BABA SAMIA

60.4K posts

BABA SAMIA banner
BABA SAMIA

BABA SAMIA

@babasamia47

Akumandu47🇹🇿 kada wa Chama Cha Mapinduzi 🟢🟡 Simba Sports Club fan 🔴⚪️

Mtwara, Tanzania Katılım Ocak 2020
484 Takip Edilen1.2K Takipçiler
BABA SAMIA retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
KUONDOKA KWA MCHUNGAJI MSIGWA CCM:NI OCT 29 KWELI? Moja ya sababu Kuu ambayo Mchungaji Peter Msigwa ameitaja kupelekea kuondoka kwake ndani ya CCM anasema ni matukio ya Oct 29,2025.HAUWEZI kubishana na Mdomo wake lakini ukweli anaujua yeye mwenyewe. Hata nyakati zile alipokuwa anatoka Chadema kuja CCM mwaka jana baada ya kukosa Cheo cha Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa dhidi ya SUGU,Peter Msigwa tena hakuwa mkweli mbele ya Umma ALIDANGANYA KAMA ANAVYODANGANYA SASA. Ni miezi kama SABA HIVI TANGU Oct 29,2025 mpaka sasa May 24,2026 lakini Mchungaji Peter Msigwa akaendelea kusikilizia muda wote huu wa miezi saba akiendelea kula mshahara na posho pale Ofisi ya ITIKADI NA UENEZI kwa ndugu yangu KINANI KIHONGOSI. YAPO MAMBO MAKUBWA MATATU HIVI AMBAYO YANAMUONDOA LEO CHAMA CHA MAPINDUZI. I.MATARAJIO ya kupata CHEO/UTEUZI ndani ya Chama na Serikali hayapo tena.Hesabu za Mchungaji zilikuwa cleary kabisa kwani aliamini kuwa ujio wake ndani ya CCM ungempa uteuzi kama.ilivyokuws kwa wanachadema wengine ambao walikuja ndani ya Chama na kupata teuzi. Kumbuka kuwa Msigwa angepata CHEO cha Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa asingekuja CCM kamwe kwahiyo Msigwa alikuja CCM kwa hasira na bahati nzuri CCM walilijua hilo. II.Kuundwa kwa TUME-JINAI kutokana na Matukio ya Oct 29 Kama.una akili nzuri ni rahisi kujua kuwa Msigwa alikuja CCM kwa missions kuu mbili hizi hapa(I)kutafuta Cheo na kuikomoa Chadema lakini bado moyo wake ulikuwa Chadema,CCM walikuwa wanafahamu hilo haswa. Pili(II)Msigwa alikuja Chadema kufanya UKACHERO wa Kisiasa then badae arudi Chadema.Ni kwamba pamoja na kuwekwa idara ya Uenezi,Msigwa alikuwa chini ya "ukachero" mkubwa wa CCM akisomwa nyendo zake usiku mchana asubuhi. Mchungaji inawezekana sana alikuwa sehemu ya Mpango wa NO REFORMS NO ELECTION ambao ndio ulizaa matukio ya Oct 29. Ilibidi atafutwe mtu wa kumwingiza ndani ya mifumo ya CCM kuweza kuratibu mipango hiyo ya Chadema akiwa ndani ya CCM.KUMBUKA TUNDU lissu na Msigwa ni damu damu.Inawezekana sana Tundu Lissu alitaka kumtumia Peter Msigwa kutekeleza waliyotekeleza Oct 29. USIJE ukashangaa Peter Msigwa akija kutajwa kwenye REPOTI YA TUME JINAI na kutiwa nguvuni mbeleni.Njia pekee sasa ni kuondoka CCM na kwenda kuungana na wana Oct 29 wenzake huko Chadema. III.Sababu ya Tatu kubwa ni URAFIKI uliopo wa kufa na kuzikana wa ndugu Tundu Lissu na Mchungaji Peter Msigwa ambao unamfanya MSIGWA AJIONE NI MSALITI mbele ya jamaa yake Tundu kwa kuendelea kula mshahara wa CCM pale Dodoma. Mtarajiio ya Msigwa yalikuwa ni kwamba uenda SERIKALI mbeleni ingemtema(Gerezani) Tundu Lissu baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika lakini anaona Serikali(Mahakama) IMEKAZA.HAINA MCHEZO KABISA NA ISHU YA LISSU. JAPO watu wengi wanataka kuaminishwa kwamba Tundu Lissu yupo Magereza Ukonga KISIASA lakini ukweli unabaki kuwa jamaa ameshiriki kwa 70% kuratibu yale ya Oct 29 hata akiwa huko huko mahabusu.. Hii sio ishu kabisa kwani hata Muuza madawa ya kulevya wa MeXICO Olechampo aliweza kuratibu biashara zake za kuuza dawa za kulevya hata