Ian The Iron Lion🦁

1.4K posts

Ian The Iron Lion🦁 banner
Ian The Iron Lion🦁

Ian The Iron Lion🦁

@Rated_R29

Scientist | Researcher | Man U & Simba Sc Die Hard | Buses Fan | Full Time Father

Pwani, Tanzania Katılım Ağustos 2012
208 Takip Edilen249 Takipçiler
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mahakamani shaidi hudodoshwa ili kumcondradict na ushaidi wake na mwisho kumpotezea credibility. Story ya Hilda sitaki kuisema kuwa yote ni ya ukweli au yote ni uongo. Nitakuwa nagusa maeneo maalumu tu. 1. HILDA: Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. FACT: Si kweli nilidai Msuya alikuwa diwani Ubungo. Ili limepindishwa makusudi kimkakati. Nilimtambulisha Msuya kama aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo Msewe. 2. HILDA: Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton kama girlfriend wake japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. FACT: Sikuwahi kutaka kwa njia yoyote kumtumia Bonny kutia ushawishi ili Msuya aaminike. Sijisikii vizuri kumjadili hapa Bony kwani nitakuwa namuingiza kwenye issue isiyomuhusu. But ni kweli tukiwa kwenye maongezi ni Msuya mwenyewe alieleza juu ya ukaribu wake na Bony very casually. Pia ni kweli Msuya alitueleza mimi na Mshabaha kuwa Hilda alikuwa girlfriend wake. Hapa ukakasi ninaoupata, Hilda kwa nini anataka kujitenga na Msuya kwa kukana kutomjua. Lets say inawezekana hawakuwa na mahusiano, vipi ashindwe kumtambua Msuya kama mwenyekiti wa mtaaa maarufu kama Msewe, ambao wakati ule ulikuwa ni kama kambi ya wasomi wengi wa UDSM NB: Nitaomba nisaidiwe, Msuya alitueleza alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa kichama Ubungo. Kama ni kweli, Hilda bado anashindwa kumtambua kiongozi wake huyu chamani? 3. HILDA: Nilimpigia simu Buyobe, nikamuuliza kwanin alimdanganya Mshabaha kwamba mimi ni Girlfriend wa Msuya wakati anajua mimi na Msuya hata hatufahamiani, alijiumauma sana mwisho akajitetea kwamba Msuya alimdanganya. FACT: Sijawahi kuulizwa na HILDA juu ya taarifa za Msuya kudai wana mahusiano. Nazidi kutia mashaka kwa nini hapa kwenye Mahusiano anaparejea hadi kutoa ushuuda wa uongo. The fact ni kwamba Hilda anamjua Msuya inawezekana sio kama mpenzi wake. Kumkana kutomjua Msuya hadi kutotambua nafasi yake ya uongozi chamani inaweza kutoa strong suspicion ya inawezekana wanajuana zaidi tujuavyo. Ni issues ndogo but yenye trustworthy issues. HILDA: Msuya baada ya kupiga tukio jioni ya siku hiyo hiyo, alionekana maeneo ya Namanga akivuka kuelekea Dar wakati huo Buyobe yeye alikimbilia maeneo ya Busia (Hii ni kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe) na hapo alifanya bila kuwasiliana na mtu yeyote hata wale waliompokea hakuwajulisha, licha ya kwamba awali wakati anafika alisema haijui kabisa Kenya ni mara yake ya kwanza kufika Kenya. FACT: Sikujiondokia bila taarifa. Mtu nisiyetaka kumuingiza kwenye mjadala kwa kuwa hausiki, tuliwasiliana naye. Nilipigiwa simu ya Mshabaha, huyu mtu mwingine wakiwa na nia ya kutaka kunibrief kilichotokea. Nilikuwa nimelala hotelini sikusikia simu zao. Majira ya kwenda saa 11 nikampata Mshabaha na akanijuza kilichotokea na yupo hospital. Mshabaha pamoja na madhira yaliyompata, hakusahau his duty of care kwangu. Ni yeye akashauri niondoke haraka pale hotelini hadi itakapothibitika kuna