nuru

259 posts

nuru banner
nuru

nuru

@nuru2025

Politician

Katılım Mart 2024
74 Takip Edilen49 Takipçiler
nuru
nuru@nuru2025·
NI ZAMU YA BUNDA SASA, MWENEZI WA CHAMA KIKUBWA DUNIANI ANAKUJA.
Indonesia
0
0
0
9
nuru
nuru@nuru2025·
@Mwinshehe07 Wapuuzi nyie yaani hawa watu wote maelfu wanaojitokeza kila mkutano wa mwenezi kuanzia ngazi ya mashina, wilaya, hadi mkoa kuwa wote wanalipwa 🙌🙌 Shame on you
Indonesia
0
0
1
113
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Mara nyingi CCM mnatumia utaratibu wa kusomba watu kwa magari na kuwapa posho ili kujaza mikutano hatuwezi kuwapima kwa umati pekee yake Tarime imekuwa ni Ngome kubwa ya upinzani kwa miaka mingi na wananchi wana haki ya kusikiliza pande zote kabla ya kufanya maamuzi yao kupitia kura Leteni katiba mpya na uchaguzi huru then turudi kujadili hapa demokrasia ni uchaguzi huru na kuheshimu maoni tofauti
MR BEN@Eric__Bernard

Mkutano wa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Kenani Kihongosi Wilaya TARIME Ngome ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche.. Wana Tarime wamefurika, wamejazana umati mkubwa hivi kusikiliza sera za Mwenezi wa CCM huku wakisema "Never Again"!!! Wao ni Amani na Maendeleo!!

Indonesia
33
13
72
5.2K
nuru
nuru@nuru2025·
*TARIME-MARA* *15.05.2026* *MKUTANO WA HADHARA WA MWENEZI KENANI KIHONGOSI TARIME MJINI MKOA WA MARA*
nuru tweet medianuru tweet medianuru tweet medianuru tweet media
Indonesia
0
0
1
8
nuru
nuru@nuru2025·
Ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Kenani Kihongosi inaendelea ndani ya mkoa wa Mara huku akipita shina kwa shina ili kuangalia hali za wanachama na kukagua miradi ya kimaendeleo na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM.
nuru tweet medianuru tweet medianuru tweet media
Indonesia
0
2
2
14
nuru retweetledi
Rahimuddin Ismail
Rahimuddin Ismail@SokwaraT·
RAIS RUTO AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KITAIFA NCHINI KWA MAFANIKIO, AREJEA NCHINI KWAKE Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Samoei Ruto amehitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku mbili iliyofanyika nchini kuanzia tarehe04 hadi 05 Mei, 2026 kwa mwaliko wa Rais Dkt. Samia Suluhu
Rahimuddin Ismail tweet mediaRahimuddin Ismail tweet mediaRahimuddin Ismail tweet mediaRahimuddin Ismail tweet media
Indonesia
1
6
8
63
nuru retweetledi
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Ushiriki wa baadhi ya Wanaharakati kwenye shughuli ya Mfanyabiashara Vunjabei ni kielelezo cha umoja na mshikamano wa nchi yetu. Tusigawanywe kwa misingi ya itikadi na Watu ambao hawaitakii mema nchi yetu. #TumeNaUkweli
Indonesia
1
2
3
14
nuru retweetledi
Rahimuddin Ismail
Rahimuddin Ismail@SokwaraT·
🗞️ 𝐆𝐀𝐙𝐄𝐓𝐈 𝐋𝐀 "𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈" 𝐋𝐀𝐌𝐔𝐋𝐈𝐊𝐀 𝐓𝐄𝐍𝐀!!! Makonda: Wanahabari itangazeni nchi si watu Rais Samia mgeni rasmi Mei Mosi Prof Nagu : Serikali imetumia tril. 1.34 kuboresha afya ya msingi Karibu usome gazeti zima!!! #𝙋𝙖𝙩𝙖𝙃𝙖𝙗𝙖𝙧𝙞
Rahimuddin Ismail tweet mediaRahimuddin Ismail tweet media
Indonesia
0
6
7
121
nuru retweetledi
Rahimuddin Ismail
Rahimuddin Ismail@SokwaraT·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Iringa ambapo anatarajiwa kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yatakayofanyika mkoani Njombe Leo Mei 1, 2026
Rahimuddin Ismail tweet mediaRahimuddin Ismail tweet mediaRahimuddin Ismail tweet mediaRahimuddin Ismail tweet media
Indonesia
0
9
10
120
nuru retweetledi
Seif Haruna Iddy
Seif Haruna Iddy@seif_tanzania·
Simba timu ipo
Filipino
0
1
2
52
nuru retweetledi
Rahimuddin Ismail
Rahimuddin Ismail@SokwaraT·
*RAIS SAMIA AIPONGEZA SIMBA KWA KUTWAA UBINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO 2026* "Ninaipongeza Klabu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Muungano mwaka 2026. Mbali na burudani, michezo imeendelea kuwa daraja imara linalotuunganisha.
Rahimuddin Ismail tweet media
Filipino
1
9
9
54
nuru retweetledi
mackdeo Mackeja shilinde
mackdeo Mackeja shilinde@MackdeoShilinde·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Kwa mara ya kwanza, Tume ya Rais wa nchi imependekeza namna ya kukamilisha mchakato wa kuipatia nchi yetu Katiba Mpya ili iweze kutumika kwenye chaguzi zijazo. Wanaharakati Uchwara hawataki tena hoja ya Katiba Mpya. Tumewapuuza. #TumeNaUkweli
Indonesia
0
5
6
41
nuru retweetledi
Rahimuddin Ismail
Rahimuddin Ismail@SokwaraT·
Katibu Mkuu wa chana cha CHAUMMA na mgombea urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025, Ndugu Salum Mwalimu, ameipongeza tume huru ya Rais Samia Suluhu
Indonesia
0
5
6
123
nuru retweetledi
Rahimuddin Ismail
Rahimuddin Ismail@SokwaraT·
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza
Rahimuddin Ismail tweet media
Indonesia
0
11
12
94