
@rioferdy5 Just go away. You came to our country just to be used? Is your twitter working while you are in Tanzania? Do u realise if u use VPN is illegal. You are there to clean their are mess. Go away
English
Aloyce Jimmy
448 posts













Elimu ya Wolfgang Pisa, Rais wa TEC; 1. Bachelor degree in Philosophy- Zambia 2. Bachelor degree in Divinity - Zambia 3. Bachelor degree in Theology- Jordan 4. Masters of Education - UDSM 5. Masters in Social ethics- USA 6. PhD in Social Ethics- USA




















Huko Songea tumekutana na hali ya kusikitisha sana inayoonyesha namna Serikali ya CCM inavyokandamizi Wakulima na kujali watu wenye uwezo. Katika Halmashauri za Mbinga DC na Songea DC ushuru wa Lori la tani 30 za Makaa ya Mawe ni shs 30,000. Ushuru wa Tani hizo hizo za Mahindi ni shs 90,000. Hii ni moja ya simulizi ya sera fyongo za CCM inayoumiza na kushangaza