usalama. HILDA: Azizi na Msuya walikuwa wakiishi na mimi FACT: Huu ni uongo! Msuya alikuwa anakaa Himalaya Heights, mimi nilikuwa ninakaa Myra residence HILDA: Msuya alipoona Mshabaha amekataa mambo yatraining akamuomba amkutanishe na Hilda, Maria, Sativa, na Mwaipaya. Mshabaha alikataa mind you huyu mtu ambae anamuomba Mshabaha amkutanishe na mimi, kwenye utambulisho wake alisema kwamba mimi ni girlfriend wake. FACT: Hapa Hilda anajichanganya kwenye Dodoso la Pili (2. HILDA) Anasema kuwa mimi nilimtambulisha Msuya kuwa wanahusiano naye wa kimapenzi. Lakini Msuya akamkataza Mshabaha asimpigie Hilda kwa kuwa Msuya anajua uongo wake utajulikana. Hapa anarudi kujicontradict kuwa Msuya baada ya kuwa desperate kwa kukataliwa kutoa training kwa wanaharakati akaomba akutanishwe na kina Hilda na wenzake. Yani Hilda aliyemkwepa asitafutwe kwa kuwa uongo wake utajulikana, sasa anamtafuta bila kuhofia uongo wake. Hilda na Msuya Kunani?
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Filipino
172
40
253
68.6K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Dada angalia hizo picha nilizo kutumia ni msanii Fahvany, ukiangalia picha aliyo vaa Suti kifua kiko wazi lakini kinaonekana kama Cha binti mdogo, na hiyo aliyo vaa gauni kifua kama unavyoona kimeenda. Na hii nimeona Kwa wasanii wengi wa kike wakiwa wamevaa Suti vifua vinakuwa viko wazi huku nyonyo zikionekana zimesimama ila wakiwa na magauni inakuwa tofauti, ebu nisaidie kuuliza au Kuna vitu Wana valia vina fanana na ngozi au ni nini? Wale watu wa fasheni njooni mtufungue kitu hapa.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
4
0
55
14.9K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Msanii #HBaba amewaomba wasanii wengine 20 kutoa Milioni moja moja kwa kila mmoja wao ili kumchangia #Matonya ambaye amekamatwa Mombasa Kenya kwa tuhuma za Ubakaji. "Niwaombe viongozi na ngazi za juu tuangalie namna yakumsaidia ndugu yetu Matonya Mapungufu kwa mwanadamu nikawaida hakuna mkamilifu chini ya jua kukosea ndio kujifunza" "Mashabiki, wasanii, wadau wa sanaa msikae kimya, wakati wa furaha tulifurahi tamoja matatizo mnakausha sio poa leo kwake kesho sisi. Wasanii 20 tutoe milioni moja moja tupo wengi" Lengo la kupatikana kwa pesa hizo ni zitumike kama dhamana ya msanii Matonya. #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
46
6
279
32.3K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hiiizi Bank Za Kiislam Zinazokopesha Bila Riba Zinapataje Faida Mfano Amana Bank..?
72
66
815
53K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Bungeni itakuwa samahani mama umesikia lakini hoja ya shemeji na mjomba alichokisema kuhusu barabara za jimbo la shangazi.
Indonesia
171
302
2.4K
64.1K
Ian The Iron Lion🦁
Ian The Iron Lion🦁@Rated_R29·
@Sativa255 Sijajua deni la mzee lilikuaje, ila mikopo inakuaga na Bima. Binafs baada ya mama kufariki, deni lake lilikufa mana mkopo wake ulikua na bima (hii ilikua NMB)
Indonesia
0
0
0
133
