Noely SM...🪶

2.4K posts

Noely SM...🪶 banner
Noely SM...🪶

Noely SM...🪶

@_MrNoely

It's just my public journal Nothing else. Always BE KIND.

Katılım Şubat 2023
1.3K Takip Edilen135 Takipçiler
Noely SM...🪶 retweetledi
Andrew Tate
Andrew Tate@Cobratate·
The US Gov is selling 30 year bonds at 5%. Lifehack - Take 50M cash and buy bonds, thats 2.5M a year for zero work. Thats 208k a month. Enough to cover basic expenses like security team and cigars. Then you just need another 500k a month to have a good life. You're welcome.
English
2.8K
1.1K
28.1K
3.9M
GivaTips💥
GivaTips💥@giva_tips·
Kusiwe na Goli ndani ya dakika tano za mchezo 🍀🎯Sportybet Code: 67DQ9M
GivaTips💥 tweet media
Filipino
23
11
89
9.3K
Noely SM...🪶 retweetledi
BeSomebodyFX
BeSomebodyFX@BeSomebodyFX·
No caption needed Just a lot of respect The chairman
BeSomebodyFX tweet media
English
2
4
38
839
Noely SM...🪶 retweetledi
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
Uko sahihi kuhusu volume ya kiasi kinachokuwa traded, lakini sio katika sababu za kwamba kwanini huoni vijana wa US waki trade sana. Kabla sijaenda kwenye sababu kuu, sababu ndogo moja wapo ni tamaduni ya hela na uwezo wa kimaisha. Africa kwa ujumla uwekezaji kwa namna nyingi bado ni kitu kigeni kwetu hata adoption iko polepole sana. Tofauti na US ambako kuna option nyingi zaidi za uwekezaji na wana tamaduni ya kuwekeza. Kule average people wengi wanajua kwamba inabidi wawekeze. Na wanachagua safe option sababu hiyo elimu iko readily available kwao tofauti na kwetu. Na katika Forex pia wanawekeza sana tu ila ni kwa namna tofauti na sisi huku. Wao ni indirectly kupitia funds. Ukigusa kwenye betting huko ndiko kuna balaa kuliko hata tunavyoongelea huku TZ na kule regulations ni kali zaidi. Angalia tu hata Polymarket sasa hivi betting markets wanazoweka. Sasa nirudi kwenye suala mama la Forex tunalo ongelea hapa. US kuna regulations kali sana juu ya pesa za watu kila mahali zinapowekezwa. Kuna regulatory bodies kama CFTC & NFA ambao wako makini sana katika kuzuia GET RICH QUICK schemes. Hizi regulatory bodies zinapelekea tamaduni ya kutafuta hela kwa vijana wengi wa US iwe katika kujenga Scalable businesses wakati Forex inafanyika kama professional business ya institutions ndo hizo Funds. Kwamba wewe hauanzi kufanya trading wewe mwenyewe, badala yake unaangala fund ambayo inakidhi mahitaji yako na principles zako unawapa hela yako wao wata trade. Haija maana kwamba hawapo wanaotrade. Wapo na ni wengi tofauti na unavyofikiri. Na wao kuna mpaka online academies za kufundisha FX . Mfano Moravian University wanayo kabisa Short Course ya Forex. Africa tunakosa regulations kali. Ukosefu wa Ajira na pressure ya hali ngumu inachangia kuwa na wimbi kubwa la vijana kuwa tayari kuamini watatajirika haraka kwenye FX. Hatuna elimu ya kutosha na hatuna options za kutosha za alternative investments. Sasa hivi ndo zimeanza kuja kama hizi ETF ila bado watu uelewa mdogo na wanataka utajiri wa haraka. Maisha ambayo traders wengi wanayaonyesha online ni ya kitajiri yanafanya vijana wengi wayatamani. Hivyo ndo vitu vinafanya Forex ionekane uhakika wa haraka wa utajiri na utapeli at the same time. Forex ni biashara halali, ila ina watu wanayo ionyesha tofauti ndani yake.
Haulay@Positivenga1

kwa siku kwenye Global Forex Market ela zinazokua traded ni zaidi ya $4 Trillion. Sasa nyie hamjiulizi kwanini nchi kama Marekani ambapo ndo kuna mitaji mikubwa na vijana wake ni very smart sana lakini hamsikii mtu kama Sandile Shenzi wa Kimarekani anatrend Huko Marekani? Yani Vijana wa Marekani waone io fursa afu waiachie itawaliwe na kina Sandile na Ref wayne? Kila ukiona kijana wa Marekani anatrend ni amebuni solution flani na sio anabet forex! Unahisi kwanini? Ila sisi huku na marole model wetu wa South Africa ndo tunaona io fursa namba 1 duniani. Tuamke wanangu! Tumechelewa sana!

