@NgowiZacha49059@killo_killo11@AlexSamoja Bado hamuamini kwamba siku hizi maisha yamebadilika kabisa,hapo usiombe C omba A,bado utapigwa ten lako.
Kama huamini ukisimamishwa na askari jifanye kuongea kiingereza ili akuachie🤣,uone unavyogongwa cheti huku ukisisitizwa kwmaba kiingereza kinampendeza mtu makini🤣🤣
INACHEKESHA SANA.
Golf Mike Uniform.
Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu.
Swali lake kubwa ilikuwa ni je,
@black_gifted13@Sun_tz_u20sj@udomzungu Kuna chombo gani cha habari wameenda kuhoji eneo lilipotokea tukio? Au ulitaka wajirekodi wapost na wao waje watekwe
Kwa mtu mwenye AKILI kwa tukio kama la bwana jumbe kudai katekwa lazima ikushangaze
Ebu msikilize MWANDAMBO ana hoja.
Ukija njoo taratibu usilete mihemko na matusi ya hovyo.
@Skinny36479503@MankindUwezo Aah shida sio ku crawl na pingu shida ku crawl lisaa lizima na watuwanao kutaka wasikupate ilihali wao hawana pingu na ni Askari waliopitia mafunzo
Naungana na Mwandambo, kipindi cha vurugu risasi zinalindima watu walirekodi videos na walipiga picha iweje hawa watu mpaka wanamteka gari lao halikupigwa picha, mpaka boda boda wanawafukuza watekaji , watekaji wanasimisha gari lao na kuanza kuwashambulia boda hakuna clip hata 1
@MankindUwezo kwamba bodaboda walianza kushambuliwa kwa risasi na hakuna hata aliechubuka na risasi?,kwanza watwambia jumbe alipataje michubuko na aliweza vipi kuwachomoka watekaji akiwa na pingu
@MrBenga473986@MankindUwezo Kama unasema police hawana weledi wakuteka mtu, basi tuwatoe kwenye shutuma za utekaji wa mdude na polepole maana wao hawana akili za kuteka mtu si ndio?
@MankindUwezo we Kuma kweli Sasa Mtu atakumbuka Kuchapa Clip Wakati wa Tukio watu waache kumsadia Mtu waanze kurekodi tukio nyie Maluma Sana Na Huyo mwandambo alishafirwa hana jipya Na hao polisi wa kibongo wana elimu Gani ya Standard ya kumteka mtu ndio mana mission Yao iliferi coz ni wapumba
@Wakazi@TitoMagoti Hivi hao Boda Boda waliorushiwa risasi kuna aliyezungumza hata mmoja? Ningetamani kuwasikia mashuhuda wa hili tukio kuna kitu hakipo sawa.
SIKU ZA MWIZI NI 40: NOW WHAT?!
Kwa tukio lililomtokea msaidizi wa Tundu Lissu, kuna mtu yeyote ana doubt juu ya WATEKAJI na WASIOJULIKANA ni kina nani?
Kwa namna Polisi wa Mbweni na Mapinga walivyo handle ripoti za tukio walivyozipokea, kuna mtu ana doubt juu ya USHIRIKA WAO kwenye utekaji na kupotosha ukweli?
Tendo la Watekaji kukimbilia eneo ya Usalama wa Taifa, kisha kwa kujiamini na kuanza kupiga risasi upande wa Wananchi, kuna mtu yeyote ana doubt USHIRIKI wa USALAMA?
Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kawaida huwa vinaundwa na watu wenye AKILI, na wanaotumia Akili na sio MABAVU; Ndio sababu vinaitwa INTELLIGENCE AGENCIES. Ila the minute you use FORCE, unaanza kufanya kazi isiyo na efficiency, na hatimae wanaanza kutoa maboko hadi wanajianika hadharani.
Na Wananchi toka mmeanza kuwapiga risasi, hamkuwaza kuwa watazoea na wataanza kuwa HAWAOGOPI, na watawafukuza hadi mwisho muendapo…
Tunaomba JAJI CHANDE akaongeze hii Story ya Djumbe, kuwa alitekwa sababu ya Mapenzi na Ushirikina na Akapigwa nusura kufa na kufungwa pingu. Kaongeze hii kwenye hiyo ripoti ya Mama Wa Kambo!
CCM na SERIKALI YENU HARAMU nchi imewashinda, please ondokeni maana mnaanza kuhatarisha amani ya nchi yetu. TUMEWACHOKA, HATUWATAKI, HATUWATAMBUI
Nina laani vikali Utekaji wa Djunbe, na naomba Watanzania wote tuwe on high alert ready to fight back kuanzia sasa, WATATUMALIZA tusipolindana. Pole kwa Djumbe, familia na marafiki walioathirika wakati wa tukio. Ila Pongezi za dhati kwa Bodaboda na Wananchi wengine waliosaidia kupambana na Watekaji hao.
The Leader
@2Ndulisu@Sun_tz_u20sj@udomzungu Walikua umbali gani? Usio rekodiwa? Risasi zipigwe dakika tatu mfululizo hata raia wengine washindwe ku notice?? Askari wote washuke kwenye gari wamuache mtu wao wanae taka kumua peke yake. U crawl lisaa lizima ukiwa na pingu, askari (trained) wanaotembea kwa miguu wasikufikie?