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ile kauli ya “Mtu akifa na deni linakufa” isikiage tuu kwa mtu isikufikie. Kiukweli DENI HALIFI NA MTADAIWA NA MSIPOLIPA WATAUZA MALI KAMA WALIVYOKUBALIANA WADAI NA MDAIWA. Nyumba yetu iliandikwa na BANK MOJA kuwa “INAUZWA” miaka ya 2015, mzee akapambana kulipa ikabaki 3M. Baadae 2018 mzee akakata MOTO. Wale jamaa walitaka kuuza nyumba kisa 3M, hapo njaa ilikuwa kali sana kwenye familia. Familia walilia sana kuomba msaada kwenye ile BANK-ila jamaa hawakujali. Ikabidi ndugu waungane kuuza baadhi vitu vyao na kujichanga wakapunguza deni ikabaki 800K. Mpaka leo lile deni (800k) hatujalipa. Maana ndio riba ya mkopo wenyewe. Mtu akiniambiaga juu ya kupitia maisha magumu namuangaliaga tuu. Na mtu akileta ile kauli ya “Mtu akifa na deni linakufa” nachekaga tuu. DENI HALIFI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Indonesia
45
69
760
32.1K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Hii ni basic knowledge, Mtanzania yyt lazima afahamu -Kila kinachofanywa na kiongozi ni wajibu wake, si msaada wala si hisani -Kila fedha inayotumiwa ni ya Mtanzania, hakuna hata sentano ya serikali -Hakuna kiongozi aliye juu zaidi ya Mtanzania, hawa vibwengu ni waajiriwa wetu
Indonesia
36
152
905
26.6K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
Peramix
Peramix@peramixonline·
Looking for affordable and reliable web hosting with cPanel? Get fast, secure, and easy-to-manage hosting for your website today! Learn more: peramix.com/web-hosting
Peramix tweet media
English
0
2
2
44
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Tupate Utabiri Kidogo wa Mzee Magoma. Alivyosema siku zilizopita Kuhusu Derby ya Simba na Yanga Mzee wa Kur Juan 😂😂😂😂 Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
24
25
726
79.2K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
"Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari...";- Askofu Bagonza.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
113
635
3.7K
73.7K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kiroho Safi naomba Repost yako hapa.👊
The mandevu tweet media
Filipino
12
115
232
8.5K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Imagine kwenye hii Tone Tone ya CDM inayofanyika mikutanoni, Lile kapu la pesa linavyotembea mbele ya raia na huoni hata raia mmoja akiiba pesa, akilipora kapu,akileta fujo na kukimbia nalo kapu! Badala yake raia wanachanga kwa amani na upendo bila jinai yoyote kutokea!! 👏👏👏 Watu kama hawa unakujaje kusema hiki chama kinaleta fujo? Kinavuruga amani? How?🤷🏿 Watu kama hao unakujaje kuwapiga virungu mahakamani ukisema wanaleta fujo wanahatarisha amani ya nchi!! Wanaovuruga amani na kuchafua nchi ni serikali na dola yenu!!
Indonesia
78
417
2.5K
70.8K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
Ado Shaibu
Ado Shaibu@AdoShaibu·
Mdude alipotekwa, Serikali na Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya kupitia matamko yao, walijipambanua kulifuatilia suala hilo. Hivi sasa hatuwasikii tena. Hakuna taarifa yoyote kuhusu lilipofikia. Wanadhani damu ya mtu inaweza kupotea kwa urahisi hivyo? Mdude aachiwe huru mara moja!!
Indonesia
91
343
1.6K
39.7K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
NAOMBA REPOST 1K🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
SIR TIVA tweet media
Čeština
101
968
3K
43.4K
Ian The Iron Lion🦁 retweetledi
Ado Shaibu
Ado Shaibu@AdoShaibu·
Taifa linapofanya kuwa ni suala la kawaida watu kupotea na kisha kuokotwa wakiwa wameuawa ni Taifa linalojipeleka kaburini. Kuheshimu uhai wa watu ni tunu muhimu ya uhai wa Taifa husika. Hakuna uhai wa Taifa bila uhai wa watu.
Indonesia
32
71
372
11.3K