official_gesa15

31 posts

official_gesa15 banner
official_gesa15

official_gesa15

@Supra_Signa

شامل ہوئے Haziran 2022
96 فالونگ11 فالوورز
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Movie Plug🎬
Movie Plug🎬@MoviePlugHQ·
Hapa nimeleza njia rahisi na salama za kulinda simu yako dhidi ya ufuatiliaji, wizi wa taarifa, na udukuzi, ili kuhakikisha mawasiliano yako na faragha zako zinabaki salama kila wakati. 🛡️ 1. Zuia Watu Kujua Ulipo (Location): Unawezaje kuzuia? Repost & bookmark., SOMA ZAIDI👇🏻
Movie Plug🎬 tweet media
Indonesia
2
52
156
14.2K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨
Ukiingia kwenye siasa hakikisha hisia zako na tamaa ya ngono umeicha siku hiyo hiyo... Kuna watu kwenye siasa hawafanyi maamuzi yao binafsi, walikosea wakawa na tamaa kumbe waliingia kwenye mitego! Wanaishi kama watumwa, hata wakiambiwa wajiunge na UDP watasema YES SIR! Ngono ni silaha nzito sana dhidi yako au adui yako, mliona ile video ya Ngwajiboy, watu wanazo kama hizo za watu wengi tu, watu walijaa King! Wanaishi kama watumwa. Be smart, usijibu watu DM/Email kirahisi, haswa usiowajua, usiwe excited na nyaraka au taarifa yeyote rahisi ya kumuangusha opponent wako, take time, study, eveluate, proof & Subiri mda sahihi to execute! Simple logic eeh. Ndio maana wanasiasa wengine huwa na timu ya propaganda, propaganda haina uwajibikaji sana, tumia hiyo. Dinner, sio kila Dinner au pengine Brunch ni kuajiri ya kukusaidia nyingine ni mitego ya kukumaliza... Do not be easy! Learn... Soma sana vitabu, YouTube tutorials, AI pia ikusaidie kukuongezea maarifa, itasaidia sana kuona karata ya mchezo mapema, siasa za Afrika ni nyepesi sana, maana wengi wenye mamlaka utumia nguvu kuliko akili na wataalam! Chess game... Just know your next move! Kwenye mitandao ya kijamii kuna informers na watu wa ulinzi na usalama wengi sana kuliko unavyodhani, be careful... Traps zinaning'inia mda wote, angalia usinase kwenye hook 🪝. Sabato Njema watu wa Mungu. Hadi wakati huo, Mungu awalinde wenye Nia njema.
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨 tweet media
Indonesia
6
14
59
13.1K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Joel Nanauka
Joel Nanauka@jnanauka·
Kuna watu wengi sana ambao wameshakukatia tamaa Wanaamini hauwezi tena kuwa vile UNAVYOSEMA utakuwa. Wengine wanaona UMRI wako umeshaenda sana na UMESHACHELEWA. Kuna ambao wanaona kwa MAKOSA uliyofanya hakuna namna unaweza KUREKEBISHA na kuinuka tena. Si unawafahamu wale ambao wanaona HAUSTAHILI kwa sababu ya UDHAIFU wako wanaoujua. Kiufupi ni kuwa, kila siku utakutana na watu ambao HAWAAMINI Kama unaweza KUFANIKIWA ZAIDI ya LEO. Kama leo unapitia hali hii, napenda kukumbusha kuwa “WEWE USIJIKATAE, JIKUBALI” Hata Kama wao wamekukataa wewe amua KUJIKUBALI, amua kuendelea KUPAMBANIA unachokiamini… …na kuna siku MATOKEO utakayoyapata yatakuwa ni SOMO kwao kuwa MUNGU anaweza KUWAWEZESHA na KUWAINUA wale waliokataliwa na wengine. Kama umejifunza kitu kupitia ujumbe huu comment neno "SITAJIKATAA, Mimi Nina Jikubali" Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 4 ninazoweza kukusaidia. 1. Kupitia Vitabu Vyangu Vya Kidigitali (SOFTCOPY/EBOOKS) tuma neno eBook kwenda WhatsApp +255 762 312 117 2. Vitabu Vyangu HALISI Vya Karatasi (HARDCOPY) Piga +255 762 312 171 / +255 745 252 670 3. Mafunzo Kwa Njia Ya Video, KOZI. Piga +255 762 312 117 4. Kupitia Exclusive MENTORSHIP Piga +255 758 498 373 See You At The Top Joel Arthur Nanauka #TimizaMalengoYako #SeeYouAtTheTop #JoelNanauka
Joel Nanauka tweet media
Indonesia
13
21
133
4.9K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
SHEV
SHEV@Ema_Shev·
