mk-sulphur

10.6K posts

mk-sulphur banner
mk-sulphur

mk-sulphur

@MegabeSteven

pharmaceutical personel @youngAfricansSC https://t.co/oxk6gnM0uy

Tanzania Присоединился Mayıs 2023
3.1K Подписки1.5K Подписчики
mk-sulphur ретвитнул
Alpha Index
Alpha Index@AlphaIndexPro·
🏆 Football Stars Missing the next WORLD CUP 🇮🇹 Italy: Gianluigi Donnarumma - ❌ 🇵🇱 Poland: Robert Lewandowski - ❌ 🇳🇬 Nigeria: Victor Osimhen - ❌ 🇭🇺 Hungary: Dominik Szoboszlai - ❌ 🇮🇹 Italy: Mateo Retegui - ❌ 🇳🇬 Nigeria: Ademola Lookman - ❌ 🇮🇹 Italy: Sandro Tonali - ❌ 🇨🇲 Cameroon: Bryan Mbeumo - ❌ 🇬🇦 Gabon: Pierre-Emerick Aubameyang - ❌ 🇸🇮 Slovenia: Jan Oblak - ❌ 🇬🇪 Georgia: Khvicha Kvaratskhelia - ❌ 🇩🇰 Denmark: Rasmus Højlund - ❌ 🇬🇪 Georgia: Giorgi Mamardashvili - ❌ 🇩🇰 Denmark: Christian Eriksen - ❌ 🇷🇸 Serbia: Dušan Vlahović - ❌ 🇨🇷 Costa Rica: Keylor Navas - ❌
Alpha Index tweet media
Indonesia
0
3
13
881
mk-sulphur ретвитнул
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Kulinganisha bei ya bidhaa kama mafuta (petroli/dizeli/mafuta ya taa) kati ya nchi iliyoendelea na nchi inayokua bila kuangalia uwezo wa kununua (Purchasing Power) ni kujaribu kupotosha ukweli halisi wa hali ya maisha. Tofauti ya Kipato cha Wastani (GDP per Capita) ndiyo kigezo kikubwa zaidi kinatumika hapa. Hata kama lita ya mafuta Norway ni ghali mara mbili ya Tanzania, kipato cha raia wa Norway ni kikubwa mara hamsini zaidi. Uwezo wa Kununua Mafuta (Fuel Affordability); hapa utapaswa kuangalia asilimia ya kipato cha kila siku kinachohitajika kununua lita moja ya mafuta kwa nchi hizo ulizotaja (Mfano Netherlands) na Tanzania. Mtu wa kawaida Norway au Netherlands ana mapato mara 50 au 70 zaidi ya mtu wa Tanzania. Hii inamaanisha kuwa gharama yoyote (hata ndogo) inachukua sehemu kubwa zaidi ya bajeti ya familia ya Kitanzania. Tanzania (data 2018–2022, bado inatumika kama kiashiria) na inaonyesha 51.3% ya watu wanaishi chini ya $2.15 kwa siku (umaskini mkali wa kimataifa). Karibu 70% wanaishi kwa kipato cha chini ya $3.65 kwa siku. Katika nchi za Norway, Sweden au Netherlands raia wa kawaida katika nchi hizo anatumia chini ya 1% ya kipato chake cha siku kununua lita moja ya mafuta. Kwao, mafuta ni gharama ndogo sana (pocket change). Mtanzania wa kawaida anayepata kipato cha wastani wa Tsh 15,000 kwa siku, akitakiwa kununua