Filipino
4
3
21
2.3K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Inawezekana sana kama huna elimu ya fedha na pia ukiikurupukia issue ya digital currency. Nina ndugu yangu alipoteza Tsh 700 million kizembe sana. Na ni kweli upo sahihi kabisa… 2 billion ukiwa nayo hakuna haja tena ya kufanya chochote, kama una financial literacy. Hata hao Sungura wako unaotaka fuga ni kama unataka jifurahisha tu 😁 2b inaweza kukupa returns za 200 million kwa mwaka. ambayo unaweza itumia kuishi comfortably kabisa, na ikakupa ka mtaji ka kufanya biashara isiyoumiza kichwa ili kuku keep busy, na bado bilion zako zipo palepale!!
Lubasha Jr@MarekaMalili

Kuna Msela wa Forex anasema kawahi kuwa na 1.8B na akapoteza 😆 Una 1.8B bado unakesha kuuza na kunua hela mitandaoni 😀 Mimi 500m mtanikuta shambani najifurahisha kufuga sungura organically.

Indonesia
23
19
459
45.8K
C R I A N N I C A S ♟️
C R I A N N I C A S ♟️@criannicas_·
I know this will annoy most traders. But, If you have a real trading skillset and you’re still trading a $20 account, You will never make your mother proud. Not because you can’t trade #Thread
C R I A N N I C A S ♟️ tweet media
English
14
14
107
4K
Noely SM...🪶 retweetledi
Noely SM...🪶 retweetledi
HH Sheikh Mohammed
HH Sheikh Mohammed@HHShkMohd·
Under the directives of the President of the UAE, we launch a new government model. Within two years, 50% of government sectors, services, and operations will run on Agentic AI, making the UAE the first government globally to operate at this scale through autonomous systems. AI is no longer a tool. It analyses, decides, executes, and improves in real time. It will become our executive partner to enhance services, accelerate decisions, and raise efficiency. This transformation has a clear timeline. Two years. Performance across government will be measured by speed of adoption, quality of implementation, and mastery of AI in redesigning government work. We are investing in our people. Every federal employee will be trained to master AI, building one of the world’s strongest capabilities in AI-driven government. Implementation will be overseen by Sheikh Mansour bin Zayed, with a dedicated taskforce chaired by Mohammad Al Gergawi driving execution. The world is changing. Technology is accelerating. Our principle remains constant. People come first. Our goal is a government that is faster, more responsive, and more impactful.
HH Sheikh Mohammed tweet mediaHH Sheikh Mohammed tweet mediaHH Sheikh Mohammed tweet mediaHH Sheikh Mohammed tweet media
English
1.1K
2.7K
14.6K
2.7M
Noely SM...🪶 retweetledi
BeSomebodyFX
BeSomebodyFX@BeSomebodyFX·
No more core PCE I guess Time to update some models The FED's data focus ahead is going to change!
English
3
2
28
721
Noely SM...🪶 retweetledi
C R I A N N I C A S ♟️
C R I A N N I C A S ♟️@criannicas_·
Kwani humu Twitter mnaishije? Nadhani ni ushamba wangu au kuna kitu sijaelewa… Nimeanza kuwa full active juzi tu hapa, leo nakutana na drama ya connection, alafu iko trending 😭 Watu wana commitment ya ajabu kuombana video hadi DMs. Hii energy ya lust ikipelekwa kwenye discipline halisi, Trust me, Watu wa ground wangejijenga vibaya sana. Nadhani tusingekuwa tunalalamikia ufisadi.
Indonesia
12
9
98
7.2K