@Sun_tz_u20sj@udomzungu Gari ilipaki ili polisi wawafyatulie risasi boda boda , sasa sijui unachosema ilitakiwa waanze kurekodi badala ya kuokoa maisha yao, na simu gani i gerkodi kwenye giza kwa umbali waliokuwepo?
@Sun_tz_u20sj@udomzungu Kwa uwezo wako wewe wa akili mkubwa ,
Unalinganisha matukio ya 29oct yaliyofanyika mchana kweupe siku kadhaa mfululizo, nchi nzima, na
Tukio la dk 3 la ghafla, lilitekelezwa usiku, ? Kweli ,
Are you sane.
Yani boda wanakimbiza gari wawe wanarekodi?
@udomzungu@Sun_tz_u20sj Hizo risasi unahakika zilipigwa kweli, Boda hata mmoja kweli ashindwe kurekodi hiyo scenario? Mbona za mo29 clip zimerekodiwa sana…, kuna kitu hakipo sawa hapo.
@millardayo Nini mnachunguza zaid kama pingu polis ndio mnamiliki bado walisema asipelekwe kituone amalizwe inamaana katika jeshi lenu la polic ndan kuna genge la uhalifu mbaka leo hamuwajuh kwanini msijiudhuru tu
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, SACP Faustine Mafwele amesema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kuhusu tukio la David Joseph Mghanja maarufu Djumbe ambaye taarifa zake za kukamatwa na Watu wasiojulikana zilianza kusambaa mitandaoni tangu usiku wa Mei 20, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Polisi wameanza kufuatilia madai kuwa Djumbe alikamatwa maeneo ya Bunju na Watu wanaodaiwa kutokujitambulisha, ambapo katika uchunguzi huo wamefanikiwa kulipata gari aina ya Toyota Wish lenye namba T 609 DTD rangi nyeusi ambalo linadaiwa kuwa mali ya Allan Elisonguo Macha.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Djumbe anadaiwa kuwa alikuwa abiria ndani ya gari hilo wakati wa tukio la kukamatwa kwake, huku asubuhi ya Mei 21, 2026 Polisi wakipokea taarifa zikidai kuwa alikuwa katika Ofisi za Chadema zilizopo Mikocheni, lakini askari walipofika hawakumkuta eneo hilo.
Jeshi la Polisi limesema Djumbe tayari amepatikana na uchunguzi zaidi unaendelea ili kubaini Watu waliomkamata pamoja na sababu za kufanya hivyo kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi ya wahusika watakaobainika. #MillardAyoUPDATES
@black_gifted13@godbless_lema Sawa ila maumivu yao wasishirikishe Wala kutafuta huruma ya Wananchi...wadeal nayo wenyewe..maana huwa wanakuja kujiuliza liza. Imagine unamsaidia mtu kupambana na adui..tena adui wa haki...alafu kesho kaambata nae, na Wala hajaombwa msamaha au kupata hiyo haki...
Sawa bhana 😄 Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live 😅. Na usiwe na wasi wasi… huku hakuna nyama za matambiko 😂
@godbless_lema@godbless_lema najua hatuwalipi mishahara...mtasema tusiwapangie, alright..
But this is not Chadema we deserve... We need genuine people in Chadema na sio hizi rejects zinazokuja kwa maslahi....mateso yote mliopitia tutaona yalikuwa Maigizo tu kama mtaji associate na hawa watu.
Said Mkomwa mwenye umri wa miaka 31 Mganga wa kienyeji ambaye ni Mtuhumiwa aliye Kutwa na kichwa Cha Marehemu James Temba, Leo Kwa mara ya kwanza amefikishwa mahakamani kusomewa mashitaka.
Hata hivyo Said ameendelea kubakia mahabusu kutokana na kesi yake kutokuwa na dhamana.
@hiichafu@safarimlevi Sasa kama hadi hapo unashindwa king’amua zipi faida za huyo mtu licha ya kupewa profile yake wazi wewe ni kichwa maji mi sina cha kukusaida go back to school.
@karim888c@dumelambegu_OG@HildaNewton21 Hapa umedanganya au labda inategemea na circumstances, kuna siku nimeshuhudia afisa wa tiss kazuiwa kuingia ofisi flan kwa kua alikua na siraha (pistol) afisa wa tiss akatoka getin kwa police akajitambulisha kwa ID akamkabidhi pistol yake amshikie ili yeye aingie ndani.
@dumelambegu_OG@HildaNewton21 Namba 1. Hakuna mtumishi wa TISS anaeweza kujitambulisha kwa polisi kua yeye ni kitengo. Never na ni jinai na TISS wenyewe hata kama wanakutambua watakukana kama walivomkana Sabaya. Buyobe sio mjinga ajitambulishe yy ni TISS hta kama ni kweli yy TISS
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️
Shuka na Thread hadi mwisho👇
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti.
Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo.
Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo.
Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane.
Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda.
Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa.
Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo.
Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema.
Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi.
Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa.
Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha.
Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine.
Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya.
Part 2 inaendelea hapa 👇
@DynamicsNation_@privaldinho Wewe hata uluke uluke vipi, huwezi ukanambia mimi mond ni muandishi mzuri nikakuelewa, kwanza kitendo cha kuona kua aundishi wake ni bora ni dalili kubwa kua una learning difficulties yani una ubongo mzito.
@black_gifted13@privaldinho Jifunze maana ya Versatility au Versatile.... kabla hujapata Guts za kunibishia.
Hata kama maoni ya mtu ni binafsi ila hata kuelewa kilichoandikwa huelewi.
Ulikwepa umande.
Go back to school.