#NoreformsNoelection✌️

561 posts

#NoreformsNoelection✌️ banner
#NoreformsNoelection✌️

#NoreformsNoelection✌️

@robert18222

Katılım Nisan 2023
65 Takip Edilen33 Takipçiler
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Watanzania wenzangu, tunatangaza kumtafuta kaka yetu Hamis Tweve wa Mlowo, Mbozi mkoani Songwe ambaye hajaonekana tangu kipindi cha maandamano hadi leo. Kwa yeyote atakayemuona au kupata taarifa zake atoe taarifa kupitia namba hii +255 757 566 584 (Luck Tweve). Asante
DevotaTweve tweet media
Indonesia
62
73
257
39.8K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TAARIFA KWA UMMA
Hilda Newton tweet media
Indonesia
72
406
2.1K
36.5K
Mohammed Kawaida
Mohammed Kawaida@ComradeKawaida·
Waliohamasisha kuandamana wao hawakuonekana kwenye maandamano, sasa hivi wanatumia misiba ya watu waliowatoa muhanga kufanyia siasa na kupandikiza chuki. Tunahitaji kuacha kutumika kama zana za kisiasa na badala yake tuungane kama Taifa Tanzania Nchi Yangu🙏🏿🙏🏿 .. #SautiYaVijana
Mohammed Kawaida tweet media
Indonesia
402
25
195
86.8K
Enock Kiswaga
Enock Kiswaga@TheRealEkiswaga·
Harakati imemshinda Mwabukusi halafu mnataka kumlazimisha @ezekiel_kamwaga afanye harakati😁😁 Hebu tuacheni kwanza
Indonesia
13
4
35
11.9K
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Kuna wakati katika historia ya Taifa letu ambapo kupiga kura haikuwa haki ya kila mmoja, bali ndoto ya wengi. Leo, kizazi cha vijana kilichozaliwa katika uhuru wa demokrasia kimerithi fursa adimu fursa ya kuchagua, kuamua, na kushiriki katika kujenga mustakabali wa Tanzania. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa, alitambua mapema kwamba kura ni zaidi ya karatasi; ni alama ya uhalali wa mamlaka na ishara ya ushiriki wa wananchi katika uongozi wa nchi yao. Hata katika enzi za chama kimoja, Mwalimu alisisitiza wananchi wapige kura kama kipimo cha uungwaji mkono, akiamini kuwa sauti ya wananchi ndiyo msingi wa serikali bora. “Kura ni tochi ya kuongoza, inatoa nuru ya uhalali, uwajibikaji, na matumaini,” alisema Mzee Juma Hiza (78), mwanahistoria na rais mstaafu. “Tulikipigania hiki kitambulisho cha kupiga kura. Tuliamini kila raia ana haki ya kusema ‘ndiyo’ au ‘hapana’ kwa amani.” Leo, tunaposhuhudia sanduku la kura, tunapaswa kuliona kama alama ya mapambano, amani na ushindi wa utu. Ni zana ya kujenga bila kuvunja, ya kubadilisha bila ghasia, na ya kuweka historia mpya bila kurudia makosa ya jana. Kizazi cha sasa kina nafasi ya kuendeleza mwanga huo. Kila kura ni ishara ya heshima kwa walioweka msingi wa taifa, na ni ahadi kwa vizazi vijavyo kwamba Tanzania itaendelea kuwa nchi ya umoja, haki na maendeleo. Kupiga kura ni tendo la shukrani kwa waasisi wetu. Ni uamuzi wa kuthamini uhuru uliopatikana kwa jasho, hekima na ujasiri. Ni tochi ya mwanga wa kidemokrasia unaoendelea kuongoza taifa letu. Kura yako ni tochi ya kuongoza Tanzania kuelekea kesho iliyo na matumaini. Piga kura kwa amani, kwa fahari, na kwa heshima ya waliotutangulia. Thamini mwanga huu, udumishe kwa ushiriki wako.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
22
42
52
5.4K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"CCM inaomba mtupe kazi, tukafanye kazi, tujenge utu wa Mtanzania, tuuheshimishe utu wa Mtanzania, na tuulinde utu wa Mtanzania." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwenye kampeni Buhongwa, Mwanza
Swahili Times tweet media
Indonesia
89
3
126
20.7K
UD-BOY ⚡️
UD-BOY ⚡️@udsm_finest·