lita moja ya mafuta kwa Tsh 3,800, anatumia zaidi ya 20% ya kipato chake cha siku kwa ajili ya kununua lita moja tu. Kwa akili ya kawaida tu, maumivu anayoyasikia Mtanzania wa kawaida kwa kununua lita moja ya mafuta ya petrolo na dizeli ni makubwa mara 20 zaidi ya anayoyasikia raia wa Netherlands au Norway. Katika nchi kama Sweden, Norway na Netherlands, mfumo wa kodi unarudisha huduma bora za kijamii (shule bure, bima ya afya ya uhakika, usafiri wa umma wa kisasa). Hii kitaalam inaitwa ‘disposable income’ Tanzania, raia wa kawaida anapaswa kutoa fedha mfukoni kwa ajili ya kugharamia ada ya shule, matibabu (ambayo ni gharama kubwa), na usafiri binafsi kwa sababu usafiri wa umma haujitoshelezi. Wakati raia wa Norway akimaliza kununua mafuta, anabakiwa na pesa nyingi ya ziada (disposable income). Mtanzania wa kawaida akimaliza kununua mafuta na chakula, mara nyingi anabaki na deni au sifuri Ulaya, mifumo ya hifadhi ya jamii inawalinda masikini. Tanzania, mfumuko wa bei wa bidhaa za chakula una athari ya moja kwa moja, zaidi ya 50% ya kipato cha kaya Tanzania huishia kwenye chakula pekee. Kujaribu kulinganisha bei ya bidhaa za mafuta ya Tanzania (Tsh 3,900) na ya Netherlands (Tsh 6,000) bila kuhusisha GDP per Capita ni sawa na kulinganisha uzito wa chungwa na uzito wa basi la abiria. Pamoja na kwamba mnafanya kazi ya kuitetea Serikali katili ya mbogamboga, jitahidini kuwaonea watanzania huruma. Mafuta yakipanda bei katika pampu, athari za kiuchumi katika maisha ya kawaida ni kubwa.
Filipino
34
89
369
11.8K
mk-sulphur ретвитнул
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
Serikali haina Tatizo. Mwenye matatizo ni wewe braza. Acha lawama, fanya kazi. 🚶
Shakur Faith tweet media
HT
22
23
76
1.7K
mk-sulphur ретвитнул
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Sijawahi ona ujinga kama huu mahali popote Maana wagombea urais wanaweza wasiwe na nguvu ya maamuzi kwenye vyama vyao za SIASA Lakini pia hiyo title inaisha na tarehe za uchahuzi Hapa kinafanyika ni umbea tu na matumizi Mabaya ya fedha za umma Yeye ameshinda asilimia 99 hawa wagombea hawana impact yoyote kwa mujiby wa uchaguzi waliouendesha Ina maana kwa hiki kikao ni kwamba anajua aliiba uchaguzi yuko sawa tu hao waliopata chini ya 1%
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai

