young

3.9K posts

young banner
young

young

@__its__gray3

Liverpool fan👣weight 54.7kg

Tanzania Katılım Haziran 2022
1.2K Takip Edilen699 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
young
young@__its__gray3·
Biashara kila mtu anafungua ila swala la kuendesha biashara sio kila mtu anaweza It's like kila mwanaume ana uume ila sio kila mwanaume anaweza didisha uume wake📌
Filipino
2
2
10
972
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
SERIOUS: Mimi na jamaa yangu tunachanga milioni moja moja Tufanye biashara gani ili mpaka mwaka huu kuisha tuwe na milioni 20 kwa pamoja Asanteni 🤝🏾
Indonesia
15
21
65
2.3K
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰@Tinahcristiaan·
Kidirishani leo wakati tunavizia WiFi ya Jirani kuna mdada nimemsikia analia kweli kwa kwikwi,imebidi nimuulize vipi akanijibu"Jana alitoka na mpenzi wake wakalala wote huko walipokuwa wakashinda wote hadi jioni wakaachana saa moja jioni,Mpenzi wake alikuwa anarudi kazini kwake.
Filipino
51
33
456
46.2K
young retweetledi
miss.nancy🇰🇪
miss.nancy🇰🇪@she_is_nancy255·
Ukiingia ofisi yoyote ukakuta kuna wafanyakazi zaidi ya watatu na wote wanachezea simu, nakushauri anza kumuongelesha yule mwenye android na sio Iphone 😎
Filipino
18
45
681
21K
young
young@__its__gray3·
Man U 🙌🏻
young tweet media
English
0
0
0
6
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Hivi Kuna Sehemu inaongoza Vijana Kubeba Pesa za Moto Kama Tunduma.
Slovenščina
33
46
450
21.3K
young
young@__its__gray3·
@prossoff Umejieleza sana😂😂😂 “jibu ni siwezi”
Indonesia
0
0
0
7
young retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Big lesson ya maisha ni kuishi kwenye uhalisia wako na kutosahau ulipotoka. Mjini na mitandao inaweza kukufanya ukashindwa kuishi kwenye uhalisia wako na kusahau ulipotoka. Vitu vingi vijana tunavyohisi vinatupa furaha ni bandia.
Indonesia
18
111
703
16.4K
young retweetledi
Heis_
Heis_@son_noeli·
Mimi miaka 25 na rafiki yangu wa kazini miaka 60 tukisubiri boss miaka 33 amalize kuongea na simu aje aendelee kutofokeaaa.
Heis_ tweet media
Indonesia
18
35
418
11.2K
young retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kuna vijana wanakuja kwa moto sana kibiashara, Huyu mwamba ni miongoni anakiwasha sana upande wa kahawa na mambo ya usafirishaji huko, Anasema yeye akiwa sehemu za bata hawezi kujipost hii nimeipenda sana unaamua zako kuwa lowkey afu unatengeneza status ya kuaminika kwa wadosi.
Kante tweet media
Indonesia
23
11
293
27.3K
young retweetledi
First Born
First Born@Dee3060·
@EliabuDanford Hapana ukute wanaangalia na umbali wa kufika eneo la kazi wenda wako sahihi.
Filipino
0
1
2
106
young retweetledi
proffesor🇰🇪
proffesor🇰🇪@norman_mkenya·
@_falsi1ke Many men do experience deep pain, rejection, or abandonment during their lowest moments. That pain can become fuel, forcing discipline, focus, and self-reliance. In that sense, the woman who left didn’t create the success; the man did, by deciding not to break.
English
1
7
34
1.3K
young retweetledi
Scorpy
Scorpy@ScorpyLil·
If the year ends kama sijapata dem I think it's time I hang my boots and focus on my career and side quests.
English
2
42
151
3.1K
young retweetledi
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Mwanaume anapotaka kubadili maisha yake, upweke huwa ni gharama anayolipa. Unabadilisha mawazo. Unabadilisha vipaumbele. Muda wako unaanza kuwa na nidhamu. Watu unaowazoea wanapungua. Mazungumzo ya zamani hayakuvutii tena. Burudani zisizo na mwelekeo unaacha. → More:⤵️
Filipino
8
65
285
8.6K
young retweetledi
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Kama hauna pesa kama mimi, kipaumbele chako kikubwa na mawazo yako kwa kiasi kikubwa yanatakiwa kuwaza juu ya jinsi ya kutengeneza pesa, na sio jinsi ya kusave pesa. Sijasema tusisave, nasema Kama kipato chako ni kidogo, hata ukisave kwa nidhamu kiasi gani hautasolve tatizo la msingi ambalo ni kipato kidogo.
Filipino
14
77
294
8K
young retweetledi
I fvck w people selectively
I fvck w people selectively@kotparkland·
Na vijana inakuanga very essential kupata downfall/failure moja real in your life. Failing rewires your brain somehow you stop fearing failure/rejection because unajua haitakumaliza.The minute you stop fearing failure or rejection, you start moving big in life na hapo ushamake it
English
8
198
1.1K
24K