS ABOUT MEMORIES, EMOTIONS, AND ENTERTAINMENT NOT HATE. MUCH LOVE AND RESPECT ❤️”
Indonesia
3
9
48
817
Manjale Magambo retweetledi
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
Furaha Hutokana Na Mambo Matatu Rahisi: Acha Yaliyopita,Furahia Ulicho Nacho Sasa Na Amini Kile Kinachokuja.✍🏼 Good morning X family. 🙏
Filipino
2
10
27
236
Manjale Magambo retweetledi
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
Muda wa kuongeza followers🫂. Shusha handle yako, reply, like, repost na follow kila mtu katika post hii na kufollow back, let's connect 🔥🔥🔥.
Filipino
4
6
13
167
Manjale Magambo retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Kigali, Rwanda, 19 Mei, 2026. Nimeungana na viongozi wenzangu, mashirika ya kimataifa, wawekezaji na wataalamu wa masuala ya nishati katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA). Tanzania tumepiga hatua kubwa katika uzalishaji na umeme, na sasa Dira ya Taifa inatuelekeza tufikie uzalishaji wa megawati 70,000 ifikapo mwaka 2050. Kwa muktadha huo, tunaunga mkono uendelezaji wa nishati ya nyuklia katika kuongeza kasi ya kufikia lengo hilo, ambayo pia inaendana na lengo letu la matumizi ya nishati safi na salama. Ili kufikia malengo ya uendelezaji wa nishati ya nyuklia Afrika, nimesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya wadau wanaohusika ili kuwezesha upatikanaji wa fedha, rasilimali watu na teknolojia. Sambamba na hayo, ni muhimu wananchi wakapewa elimu kuhusu uendelezaji nishati ya nyuklia ili wawe sehemu ya mageuzi haya.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
82
467
1.8K
58.9K