Professor Jamvileo

7.8K posts

Professor Jamvileo banner
Professor Jamvileo

Professor Jamvileo

@jamvileotips

Top value betting tips, We're passionate about sports- and we're bonkers about betting

Tanzania Katılım Ocak 2022
251 Takip Edilen3.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Professor Jamvileo
Professor Jamvileo@jamvileotips·
The one good thing about not winning , It is the will to prepare to win.
English
4
3
30
33K
Professor Jamvileo
Professor Jamvileo@jamvileotips·
@HecheJohn Lakini Kenya Kuna wizi mkubwa kuzidi Tanzania pamoja na katiba yao labda kama hauna numbers , Miradi mingi ya Kenya ni over priced
Indonesia
0
0
0
111
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kenya itazidi kutuacha mbali mno kwa kila kitu… Chanzo cha ufisadi, wizi na ujambazi wa mali za umma ni usiri wa mikataba na makubaliano. Kuna ujambazi mkubwa kwenye mikataba ya bandari zetu kupewa Waarabu, viwanja vya ndege, misitu kwa Oman, gesi yetu, dhahabu zetu ikiwemo mkataba mpya wa Sengerema Nyanzaga, huu mgodi utakua mkubwa kuliko yote Nchini..kuna mikataba ya mbuga za wanayama, mikataba ya nickel na cobalts kule Kabanga. Kuna mkataba wa uranium na Urusi kule Namtumbo.. Tunaweza kutaja maelfu ya mikataba ambayo inafanywa siri ya hawa mafisadi wasio na huruma na Watanzania. Mkataba wa ujenzi wa SGR ya Tanzania ni uchafu mkubwa, kuna kipande kimejengwa kwa usd milioni 3.9 kwa kilometa na kingine kinajengwa kwa usd milioni 5.5 kwa kilometa bila ushindani. Mikataba ya manunuzi ya mabehewa ya hovyo. Mikataba ya ujenzi wa barabara takataka ambazo zinabomoka siku ya pili baada ya kukabidhiwa, mikabata ya wizi ya BRT Dar, ununuzi na ujenzi wa Meli Mwanza. Katiba ya Kenya inawapa Wakenya fursa ya kuona huo uchafu na kuchukua hatua. Ndio maana Watanzania lazima tupiganie Katiba mpya ili tukomeshe huu ushenzi unaotutesa na kutuacha masikini kwa miaka mingi. Tunataka katiba mpya sasa.
Indonesia
30
143
407
10.7K
Adaeze Michael
Adaeze Michael@Adaeze_michael·
If you look at this list carefully You will realise it is purely on Merit..no sentiments..no Serenre.. All these plsyers have been Consistent and had an amazing season..weldone Thomas Tuchel
Adaeze Michael tweet media
English
1.3K
64
767
124K
Juma Ayo
Juma Ayo@JumaAyoo·
Nimepokea simu nyingi sana za mashambulizi kuhusu kushindwa kumjibu Jemedar juu ya ujio wa Rio ,wengi mmenitukana sana na Mimi nimeyapokea matusi yenu kwa moyo safi nimekaa nyuma ya kipaza for 11 years so mna uhakika Yale maswal yalikuwa magum kiasi cha kushindwa? Happy sabbath
Indonesia
121
29
481
60.5K
Professor Jamvileo
Professor Jamvileo@jamvileotips·
@VungaEl74 Yani Senagal Vs Ivory Coast inapigwa hapo usiende kisa ni mbali? We sio mtu wa mpira
Indonesia
0
0
0
27
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Huu uwanja ulipelekwa mbali mno na huduma za kijamii mimi hunipeleki huko
Vunga tweet mediaVunga tweet mediaVunga tweet media
Indonesia
51
34
345
28.8K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Mtazamo wangu kuhusu hizi projects za muda mrefu kuwekwa nje ya mji ..✍ Wengi naona mnakataa huu uwanja kuwekwa umbali mrefu kutoka City center, lakini mkiangalia Vituo vya SGR cha morogoro kipo Mkundi, ni nje ya mji kidogo, Dodoma kituo kipo Nkonze anapopatikana mama ntilie wetu mwenye chakula kizuri na usafi wa nyota 5 @Tinahcristiaan ambapo pia ni Nje ya mji . Impact yake ni nini? Ni kuutanua Mji au Jiji , kwa sababu maeneo hayo yatapandishwa thamani mfano tu uliza bei ya plot Nkonze Dodoma before SGR na bei ya plot now,.. So ni rahisi project kufanyika huko na kupangilia kuliko maeneo ambayo tayari yapo populated, lakini pia ni fursa mpya kwenye maeneo hayo na wakazi wake... so kwa upande wangu miundombinu ikiwa friendly, this is one among project ya kujivunia mahali ilipo hasa kwa watu wa Arusha.
The champ👑 tweet mediaThe champ👑 tweet media
Indonesia
13
16
86
7.2K
Frank zaga
Frank zaga@Bwanafrank2·
@Njalirakassim12 No he’s a star my point is on every season yanga and simba on the trophy which is different in ug
English
40
0
24
6.9K
Frank zaga
Frank zaga@Bwanafrank2·
Tanzania league might be one of the weakest leagues in East Africa
English
193
74
1.3K
143.7K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mpaka sasa nashindwa kuelewa. Kwenda kumchukua fredinand au other someone famous. Kumleta Tz, ndio kuta boresha sanaa yetu? Au ni nini? Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
12
2
141
9K