Eng. Mwaimu

22.2K posts

Eng. Mwaimu banner
Eng. Mwaimu

Eng. Mwaimu

@Mwaimu1985

Telecom Eng, MSc in Wireless and Mobile Computing @NM-AIST Simba fan. https://t.co/KtyDFOcFAi Sales & marketing Director @etelectro

Arusha Katılım Nisan 2014
2.3K Takip Edilen1.9K Takipçiler
Eng. Mwaimu retweetledi
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁
Kumbe Chama alienda kupeleleza Yanga😁 Seleman Mwalimu amefunguka kuhusu namna Chama alivyomkabidhi ule mpira apige penalty kwa masharti mazito…… “Kwanza namshukuru Mungu kwa kuaminiwa na kupewa jukumu la kuleta furaha msimbazi baada ya muda mrefu…., Chama alinikabidhi mpira lakini kwa sharti moja tu (Kipa wao au mchezaji wao asiuguse ule mpira mpka nipige) na Mimi sikufanya makosa nilichofanya ni kupigilia msumali” Akamalizia “Chama ni Mwalimu Wangu wa mpira hivyo nilitakiwa nifate maelekezo yake yooote,. Maana amekaa nao wale”. 🗣️Selemani Mwalimu
𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁 tweet media𝔹𝔸ℝ𝔸𝕂𝔸 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀🦁 tweet media
Indonesia
5
21
319
8K
Eng. Mwaimu retweetledi
Ibrahim Sannie Daara
Ibrahim Sannie Daara@SannieDaara·
🚨⚽️ Over in Tanzania, someone just scored an absolute WORLDIE — Puskás Award levels! 🔥🔥 Africa, are you seeing this?! 🇹🇿 ⚽️ ❤
English
13
165
709
10.1K
Eng. Mwaimu retweetledi
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Goli bora la msimu wa 2025/26 limeshapatikana 🤩 #NguvuMoja
Indonesia
46
454
2.8K
32.1K
Eng. Mwaimu retweetledi
Goals Side
Goals Side@goalsside·
🚨🚨| MEAN WHILE IN TANZANIA, A PUSKAS WORTHY GOAL WAS SCORED. ⚽️🔥
English
347
5.5K
31.1K
805.7K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Nitawakumbusha kila siku ninyi mliofungiwa kwenye handaki la imani. Hawa washenzi wengi wanaovaa majoho na kanzu na kuzunguka madhabahuni wakifunga mikono huku kujifanya kuwaombea ni mbwa na matapeli wakubwa wa madhabahu. Hauwezi kumhubiri Mungu halafu ukawa mshenzi kiasi hiki, unless na huyo Mungu naye ni tapeli. Mnasujudia na kutetemekea matapeli na vishoka wa imani. Wao wanalipwa mamilioni na kuhongwa magari ya kifahari huku ninyi mkifunga mikono na kusujudu. Mimi nasema hawa wote ni mbwa. Kama kweli wana Mungu waambieni wamwambie Mungu wao anifanyie kama Eliya alivyofanya. MATAPELI WAKUBWA!
Indonesia
11
13
62
1.9K
Dominicksalamba
Dominicksalamba@Dominicksalamb1·
Hakuna tena ukubwa wa Mechi ya Simba Vs Yanga,badala yake imekuwa ni sawa na mechi nyingine za ligi,Moja ya kivutio na thamani ya mpira wetu ilikuwa ni hii mechi tulianza kufanikiwa kuileta Afrika pamoja kupitia mpira, kupitia Simba Vs Yanga ila sasa hakuna tena imebaki story.
Indonesia
69
9
205
12.6K
Eng. Mwaimu retweetledi
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Kazi iliyotupeleka jijini Arusha tumeimaliza kwa kishindo 💪 #NguvuMoja
Filipino
3
8
171
2.5K
Eng. Mwaimu retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Bendera zipepee.✌🏽
The mandevu tweet media
Türkçe
55
299
2.6K
21.1K
Eng. Mwaimu retweetledi
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
Mabao ya ushindi dhidi ya Fountain Gate. #NguvuMoja
Filipino
1
17
238
8.6K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
@hecenmo Naomba kwa upole kabisa nieleweshe na unitajie timu gani top umewahi kuiona ina just " decent GK " na sio " Top GK " na bado ikapata mafanikio makubwa
Filipino
26
3
162
10.8K
hussein
hussein@hecenmo·
Kuna tofauti yoyote umeiona Yanga kumkosa Diarra? Basi ipo hivyo kwa 80% ya matches kwenye ligi, big teams huwa hazihitaji top class GK kwa sehemu kubwa ya msimu ili zishinde. A decent GK anatosha, ndiomana GK hawezi kuwa mchezaji muhim zaid kwenye timu
Indonesia
22
2
154
12.6K
Eng. Mwaimu
Eng. Mwaimu@Mwaimu1985·
@hecenmo Unatoaje hii hoja wakati timu iliyocheza na Utopolo haikufanya jaribio lolote la kutafuta goli?jitoseni mumuache Diarra mkione cha moto.
Indonesia
0
0
0
70
Eng. Mwaimu retweetledi
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
"Mwaka jana na sisi tuliandika barua ya kubadili uraia wa wachezaji wetu lakini haijajibiwa hadi leo. Ligi Kuu ya Tanzania ikiwa haipo kwenye mizania sawa sio japo sawa. Hili japo sio tu tunakwenda CAS lakini pia tunaiandikia FIFA. Kama mtu anapewa uraia ili tu achezee klabu pekee bila timu ya taifa ni jambo ambalo halikubaliki. Damaro hata ipite miaka 100 hawezi kucheza timu ya Taifa. Jambo lingine ambalo TFF walitakiwa walifanye, kama kanuni zetu halizungumzii hilo basi wangetumia kanuni za juu kufanya maamuzi."- Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
Indonesia
32
14
178
8.8K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Nimependa utulivu wa Mabinti Wakatoliki hawaombi Nguo za Sikukuu Status... Hili ni jambo la wengine kujifunza!!!
Indonesia
24
34
407
17.9K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Kwa utafiti wangu niliufanya tangu 2026 imeanza nimebaini Kanisa Katoliki litapoteza waumini wengi kwa miaka 10 ijayo na sababu ni hizi. ✍️ Hawatoi huduma za uponyaji na miujiza ✍️Wanajichanganya sana na siasa ✍️ Kupunguza viwango vyao vya ufaulu. ✍️ Kuongezeka kwa Manabii
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
203
10
102
29.6K