Sightmirror

71.5K posts

Sightmirror banner
Sightmirror

Sightmirror

@sightmirror

#FFF#

Entrou em Temmuz 2018
585 Seguindo722 Seguidores
Sightmirror retweetou
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨 Wamenasa Kwenye Mtego!‼️ Ripoti ya Tume ya Chande imejibu baadhi ya maswali ambayo hayakuwa na majibu: 👉🏽Kwenye swali la nani aliamuru vikosi viue raia wa Tanganyika, tume imeshindwa kutaja. Ukimya wa tume ni wazi kwamba aliyeamuru ni bosi wao ambaye naye alisisitiza kwamba ripoti ile ni ya kwake na wengine tusijitie kimbelembele kuifuatilia.. Ni dhahiri kwamba hakuna mauwaji ya kiwango hicho yanaweza kufanyika bila ridhaa ya mamlaka kuu. 👉🏽Kulikuwa na hoja Mkuu wa Jeshi la Polisi alipokea maelezo kutoka kwa nani kutangaza hali ya hatari. Swali hili limepewa majibu kuwa raia waliouawa ni 518 waliokufa vifo visivyo vya kawaida yani vya kikatili kabisa na kwingine Jaji Chande alisema waliouliwani 818. Utata huu wa kitakwimu unabidi kutatuliwa na tume huru isiyo egemea upande wowote. 👉🏽Kwenye suala la kuzimwa kwa interneti kulikofanywa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) swali hili lilijibiwa na Samia Suluhu Hassan pale alipoomba radhi kwa Jumuiya ya Kimataifa kwamba ni kweli walizima mitandao tangu Jumatano, Oktoba 29, 2025 kwa siku 6 mfululizo. 👉🏽Suala la nani aliagiza na kugawa silaha kwa wauaji hili pia limejibiwa kwa kusema kwamba raia ndio walikuwa na silaha za jadi ikiwemo mapanga, mishale na mikuki ambazo zisingeweza kufanya mauaji yale ya kimbari tuliyoyashuhudia. Mzigo wamebebeshwa wahanga wa vurugu ya dola dhidi ya raia wasio na hatia. 👉🏽Kuhusiana na mamluki wote wa kigeni na vikosi vya uhalifu vinavyoratibiwa na Idara ya Usalama ambao wametenda uhalifu dhidi ya ubinadamu wamefunguliwa mashtaka gani, tume imekiri kwamba ni lazima kuunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai. 👉🏽Kuna swali kuhusu Tume ya Chande kuficha ushahidi uliokuwa unatolewa na wahanga wa mauaji, tume imeshindwa kujibu. Jibu liko wazi, hawakutaka ukweli ujulikane ili waweze kutoa taarifa wanazozitaka wao. Raia wa Tanganyika hawatatishwa na kauli wala vitendo vya magaidi wa CCM vya kutaka kutawala Tanganyika kwa mabavu. Ripoti ya Chande ni ushahidi usiopingika kwamba mauaji ya halaiki yalitokea, watu wamepotezwa kwa nguvu na zaidi kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu #SamiaMustGo #SamiaAtICC
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
12
104
369
20.8K
Sightmirror retweetou
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Wakati George Orwell anaandika hivi vitabu, mama yake Samia alikuwa hajawaza hata kubeba mimba. Cha ajabu ni kwamba kila sentensi iliyoandikwa kwenye hivi vitabu inamzunguzia Samia, tena pasipo kukosea hata chembe. Kwa mfano, Animal Farm ni Samia mtupu mwanzo mpaka mwisho. 🙌🏿
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
10
41
307
9K
Sightmirror retweetou
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Hao Majaji Wakuu hawana historia yoyote muhimu katika Mahakama zetu. Ni CJs wenye nakisi ya jurisprudential values katika nyakati za utumishi wao. Ni watu wa hovyo tu!
Martin Maranja Masese@IAMartin_