Mazingaombwe 🚮 Hakuna maridhiano ya kisiasa bila @ChademaTZ2 na #FreeTunduLissu Hakuna maridhiano bila UWAJIBIKAJI wa mauaji ya #MO29 na inaanza na #SamiaMustGo Hapa hakuna namna #TutaelewanaTu

Indonesia
1
5
17
1.4K
mk-sulphur ретвитнул
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Unashangaa mbona leo tunabanana kwenye daladala kumbe kuna watu leo wamepaki magari yao nyumbani 🤣🤣🤣
Indonesia
14
20
51
476
mk-sulphur ретвитнул
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Mzee Baba mwenyewe 😂😂
Spana & V.A.R Movement tweet media
HT
55
46
352
10.1K
mk-sulphur ретвитнул
MTU MAKINI
MTU MAKINI@this_iz_lewis·
T-shirt kalii MTUMBA | Delivery ✅ Nicheki 📞 0717634941 📍D'salaam Bunju B | Mikoani natuma Nisaidie REPOST yako ndugu 🙏🏾
MTU MAKINI tweet mediaMTU MAKINI tweet mediaMTU MAKINI tweet mediaMTU MAKINI tweet media
Eesti
0
12
14
449
mk-sulphur ретвитнул
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Bado siku 71 World Cup ianze, utaratibu ni kua na timu mbili hebu tuzijue zako😄
Presenter Noah tweet media
172
23
388
12.6K
mk-sulphur ретвитнул
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Hata kama wazazi wote wawili hawana ualbino, bado wanaweza kupata mtoto mwenye ualbino iwapo kila mmoja anabeba jeni husika. Ualbino ni hali ya kurithi inayotokana na vinasaba na si ugonjwa na wala haihusiani na imani za kishirikina. #HakiJumuishi | #WatotoWenyeUalbino
SANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
2
14
35
2.2K
mk-sulphur ретвитнул
A_man_Tz
A_man_Tz@Abuy_0·
@EsirEid Ottoman ni story ya utawala wa kiislam Ambao ilikua kati ya waislam na warumi na wa Persia hivyo kukuta Allahu Akbar humo ni kitu chenye kutarajiwa na ni kuna story humo ndani huwezi tamani uikose ni kama Jumong 🤣
Indonesia
2
2
13
1.6K
mk-sulphur ретвитнул
CAF Online
CAF Online@CAF_Online·
52 years later. The return was worth the run. Already proud, DRC. 🇨🇩🩵 #FIFAWorldCup
CAF Online tweet media
English
145
2.5K
17.1K
118.1K
mk-sulphur ретвитнул
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
Idara ya Usalama wa Taifa Yatangaza Nafasi za Kazi | Ni Mara ya Kwanza Katika Historia ya TANZANIA ift.tt/Z0CJo9E
Indonesia
24
16
233
38.4K
mk-sulphur ретвитнул
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Huyu jamaa anazungumzia polisi wa nchi gani??
WHYMYCATISSAD tweet media
Suomi
30
20
382
10.7K
mk-sulphur ретвитнул
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON. Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027 Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
207
496
2.2K
76K
mk-sulphur ретвитнул
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Mwanaume anaye lamba Bakuli, ni yule anayejua Anakula peke yake..
Filipino
7
26
89
1.8K
mk-sulphur ретвитнул
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Utachagua mwenyewe ufanye kazi halali uendelee kusumbuliwa na mamlaka au uwe fisadi ule bata.
Indonesia
35
90
716
17.4K
mk-sulphur ретвитнул
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara John Wegesa Heche amemuelezea Marehemu Selemani Bungara(Bwege) kama mtu ambae aliyesimama imara kuwapigania wananchi kila alipopata nafasi huku akiwa hayumbishwi. Heche amezungumza hayo leo Machi 31, 2026 aliposhiriki mazishi ya Bwege Kilwa Kivinje mkoani Lindi na kueleza kuwa Bwege mwenyewe alimpenda sana Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kutokana na misimamo yake. Pamoja na hayo Heche ameeleza kuwa kama Lissu asingekuwa gerezani basi siku ya leo angeshiriki mazishi ya Bwege kutokana na kuwa pia yeye alimkubali Marehemu Bwege. Tazama Hotuba nzima ya Heche Kwenye YouTube yetu ya Jambo TV.
Indonesia
1
94
602
8.1K
mk-sulphur ретвитнул
AM💡
AM💡@TonnyUnfiltered·
Yaani mtu ni doctor kampeleka nguo yake kwa fundi imeshonwa vibaya doctor nae anasema nawe utakuja tu hospital hii sio haki kabisa.💔
Indonesia
20
33
91
1.5K
mk-sulphur ретвитнул
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mungu anaipenda sana CHADEMA. Huyu chalii kachomoka? Honestly, si loss. Alikuwa full liability, yeye kuwa CHADEMA ilikuwa risk zaidi, kama meli za mafuta kupita Strait of Hormuz. Mara tatu nilishataka kumfukuza nikiwa Mkti wa Kanda ya Kaskazini, lakini waliomhitaji wakam-hold. Sasa hivi? POA. He is nothing, buddy.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
69
148
1.4K
73K
mk-sulphur ретвитнул
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Hili suala la uwanja wa Arusha yaani pesa imeongezeka 81%? CAG kasema kutoka 181B mpaka 300+B.
Indonesia
81
69
1K
44.2K