Good morning X family Have a blessed day
UD-BOY ⚡️ tweet media
English
49
35
381
30.5K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Jeshi la Polisi limesema litaendelea kuwasaka na kuwakamata wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii kutengeneza, kuandika na kusambaza picha za kuhamasisha watu kufanya vitendo vya kiuhalifu kinyume na maadili, utamaduni na sheria za nchi. Polisi wamesema vitendo hivyo vinavyosababisha hofu na kuzua taharuki, vinapaswa kukemewa na kupigwa vita.
Swahili Times tweet media
Indonesia
97
16
445
39.8K
#NoreformsNoelection✌️
#NoreformsNoelection✌️@robert18222·
kama nitakufa Mungu atakupigania mwanangu acha tarehe 29 October nikakomboe nchi yangu✌️
#NoreformsNoelection✌️ tweet media
Indonesia
0
0
0
2
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Kura yako ndiyo sauti yako. Sauti yako ndiyo nguvu yako. Na nguvu yako ndiyo itakayolinda Tanzania yenye amani, maendeleo na umoja.
Filipino
27
35
55
16K
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Wahenga walisema: “Chakula kinakukifu unapokuwa nacho, lakini thamani yake hujitokeza zaidi kinapokosekana.” Vivyo hivyo, amani ni zawadi adimu ambayo wengi huitazama kama ya kawaida hadi inapopotea. Leo hii, Tanzania inasalia kuwa moja ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika. Huu ni urithi tulioupata kwa gharama kubwa, kupitia hekima ya waasisi wetu, busara ya viongozi wetu, na umoja wa wananchi wetu. Hata hivyo, urithi huu hautadumu ikiwa hatutalinda kwa vitendo. Vitabu vitakatifu vinatukumbusha kuwa amani ni tunda la upendo. “Jiepushe na uovu, utende mema; utafute amani na uizingatie.” (Zaburi 34:14) Na “Heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa Mungu.” (Mathayo 5:9) Kwa msingi huo, kila Mtanzania ana jukumu la kuilinda amani kama amri ya kiimani na wajibu wa kikatiba. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka wazi: Ibara ya 3(1): “Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia, yenye haki na ya amani.” Ibara ya 8(1)(a): “Mamlaka yote na utawala upo mikononi mwa wananchi.” Ibara ya 27(1): “Kila raia atalinda mali ya umma, mazingira, na kudumisha amani, usalama na utulivu wa nchi.” Kwa maneno mengine, kulinda amani si hiari; ni wajibu wa kisheria, kiimani na kizalendo. Leo, baadhi ya watu wanajaribu kueneza taharuki na kuhamasisha maandamano wakitumia visingizio vya “haki za kiraia.” Lakini ukweli ni kwamba vurugu na amani haviwezi kuishi pamoja. Wananchi wa kipato cha chini wanaoishi kwa jasho la kila siku ndio wanaoumia zaidi pale utulivu unapovunjika masoko hufungwa, biashara husimama, watoto hukosa chakula, na familia hukosa kipato. Amani ni ngao ya taifa. Tukiiweka rehani kwa jazba, tunahatarisha si tu mustakabali wetu, bali pia wa vizazi vijavyo. Kadri tunavyokaribia Uchaguzi Mkuu, ni lazima kila mmoja wetu awe mlezi wa amani. Hoja za huduma bora za kijamii ni halali, lakini zinapaswa kushughulikiwa kwa njia za kisheria, za mazungumzo na si kwa vurugu. Viongozi wa dini, jamii, na taasisi zote za kiraia wana wajibu wa kusimama mstari wa mbele kuhubiri umoja, upendo na utulivu. Amani hailetwi na risasi, bali kwa hekima, busara na moyo wa kujenga. Amani ni urithi wetu, ni ngao yetu, na ni wajibu wetu. Tanzania haitarudi nyuma. Watanzania wote; tulinde amani yetu kama tunavyolinda maisha yetu.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
71
43
60
23.9K
Zature
Zature@iamZature·
🤔🤔🤔, Tumefikaje Huku? 🤔🤔🤔🤔
18
91
605
19.4K