mk-sulphur

10.7K posts

mk-sulphur banner
mk-sulphur

mk-sulphur

@MegabeSteven

pharmaceutical personel @youngAfricansSC https://t.co/oxk6gnM0uy

Tanzania Tham gia Mayıs 2023
3.1K Đang theo dõi1.5K Người theo dõi
mk-sulphur đã retweet
School Of Great Men
School Of Great Men@SchoolOfGr8Men·
Anyone who connects you to make money is automatically family.
School Of Great Men tweet media
English
3
125
1.2K
26.9K
mk-sulphur đã retweet
DOCHA 
DOCHA @ALugandu·
Imagine Kanisani Mtu Anasema Aposto Kunamuujiza Umetokea Hapa, Aliyeibiwa Nyeti Yake Imerudi...😂😂😂
Indonesia
4
6
31
473
mk-sulphur đã retweet
TICHA MANDEVU13
TICHA MANDEVU13@TichaMandevu·
Kwa huku nilipo hapa ndio mjini sana 😂🙌
TICHA MANDEVU13 tweet media
Filipino
27
31
187
4.4K
mk-sulphur đã retweet
Teacher On Duty (T.O.D)
Teacher On Duty (T.O.D)@Official_T_O_D·
Mwanaume huna familia,huna hela bado unatafuta nyumba ya kupanga kwa masharti kibao. Nataka iwe na :- - tiles, - gypsum - gate - Choo kijitegemee, - wapangaji wasizidi 3, Jenga yako mzee unachosha watu🚮.
Filipino
20
23
89
1.9K
mk-sulphur đã retweet
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Huyu hapa ndo aliye onekana akishambuliwa kwenye video ambayo tume toka kuipost muda mfupi ulio pita. Anasema yeye alikuwa amekuja kufanya manunuzi na pikipiki yake akawa ame ipaki karibu na mafundi simu, alivyo maliza manunuzi akarudi akakuta pikipiki yake haina funguo, ikabidi amsogelee fundi simu mmoja aliye kuwa ame inama akitengeneza simu, ikabidi amshike bega Ili amwulize, ndo huyo fundi simu akaanza kupiga kelele kuwa kaibiwa nyeti zake zimebaki ndogo kama za mtoto, ndo watu Waka Sogea wakaanza kumshambulia. Ila ukweli huyu baba anasema hajui lolote kuhusu haya mambo. Video akishambuliwa Iko kwenye comment hapa chini.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
17
6
208
43.7K
mk-sulphur đã retweet
@MrMawazo
@MrMawazo@Mr_Mawazo·
Si nilikuambia tutazaliwa kwenye familia ya wakamaria ukabisa, ona sasa baba kabetia hela ya pampers.
@MrMawazo tweet media
Filipino
19
19
135
2.4K
mk-sulphur đã retweet
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
KIDUKU ZE DON VINYEO OFSA NGIRI Nawatakia PASAKA Njema.
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
32
45
406
7.6K
mk-sulphur đã retweet
Kante
Kante@MkulimaKante·
Si umeona huna ule moto wa kuwa leo ni sikukuu ya Pasaka, huo upoaji ulionao ndio utu uzima sasa. Inafika hatua hata sherehe zinakuwa sio kipaumbele chako tena📌
Indonesia
27
59
267
3.4K
mk-sulphur đã retweet
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Today is my father's birthday 🎂 🥳 🎉 Help me to wish him more life 🙏 😍
HAPPNES MLAY tweet mediaHAPPNES MLAY tweet media
English
203
169
3.7K
65.8K
mk-sulphur đã retweet
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Imepigwa ile nyimbo ya mshike bega umpendae ya Hussein machozi kila mtu kaenda kukaa
Filipino
22
37
485
13K
mk-sulphur đã retweet
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kwa ambaye sio shabiki wa La Liga anaweza kudhania Mallorca ni timu y kawaida 😁😁😁
Indonesia
12
14
390
9.3K