Mchoro wa Joseph Desiree-Court wa mwaka 1826 Tunachoona: Mtu anajaribu kumuokoa baba yake, huku akimpotezea kabisa mkewe na mwanawe wa kiume, walio karibu kabisa naye. Na Kilicho rahisi kabisa kufanya kati ya yote ni akuokoe wewe. Tafsiri ya wahusika: MAMA Anawakilisha MAISHA(LIFE); MTOTO Anawakilisha MAISHA YAJAYO(FUTURE) BABA Anawakilisha MAISHA YALIYOPITA(PAST) Tafsiri ya kazi ya sanaa: Mtu anayeng'ang'ania yaliyopita(past) hupoteza nafasi ya kuishi(life) na maisha yake yajayo(future) Kama alivyowahi kusema Havelock: "Sanaa ya maisha hujumuisha kutambua wakati wa kung'ang'ania na wakati wa kuachia." Swali: Unang'ang'ania nini kinachokuharibia life na future?
SHEV tweet media
Indonesia
54
42
191
35K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Cheza mchezo wa benki. Badala ya kutunza tu hela, wekeza kwa kununua mali ambazo zitakuingizia pesa m zenyewe. Nunua ardhi, nunua nyumba pangisha, Nunua gari kodisha. Usihifadhi Sarafu, Hifadhi Mali. Tafuta Njia, Sio Excuses Retweet kama umejitunza Nifollow @MfalmewaX1
Indonesia
8
36
140
22.9K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Serikali inakihitaji hela, Inaenda Benki kuu kuomba mkopo. Benki kuu inakupa pesa iliyotengenezwa hewani, na kubadilishana na mali za serikali kama Bondi Mbuga za wanyama, migodi n.k Hiyo hela iliyotengenezwa hewani ambao ni mkopo inakuja kuleta mafuriko ya pesa, na thamani kupungua. Mfumuko wa bei tayari. Wakati hela uliyokopa inashuka thamani tayari umeshaweka rehani Ardhi, Bandari n.k Kwanini nakwambia hivi? Kwa wababu, unaanguka. Wakati unafanya kazi kwa bidii utunze Pesa, Benki inachapisha kila siku na kuangamiza akiba yako.
Indonesia
28
5
92
26.9K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Fikiria unataka mkopo wa biashara. Unakopa Bank Milion 50, Unaweka vitu vyako halisi rehani, Hiyo Milioni 50 ambayo ni hewa, kirahisi tu wanaitengeneza kwa kuandika namba kwenye makaratasi. Hivyo unapata mkopo, kwenye hela iliyotengenezwa hewani. Kwanini muhimu kujua?
Indonesia
2
2
64
28.1K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Kabla 1971, Benki Kuu waliweza kuzalisha Sarafu wanazotaka Kwa sababu Dhahabu ilikuwepo kama msaidizi (ilitumika kulinganishwa kithamani). Baadae 1971, US Dollar iliondolewa kwenye viwango vya dhahabu. Tangu hapo, sarafu ilikawa haina maana (thamani kushuka) Leo, Bank zinaweza kuchapisha sarafu nyingi watakavyo. Pili, kuna jambo unatakiwa uelewe: Sarafu ikiwa kwenye mfumo wa karatasi au koini inakamilisha 3% tu Pesa zote za ulimwengu. 97% iliyobaki zote ni madeni. Nitaeleza
Indonesia
6
5
156
33.7K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Maisha yako yote umekuwa ukifanya miashara ya muda wako kwa pesa. Yaani Unauza muda wako ili upate Pesa. Je, ushawahi kujiuliza pesa zinatengenezwa vipi? Kwa muda sasa nimekuwa nikijifunza vitu kuhusu pesa. Utashangwaza na huu ukweli. Kwanza, Pesa = Sarafu Pesa ni kitu kisichoshikika lakini kinatunza thamani. Fikiria kuhusu dhahabu, silva, mchele, chumvi n.k Sarafu ni kitu kinachoshikika kama mfano wa pesa, badala ya kubadilishana dhahabu kwa chumvi,unaweza kununua chumvi kwa sarafu. Sarafu sio kitu halisi bali ni sawa na amna kitu. Soma hapa ni Muhimu.
Indonesia
4
5
184
30.4K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
SIRI NYEUSI KUHUSU HELA AMBAYO 99% HAWAIJUI: UZI 🧵
Mfalme👑🇹🇿 tweet media
Indonesia
38
177
1.5K
262.5K
official_gesa15 ری ٹویٹ کیا
Joel Nanauka
Joel Nanauka@jnanauka·
“I am not good enough”, ni moja ya sentensi ambayo inaweza kukuzia kufanya mambo mengi na makubwa kwenye maisha yako. Baada ya kupitia changamoto kadhaa za maisha, kufeli au kukataliwa unaweza kukikuta umepoteza kabisa hali ya kujiamini. Usipoamua kujilipua na kuchukua hatua unazoziogopa unaweza kujikuta unaishia kuwa mdogo wakati mipango ya Mungu juu yako ni kuwa MTU MKUU hapa duniani. See You At The Top
Indonesia
5
25
107
4.1K