alipokuwa gerezani na baade akafanikiwa kutoroshwa na kundi lake hatari. Tundu Lissu ni wazi alikuwa na mkono wake mkubwa tu kwenye Oct 29,niaminini. Kama mnabisha nadhani tusubilie majibu ya Tume- Jinai,itasema ukweli kuhusu haya nisemayo. Infact,Oct 29 kulikuwa na elements zote za UHAINI/MAPINDUZI NA BAHATI MBAYA SANA wapo hata wanaccm wanatajwa nao kushiriki kuwezesha matukio yale ya hovyo. Ila tu cha kushangaza hata report ya Tume JINAI ambayo itakuja na purely ushahidi nayo wataipinga tena kwa nguvu kubwa zaidi.NASUBILIA KUONA WATAWEZAJE KUPINGA FACTS?,HUU ni Uchunguzi wa KIJAJI na sio bla bla tena. Katika mazingira kama hayo Msigwa anabakije CCM?
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
5
17
17
4.4K
BABA SAMIA retweetledi
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
TUNAPOSEMA WATU WANAJITEKA MUWE MNAELEWA... Tumekuwa kila siku tunasema na kuwaambia watu hasa CHADEMA wanatengeneza matukio ya kujiteka mkawa hakuelewi. Haya leo Waziri Mkuu kawasaidia kuelewa na kuwajulisha nini huwa kinafanyika na wanaotunga michezo ya kujiteka ndani ya nchi hii hasa huko CHADEMA.. Anayejiita msaidizi wa Chiba eti katekwa halafu mtu aliyekuwa naye kwenye gari akapanda bodaboda akaanza kufukuza gari lililomteka baadaye wakaanza kupigwa risasi halafu hakuna aliyejeruhiwa! Hivi nyie watu mbona hamnaga akili kiasi hiki? Sawa tunajua ni wajinga lakini mbona kama mmezidisha ujinga sasa.! Naye mtekwaji eti karuka toka kwenye buti ya gari mpaka vitu vya kati na kufungua mlango na kuingia porini 😁😁 akajikuta suruwali imenasa kwenye miiba ghafla kaibuka kavaa kanga na pingu zimemkamata kweli kweli ikabidi aende polisi kuomba afungukiwe pingu!.. mwandishi wenu wa hizi script ni mjinga sana. Nadhani leo mmeeleweshwa nani anafanya hii michezo na huwa inafanywa kwa lengo gani na kwa wakati gani!.. UFIPA tafuteni mbinu mpya hii ya kujiteka kuuwa watu wenu ilishafeli toka wakati wa Chacha Wangwe📌 #KigogoMediaUpdates
Indonesia
3
9
17
6.3K
BABA SAMIA retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Hana lolote, hata kushikilia bomba ameshindwa amekuta foleni ni ndefu sana. alidhania kuingia CCM kupata cheo ni jambo rahisi. Some people join CCM thinking getting a position is easy, without realizing how competitive and demanding the political ladder actually is 😂😂😂.
cousin 420 tweet media
English
14
33
62
5.4K
BABA SAMIA retweetledi
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
Vijana wa kikundi cha Pambamoto kutoka Wilaya ya Mtwara, Halmashauri ya Namyamba baada ya kuona nyumba zilizojengwa kupitia faida ya biashara walizoanzisha baada ya kunufaika na mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri. Huu ni ushahidi kuwa vijana wakipewa fursa, wana uwezo mkubwa wa kujenga maisha yao, kuajiri wengine na kuchochea uchumi wa jamii. Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kufungua milango ya uwezeshaji kwa vitendo na matokeo yanaonekana wazi.
Indonesia
0
16
15
212
BABA SAMIA retweetledi
kichefuchefuu
kichefuchefuu@kichefuchefuu·
Ndoto zilianza kama mawazo, leo zimekuwa nyumba halisi! Vijana wa Pambamoto Mtwara wameonyesha kuwa uwezeshaji ukikutana na juhudi, mafanikio hayaepukiki. Asante Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwainua vijana 🇹🇿
Indonesia
2
12
10
140
BABA SAMIA retweetledi
𝙊𝙣𝙖𝙞𝙨𝙖 𝘼𝙛𝙛𝙖𝙣𝙙𝙞
I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD I❤️ محمد ﷺ MUHAMMAD