Uwepo wa Majaji Wakuu wawili wastaafu katika tume hiyo, ungetakiwa kuleta utimamu wa kisheria na kuziba mianya na mapengo ya kisheria. Ni bahati mbaya sana, hata raia wa kawaida wameyaona mapengo mengi. Tume za uchunguzi wakati mwingine hufanya kazi kwa mujibu wa hadidu za rejea (terms of reference). Hata hivyo, ikiwa matokeo ya tume hiyo yanaathiri haki, mali, au sifa ya mtu, lazima kanuni za haki ya asili zitumike. Ni jambo la kushangaza kuona mchakato wa kisheria au wa kijaji ukikwepa misingi ya kisheria na haki ya asili (natural justice), hususani unapoongozwa na watu wenye uzoefu mkubwa na ubonezi wa juu katika sheria. Katika ulingo wa sheria ya ushahidi, haki ya kuhoji mashahidi (Cross-Examination) ni nyenzo muhimu zaidi ya kupata ukweli. Bila dodoso, mahakama (au hiyo tume) itakuwa inategemea simulizi za upande mmoja. Katika sheria, cross-examination inajulikana kama injini kuu ya kisheria iliyowahi kuvumbuliwa kwa ajili ya kubaini ukweli (the greatest legal engine ever invented for the discovery of truth). Hutakiwi kuikwepa. Bila mtuhumiwa au upande mwingine kupata fursa ya kumhoji shahidi, ushahidi huo unabaki kuwa wa upande mmoja (ex-parte). Tume inakuwa imejenga ukuta badala ya daraja katika kutafuta ukweli na haki. Ushahidi wa aina hiyo kitaalamu unakosa kile kinachoitwa "Admissibility weight" kwa sababu haujafanyiwa jaribio la moto (fire-testing). Mchakato huo unakiuka misingi ya Haki ya Asili (Natural Justice). Katika mahakama nyingi, ushahidi ambao haujapita kwenye dodoso huchukuliwa kama ushahidi dhaifu au wakati mwingine hukataliwa kabisa kwa sababu haujafanyiwa majaribio ya ukweli. Haujapimwa. Dodoso husaidia kufichua uongo, upendeleo, au makosa ya kumbukumbu ya shahidi. Dodoso ndiyo njia ya kupima kama shahidi ni mwaminifu. Je, ana chuki? Je, ana maslahi ya kifedha? Maelezo yake yanalingana? Bila maswali ya dodoso, uaminifu (credibility) wa shahidi hauwezi kuthibitishwa, na hivyo ushahidi wake hauwezi kuwa na probative value ya kumfunga mtu au kumwajibisha. Majaji wastaafu wanafahamu hilo. Kupuuza dodoso ni kuubadili mchakato kutoka wa “kisheria” na kuwa wa “kiutawala” au “kisiasa,” jambo ambalo linafifisha dhana ya utawala wa sheria. Ndiyo wamekwepa kuwataja wahusika wa hayo mauaji. Haki ya Kusikilizwa (Audi Alteram Partem). Hii ni nguzo ya kwanza ya haki ya asili—kwamba hakuna mtu anayepaswa kuhukumiwa bila kusikilizwa. Wametuhumiwa watu na makundi, hawahojiwa. Right to Hearing: Ikiwa tume ilikusanya tuhuma dhidi ya watu fulani bila kuwapa nafasi ya kujitetea (right to be heard), ripoti au mapendekezo ya tume hiyo yanaweza kupingwa kisheria (procedural impropriety). Kwa tume inayohusisha majaji wakuu wastaafu, matarajio ya umma na kisheria ni kwamba taratibu hizi zingefuatwa kwa ukamilifu ili kulinda heshima ya mchakato mzima. Badala yake, hatua zimerukwa Unapokuwa na jopo lenye watu wenye weledi wa hali ya juu (kama Majaji Wakuu wastaafu), tegemeo ni kwamba wataulinda huu mwongozo wa haki ya asili (Natural Justice). Lakini katika tume hii, imekuwa tofauti. Hao mnaosema walipanga, waliratibu, walifadhili waaandamanaji, mmewafikia na kuwahoji? Huo ushahidi usiokuwa na shaka ni ushahidi wa upande mmoja. Kwanini hamjawafikia waliotajwa, na kuwahoji? Kitaalamu, Jaji anafahamu, hukumu au hitimisho lolote linalofikiwa bila kushirikisha upande unaotuhumiwa ni batili kisheria (null and void) endapo itatumika kama msingi wa kutoa adhabu/maamuzi ya kisheria. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

