OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI
75.3K posts

OLESANGAU NGOTIEKI
@RealChangeTZ
THE FUTURE IS YOUTH. KEEP UP A GOOD FIGHT. CHEMISTRY AND ICT EXPERT. BELIEVING THAT AGRICULTURE CAN BRING CHANGE IN OUR LIFE
West Midlands, England Sumali Ağustos 2019
2.8K Sinusundan798 Mga Tagasunod
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet

IRAN 🇮🇷 imetangaza kuwa rasmi Mlango Bahari wa Homuz upo wazi kwa Meli zote za kibiashara zinaruhusiwa kupita kwa kuwasiliana baada ya Marekani na Israel kukubali kuacha kuishambulia Lebanon, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran 🇮🇷 amesema Marekani na Israel watapaswa kufuatisha matakwa ya Iran ili mambo yaende inavyotakiwa ambapo Homuz imefunguliwa ili Israel waache kushambulia Lebanon mara moja.
Indonesia
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet

#TajiriLaKihaya
Yaani watu wapo 27m…
Ila watu 1m ndio wanawazisha kisa ni WAISLAMU😅😂
Mario Nawfal@MarioNawfal
🇦🇺 Australia’s Muslim population has grown from about 77,000 in 1981 to over 813,000 by 2021, with estimates now nearing 1 million. That’s in a country of roughly 27 million people; small share, fast growth. Now it’s sparking a bigger conversation: what does this mean for Australia’s cultural identity going forward? Source: @RadioGenoa
Indonesia
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet
OLESANGAU NGOTIEKI nag-retweet

Lissu ni kama maji 😁🔥 usipoyaoga utayanywa! Ila hakwepeki
Haya AMKENIIII! Chakwera kaenda kuongea na Tundu Lissu na kapewa ukweli LIVE
1. Kwamba kesi ya Uhaini inayomkabili inatokana na msimamo wake wa No Reforms, No Election, na hivyo kusisitiza kufutwa kwa kesi zote zinazomkabili yeye na chama, pamoja na utayari wake wa kushiriki mazungumzo akiwa huru.
2. Kufanyika kwa uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu matukio ya Oktoba 2025, kupitia taasisi kama SADC.
3. Uwepo wa mazingira wezeshi kwa mazungumzo ya kweli na utekelezaji wake.
4. Uwajibikaji wa kitaasisi kwa yaliyotokea Oktoba 2025, hususan kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, INEC na TCRA, sambamba na kurejea Ripoti ya Jaji Nyalali (1992).
5. Kufanyika kwa mageuzi ya vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuzingatia Ripoti ya Jaji Chande (2023).
6. Mabadiliko ya mfumo mzima wa uchaguzi, ikiwemo kuundwa kwa chombo kipya huru cha kusimamia uchaguzi, kwa kuzingatia ripoti mbalimbali za waangalizi wa uchaguzi (1995-2025), pamoja na Ripoti za Jaji Warioba na Jaji Nyalali.
7. Umuhimu wa kupatikana kwa Katiba Mpya.
Na mwisho kabisa Lissu katoa wito tukae mkao wa kukiwasha 🤣👏🏽
Nchi hii si ya Bi Msumi na mwanae! Haya si maombi bali ni demands
#WenyeNchiWananchi #FreeTunduLissu #SamiaMustGo


Filipino























