charles Isaya Mnyororo

138 posts

charles Isaya Mnyororo

charles Isaya Mnyororo

@chaincharles

Expert in WASH, Climate Change and Environment, Water Resources Management, Waste Management and Education

Dodom, Tanzania Katılım Aralık 2011
661 Takip Edilen229 Takipçiler
charles Isaya Mnyororo retweetledi
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
Mungu akitaka kukupatia kitu anakuletea kwa spidi ya kukua ndani yako. ~Mwl Mwakasege
Indonesia
2
40
159
4.2K
Mr Health💊💉
Mr Health💊💉@ItsMrHealth·
CHALLENGE: Simple EYE & IQ Test, Kwa Uzamini Wa Boni Yai.🥚 Tray Moja la Mayai Lina Mayai 30, JE...? Katika Picha Hiyo Kuna Mayai Mangapi...?? ABOUT 98% WILL FAIL...😅👇
Mr Health💊💉 tweet media
Filipino
329
18
281
31.6K
Mr Health💊💉
Mr Health💊💉@ItsMrHealth·
CHALLENGE: Simple Eye test, How many 3's in the image..? 97% MTAKOSA..👇
Mr Health💊💉 tweet media
English
805
30
426
107.1K
ICCCAD
ICCCAD@ICCCAD·
Prof. Saleemul Huq’s Namaz-e-Janaza will take place after Asr today at the Gulshan Society Jame Mosque (Road-63, Gulshan-2). Kindly join and pray for his departed soul. Location: maps.app.goo.gl/yBNHvygQi8skZP…
English
9
38
188
16.6K
charles Isaya Mnyororo
charles Isaya Mnyororo@chaincharles·
@Hakingowi Matumizi ya nishati safi katika ngazi ya kaya ni muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha ongezeko la joto dunia. jitihada zimekuwa zikifanyika kupunguza ongezeko la gesi ukaa.Changamoto ni upatikanaji katika ngazi ya chini mwa bei ambayo mwananchi wa kawaida anaweza imudu
Indonesia
0
0
1
21
Haki Ngowi
Haki Ngowi@Hakingowi·
📍Buhigwe,Kigoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimkabidhi mtungi wa gesi mwakilishi wa Mama wajawazito kutoka Wilaya ya Buhigwe Bi.Angel Leonce kwa lengo la kuhamasisha nishati safi ya kupikia pamoja na kukabiliana na changamoto zinazowakumba wajawazito. Mitungi hiyo imetolewa wakati wa hafla ya kupokea vifaa tiba vilivyotolewa na Taasisi ya Doris Mollel pamoja na vifaa tiba vilivyotolewa na Tume ya Ushindani (FCC) katika Hospitali ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma. Tarehe 06 Julai 2023. 📸:O/Makamu wa Rais
Haki Ngowi tweet media
Filipino
1
2
32
2.2K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Taasisi zilizoongoza kwa wahitimu wake kupata Ajira (Vyuo vikuu) Utafiti wa Mwaka mmoja 2021/2022 hakuna Taasisi ilovuka 50% ya wahitimu wake kuajiriwa sekta mbali mbali vyuo Kumi tu ndo wahitimu asilimia kumi kupanda wameweza pata Ajira. Hizi ndo kumi Bora 1. Muhimbili University 45% 2.Hubert Kairuki M University 32% 3. IFM 20% 4. UDSM 20% 5. SUA 19% 6. UDOM 19% 7. MUCCOBS 16 8.DUCE 15% 9. TIA 13% 10. KCMCo 10%
Tanzania Abroad TV tweet media
Kodaira-shi, Tokyo 🇯🇵 Indonesia
15
8
55
13.9K
charles Isaya Mnyororo
charles Isaya Mnyororo@chaincharles·
@Tigo_TZZ @HildaNewton21 Boresheni kwa kushusha gharama za mabando, huduma bora ni ile ambayo inamletea unafuu mtumiaji , huwezi kujitanabaisha kuwa tuna bando mpaka la 500, wakati ni sawa na mb 240, sio sawa
Indonesia
0
0
0
10
Yas Tanzania
Yas Tanzania@YasTanzania_·
@chaincharles @HildaNewton21 , badi tunaendelea kuboresha huduma zetu ili kuweza kuwapatia huduma bora zaidi, tafadhali endelea kutumia huduma zetu.
Indonesia
1
0
0
55
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nape haoni aibu kusema uwongo hadharani? Kuweka kumbukumbu sawa, Kabla ya Rais Samia kuingia madaraka ilikuwa GB 1 unanunua Tsh 1000. Lakin baada ya Rais Samia kuingia sasa hivi ukiwa na Tsh 1000 unapata MB 490.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
504
135
1.5K
151.5K
Yas Tanzania
Yas Tanzania@YasTanzania_·
@chaincharles @HildaNewton21 , tunapenda kukufahamisha kuwa, tuna vifurushi mbalimbali unavyoweza kujiunga kulingana na matumizi yako na thamani ya pesa yako, kwani tuna vifurushi vya gharama ya chini zaidi, kuanzia vya 500.
Indonesia
1
0
0
48
charles Isaya Mnyororo retweetledi
Tanzania Sustainable Development Platform
Jukwaa la Maendeleo Endelevu linaratibu Asasi za Kirai kufanya tathmini ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania kwa mwaka 2023 ili kutambua hatua tulizopiga tangu 2019 na mchango wa Asasi za Kiraia kwenye utekelezaji huo.
Indonesia
1
3
4
394
charles Isaya Mnyororo
charles Isaya Mnyororo@chaincharles·
@SwahiliBible all adaptation measures zimekuwa identified Kwenye Nationally Determined Contribution nadhani shida ni fedha
Filipino
0
0
0
0
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
ukame siyo emergency tutakuwa nao kila mwaka kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi adaptation mechanisms in the water and energy sector - necessary miradi mikubwa ya uchimbaji wa maji na miradi mikubwa ktk nishati endelevu - solar, wind, geothermal, a bit of hydro
Filipino
28
47
246
0