Indonesia
7
46
249
9.6K
Sightmirror retweetou
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨TUSIPOAMKA NCHI IMEKWENDA‼️ Mungu ni mwema sana 🙏🏽 Kabudi ameropoka kila kitu na sasa ni dhahihiri hawana nia yoyote njema na Taifa 👉🏽Tulipewa taarifa kuwa Kabudi ndiyo mastermind kwa maelekezo ya Abdul na genge lake kuDOCTOR ripoti ya Tume ya Chande na ndo ameandaa hotuba ya Samia - tatizo lake ni mropokaji 🙄 Lakini kupitia hii interview ya BBC amejianika kuwa yeye ndo mwandishi na mpangaji wa mipango yote na ndiye anatoa maelekezo wala si @SuluhuSamia 👉🏽 Kabudi anaongelea Tume ya Uchunguzi ambayo imependekezwa na Tume ila ye tayari anaongea (siyo kwamba Rais kamwagiza bali kama yeye ndo Rais mwenyewe) kuwa wataitwa watu na sijui sheria ya Uingereza! Tume haijaundwa wala kupewa hadidu rejea - lakini tayari Kabudi anaeleza what will happen! 👉🏽 Ameweka wazi kuwa watatarget viongozi wa upinzani (CHADEMA), viongozi wa dini na wanaharakati! Yaani wakamate na wafunge midomo wote tunaoongea na kupaza sauti! Ila walioua na ushahidi upo ni polisi hawatawajibishwa! Hakuna Haki itatendeka 👉🏽Katiba mpya wanataka kuleta ya kwao na mmemsikia huko mwisho eti labda waingiliwe na “wasiotakia mema nchi” mnaandaaje Katiba Mpya na huku mnawinda na kukamata wadau muhimu kama wa upinzani na wanaharakati? Sasa eleweni watanzania kuwa genge la Abdul na mama yake wakishirikiana na wasaliti wa Tanganyika kama akina Kabudi hawataki maridhiano ya kweli wala Katiba Mpya Wao wanataka kujizatiti kwenye udhalimu wafunge kila anayekosoa na wanasema watanzania wawe waoga wasithubutu tena kuandamana au kupinga serikali yao! Wanasema mmeshakuwa waoga so bado kidogo mtafyata wote! Sasa nina swali kwa wazalendo wote - hivi kweli tumekosa ujasiri na akili kiasi hiki? Mko tayari nchi izamishwe iwe himaya ya genge dogo la kilafi? Mnaelewa CONSEQUENCES? Kwamba Kabudi na wenzake wanapopeleka hii nchi ni kuDESTROY! Miili ya wapendwa wetu hatutakaa kuzipata! Tunaopaza sauti sasa tutanyamazishwa na giza litafunika nchi! Muda ni huu kutafakari kama Taifa! Kama mtakubali kwenda na huu upumbavu hakuna watu wa nje kuja kutukomboa! Utabaki ukweli daima! The choice is yours! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo youtube.com/live/tKqybIs-j…
YouTube video
YouTube
Filipino
47
122
352
17.3K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Wote tunajua kuwa risasi inakimbia haraka kuliko sauti. Ni sawa unavyosikia sauti ya radi baadae baada wa mwanga kuonekana ikawa vyote vilitoka kwa wakati mmoja Tifauti ya muda kati sauti ya Crack pale risasi inaporuhusiwa, na sauti ya mlipuko huweza kukadilia umbali wa shooter
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
29
2K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
4. Forensic Audio Analysis: Hapa wachunguzi wa ICR walipata huduma ya Prof. Rob Maher, Injinia wa umeme na computer kutoka Montana State University Maher alitumia sauti za milipuko iliyosikika kwenye video na kukadilia umbali kati ya mpiga bunduki na microphone ya simu
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Filipino
1
2
38
2K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
3. Satelite Imagery; Hapa watumia google maps wanaelewa kwa urahisi. Ukijenga nyumba sehemu, baada ya muda utaina nyumba hiyo kwenye map. Uchunguzi wa CNN ulieleza uwepo wa “disturbed earth” makaburi ya Kondo wakati ambao ni consistent na lockdown ilipotangazwa (Oct 29- Nov3)
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
3
32
2.1K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
2. Chronolocation: Hii ubainisha muda gani video au picha ilipigwa kwa kufanyia kivuli pichani analysis ya urefu na directon yake kutoka mwanga wa jua. Kwa kutumia program ya SanCalc, muda ambao picha/video imepigwa hujulikana Pia uoto wa asili pichani hubainisha majira
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
31
2.1K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mfano mmoja jinsi ICR walivyotumia kunasa exact position ni kwenye tukio la waandamanaji kurushiwa risasi kwenye makutano ya Morogoro Rd, na mtaa wa Usimuzi Video ilicomfirm exactly position ya Logitude, na latitude -6.80471, 39.24829,
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
1
3
35
