KAMAU NJOROGE
3.1K posts


@George_Ambangil @Calvertson1 ndo ile mtangazaji anasema "drama at old Trafford what a scene what a pass what a goal " tushaletwa na striker linaruka tu hiyo ndoto inanitesa sana
Filipino

@Calvertson1 Suppose ni vigezo ndio hivyo na sisi hivyo hatuna kama Newcastle . Ndio msingi wa swali langu why mpaka sasa hajasema YES kwa Newcastle ? Na taarifa hizo hizo zinasema anasubiri United watafanya nini ... while United wao wanataka yeye ndio aanze aseme YES kwa United 😀
Filipino

Kama vigezo ni hivi huezi chagua man united over newcastle hata siku moja
UtdDistrict@UtdDistrict
🚨 | Benjamin Šeško is considering multiple things when picking his next club: - His career - His life -European football - Money - The manager he will play under [@FabrizioRomano]
Suomi

@ngwalenjekileti Ushoga huachagi kuma yako siku nitakutomba we msenge nikutoe pepo
Indonesia

@KE_MrBlack @awilo_kamau we mkundu kachukue ARV nimeshalipia.
Eesti

@EduTalkTz sasa si wanatoa kwa wanachama wao waeneze itikadi zao
Indonesia

#MICHEZO: Jarida la France Football limetangaza Septemba 22, 2025 ndio tarehe itakayofanyika hafla ya utoaji tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ya Ballon D’Or na tuzo nyingine za ubora kwa wanamichezo wa soka waliofanya vizuri kwenye kalenda ya mashindo ya mwaka 2024-25.
Tuzo za mwaka huu 2025 zitakuwa ni tuzo za 69 zinatolewa na jarida la Ufaransa la France Football ambalo lilianza kutoa tuzo hizi tangu mwaka 1956. Zikiwa ndio tuzo kongwe zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu.
Tuzo zitakazo tolewa kwa mwaka huu 2025 zitajumuisha tuzo kubwa ya mchezaji bora wa Dunia Ballon d'Or kwa wanaume na wanawake, mchezaji bora chipukizi, kipa bora kwa wanaume na wanawake, mfungaji bora ngazi ya klabu/timu ya Taifa), Kocha bora wa timu za wanaume na wanawake, klabu bora ya mwaka ya wanawake na wanaume, na tuzo ya mchezaji aliyetoa mchango kwa jamii.
Majina ya wachezaji watakaowania tuzo hizo yatatangazwa mwanzoni mwa Agosti 2025 huku jina la kinda wa Barcelona Lamine Yamal likitajwa zaidi katika kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka upande wa wanaume
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_

Indonesia

@HildaNewton21 mnachokifanya sio kitu kizuri ili tu mchukue dola mpeleke kwa wabelgiji fala nyie
Indonesia

#HABARI Wizara ya Afya nchini imetangaza ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Mganga Mkuu wa serikali Dk Grace Magembe amesema kumekuwepo na ongezeko la tetesi zinazohusiana na magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa katika jamii hapa nchini.
“Hali ya kuongezeka na kupungua kwa ugonjwa huu imekuwepo kila mwaka tangu kutangazwa kwa ugonjwa huu mwaka 2020. Kwa kipindi hiki ongezeko hili linaonekana zaidi katika Mkoa wa Dar es Salaam,” amesema Dk Magembe.
Wananchi wametakiwa kuzingatia kanuni za afya kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa.
@wizara_afyatz
#EastAfricaTV

Indonesia
KAMAU NJOROGE retweetledi

Mbuzi alipata wadudu kwenye kwato / Ili athiri furaha na Nguvu alizo Nazo / mchungaji alihakikisha mbuzi ananawa/ aliondowa wadudu wote kisha akamuweka dawa /akampangusa chawa akampa chakula Kwa wakati / akamjengea chumba Kwa Nafasi / @dizastavina
Indonesia

@DeadlineDayLive @felipee_sil Fuck this 74m I can scout 3 players from Africa and one from South America and 2 Bavarians
English

🚨 Matheus Cunha will be a Manchester United player. The deal is done for €74.5M. 🤝
(Source: @felipee_sil)

English


