𝙊𝙣𝙖𝙞𝙨𝙖 𝘼𝙛𝙛𝙖𝙣𝙙𝙞 tweet media
اردو
44
147
2.8K
19.5K
BABA SAMIA retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Tanzania kwenye mikono salama. 1. Serikali imeongeza udhibiti kuzuia upotevu wa madini. 2. Mfumo wa madini sasa ni wa uwazi na uwajibikaji zaidi. 3. Kampuni za ndani zinapata nafasi ya kukua. 4. Sheria mpya zinalinda maslahi ya taifa bila kufunga milango ya uwekezaji. Hatua hizi ni sehemu ya mkakati wa muda mrefu wa kujenga uchumi imara asante Prof Samia.
cousin 420 tweet mediacousin 420 tweet media
Indonesia
1
28
28
762
BABA SAMIA retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Prof anawatia Presha wanaharakati! Wasituchagulie silaha kabisa.
cousin 420 tweet media
Indonesia
4
32
33
1.1K
BABA SAMIA retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Haya hayakuwa maandamano ni Ugaidi, Uhalifu na Vurugu. Haki ya kuandamana haijumuishi kuvunja sheria.
Suomi
4
32
32
825
BABA SAMIA retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Jaji Chande amemaliza kila kitu! Ulikuwa ni ualifu na vurugu!
Indonesia
4
26
35
2.6K
BABA SAMIA retweetledi
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Speech ya Madam President imemaliza kila kitu. Moja ya hotuba bora zaidi kutoka kwa Rais wa Tanzania.
Nyani Ngabu tweet media
Indonesia
9
13
25
1.7K
BABA SAMIA retweetledi
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
JAJI CHANDE 📌 🚨 Matumizi ya nguvu lazima yaendane na tishio husika 🚨Kiwango cha nguvu kinaendana na hatari iliyopo 🚨Jeshi la polisi lina uhalali kutumia nguvu kulingana na tishio 🚨Askari anapotumia silaha anawajibika binafsi kwa matumizi yoyote ya silaha iliyoko chini ya uangalizi wake 🚨Ulazima wa polisi kutumia nguvu ili kudhibiti hali husika na tishio husika .. #UkweliOktoba29
Kigogo Media tweet media
Filipino
0
6
31
7.7K
BABA SAMIA retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Alililiiiiiiiiiiiiiiiiii wachochezi wameanikwa hadharani #ukwelioktoba29
cousin 420 tweet mediacousin 420 tweet mediacousin 420 tweet mediacousin 420 tweet media
Polski
12
27
43
4.2K
BABA SAMIA
BABA SAMIA@babasamia47·
@HecheJohn Upuuuuuuzi mtupu..!! Kama Hamuitambui sisi Watanzania tunaitambua na ripoti tumeipokea kwa Mikono miwili
Indonesia
19
0
4
2.3K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
TAARIFA KWA UMMA.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
58
394
1.5K
33.6K
BABA SAMIA retweetledi
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
YALIPANGWA YALIRATIBIWA YALIFADHILIWA na YALITEKELEZWA. Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania. #NeverAgain
Indonesia
897
46
269
117.6K
BABA SAMIA retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
JAJI CHANDE ◾️Kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025 ◾️Waliharibu vituo vya kupiga kura na kushambulia mawakala na mali za wananchi waliojitokeza kupiga kura ◾️waratibu wa ghasi walitumia malalamiko ya wananchi dhidi ya serikali wakati wanawashawishi ◾️wafanya gahasia walikuwa wezi na walipora na kuiba mali za watu #UkweliOktoba29
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
5
3
224
BABA SAMIA retweetledi
𝐌𝐚𝐡𝐝𝐢
𝐌𝐚𝐡𝐝𝐢@Mahdii_365·
May Allah keep us steadfast in Deen 🤍
𝐌𝐚𝐡𝐝𝐢 tweet media
English
11
84
2.3K
19.1K
BABA SAMIA retweetledi
Ch Mudasir 🇵🇰
Ch Mudasir 🇵🇰@Mudasr313·
Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah Allah
Ch Mudasir 🇵🇰 tweet media
Indonesia
20
157
776
20.3K