2.1K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Video zikachakatwa kitalamu na ICR👇 1. Geolocation: Njia hii huunganisha kifaa chako cha mawasiliano (computer/simu) na networks za satelite kupitia cellular (Internet provider) au WAP (Wi-fi) Signal strengths/weakness kutoka kwenye mnara wa mtoa huduma, hunasa position yako.
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
1
2
30
2.2K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Ni bahati mbaya kwenye ripoti ya Jaji Chande haikugusia kama uchunguzi wake uliulizia ni nani aliamuru mtandao uzimwe, nani akatekeleza, and what was the motive? Ni kwa sababu wakati huu (12:30 Pm), kukiwa na amri ya curfew, ndipo shida ilipoanza
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
3
36
2.4K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Hoja ya kwanza ya kama ni kweli mtandao ulikatwa siku ya uchaguzi inaweza kujibiwa kwa wepesi na wewe msomaji Lakini Net blocks, shirika la kimataifa linalopiga doria ya uhuru wa internet wamekusaidia kujibu kuwa kweli mtandao ulikatwa kuanzia Oct 29 hadi Nov 3 2025 Why?
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
45
2.3K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Video hizi 185 zilizorekodiwa na watumia mtandao (User Generated Content UGC) zilifanyiwa analysis ya kitaalamu na videos 44 zilipita mchujo wa verification kuwa ni halisi. Zifuatazo ndio njia/methodology zilizotumika hadi ku “draw conclusion” kwenye uchunguzi wa ICR Nisome👇
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
3
34
2.4K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Uchunguzi wa ICR wote ulikuwa ni wa kisayansi (Forensic), kwa kutumia Open Source Intelligence (OSINT) yaani vyanzo vya wazi. Wakati tume ya Chande data zake zote ziliegemea mashaidi 61,603, ICR walihitaji videos 185 tu kutoka mitandaoni
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
41
2.5K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Shirika la habari la kimataifa @cnni , kupitia repoter wao @LarryMadowo ndio walikuwa wa kwanza kuja na ripoti yake kitaalamu iliyochakatwa na wataalamu wa taasisi ya kimataifa ya Centre for Information Resilience (ICR) Nini zilikuwa hadidu za rejea za uchunguzi huu wa ICR?
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
33
2.7K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Kabla sijajielekeza kwenye kuchambua “ripoti hii ya kusikia” nadhani si vibaya nikiwarejesha kwenye ripoti za kitaalamu ambazo zilifanywa na vyombo vya habari vya nje Ninafanya hivi kwa sababu tume iligusia swala la media za nje kwenye ripoti yake
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
36
2.7K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
It is trite law that, kiapo hukamilishwa na uwepo wa kiapo kinzani, na ushaidi wa mahojiano ya ana kwa ana, hukamilika kwa madodoso (cross-examination) ili uwe na credibility before admission Kwa kuwa sikuwa mjumbe wala sahidi wa tume, handling ya issue hii ni above my pay grade
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
1
2
37
2.9K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Ripoti ikaendelea kueleza kuwa watu 4,891 walitoa ushaidi kwa siri kupitia madodoso, watu 1,317 kwenye mikutano ya adhara ya tume, watu 56,445 kwa kutuma SMS, na wataalamu 3,305 waliotoa “expert opinions” Kitakimwu, sampuli hii ilikuwa inatuwakilisha watanzania kama taifa
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
35
2.9K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Tume ilidai kuhoji jumla ya watu 63,603 kutoka wilaya 21 na mikoa 11 Kwenye idadi hiyo wakiwemo victims, wataalamu waliotoa expert opinions, na watumishi kwenye vyombo vya dola na kwingine Kuwa watu 553 walitoa ushaidi kwa viapo vya maandishi, na 1,323 kwa mahojino ana kwa ana
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
1
3
39
3K
Sightmirror retweetou
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Kifupi tume ilifanya kazi yake, na kutoa ripoti yake baada ya kuongezewa muda mara mbili. Binafsi kuongezww huku kwa muda kulinipa matumaini makubwa kuwa kuna kazi nzito inafanyika hadi muda kuwa kikwazo kikuu kukamilisha ripoti kwa wakati. Nikaingoja ripoti kwa hamu hadi jana
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
1
2
39
3K