mk-sulphur đã retweet
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
JOHARI HAMZA NDIYO CHANZO CHA HAYA MADUDU 📌 JOHARI HAMZA ndiye mwanasheria mkuu wa serikali na ndiye mtu wa kwanza kutumiwa kutafsiri sheria na maamuzi mbalimbali ya kisheria ndani ya Tanzania. Huyu ndiyo mtoa muongozo yanapokuja masuala ya sheria na taratibu za kikanuni na kikatiba ndani ya Tanzania. Huyu ndiye yardstick ya kupima kama maamuzi ya serikali yanafuata sheria au yanafuata taratibu na hayavunji katiba ya Tanzania. Kwa bahati mbaya sana Johari Hamza uteuzi wake ulitiliwa mashaka sana na kulalamikiwa sana kuwa alikuwa hana sifa za kuwa mwanasheria mkuu wa serikali na aliteuliwa kwa kazi maalumu kuwa mwanasheria wa serikali. Kwa wale mnaopenda kusoma ni kuwa Article 59(2) ya katiba ya Tanzania inamtaka mtu anayeteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali kuwa ni mtu aliyesajiliwa kama advocate kwa miaka 10 mfululizo .. Lakini kwa bahati mbaya sana Hamza Johari ana miaka SIFURI kama mwanasheria na bado akawa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi wake ulikiuka katiba ya Tanzania na mamlaka za uteuzi zilivunja Article 26(1), (2) ya katiba ya Tanzania wazi wazi na bila uoga.. TUKAKAA KIMYA 🤔 Leo sasa huyu mtu ndiye anayeshauri watu kama Anjela Kizigha kuteuliwa kuwa wabunge wa mabunge mawili yaani EALA na Bunge la Tanzania.. Unapoona kuna shida kwenye mikataba ya wizi wa fedha za umma na watu wanakwapua kila senti ya miradi ya watanzania na kukopakopa kusikoisha mpaka nchi inakaribia kuvunjika mgongo kwa kuwa madeni yamezidi basi moja ya wahusika wa haya mambo ni mwanasheria mkuu wa serikali bwana Johari Hamza. Huyu ndiye anayeshauri teuzi za watu kama Anjela Kizigha watu waliokosa integrity na morality kabisa kuwa kwenye uongozi wa nchi hii lakini hawezi kuona hilo na akashauri tofauti kwa kuwa yeye mwenyewe uteuzi wake anajua ni wa magumashi na yuko kwenye kiti hicho kwa kazi za hivi na hawezi kushauri kinyume. ( tunakumbuka sana ushauri wake kwenye jambo la DP World wakati ule) Tunapokuwa na taifa ambalo hatutaki kufuata katiba ya nchi na taratibu za nchi na tunabakia kuwa waimba chorus kwenye kila kitu ni hatari sana kwa hali ya leo na kwa vizazi vijavyo..Hatuwezi kuendelea kuwa taifa la hivi na ni lazima haya mambo yawe fixed kwanza kabla hatujarudi kuanza kuimba mambo ya mitano tena sijui kuupiga mwingi n mambo ya makapu ya magoli sijui nini.. THIS IS TOO MUCH and this need to be said. WE NEED TO FIX THIS COUNTRY.. #KigogoMediaUpdates
Kigogo Media tweet mediaKigogo Media tweet mediaKigogo Media tweet media
Indonesia
2
14
128
36K
mk-sulphur đã retweet
Steph
Steph@IheboJr·
last night in Mwanza... this City 🤩🫶✨
Steph tweet media
English
12
9
118
2.8K
mk-sulphur đã retweet
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Baada ya kifo cha Kiongozi Mwandamizi wa Iran 🇮🇷 Daktari Ali Larijani ambaye alikuwa ni Mtoto pendwa wa Ayatollah Khamenei huku Familia yake ikiwa ni yenye nguvu kubwa Iran yeye akiwa Mwandamizi wa IRGC ila alivyofariki ndipo dunia imefahamu kuhusu anavyomiliki. Ripoti kutoka Iran 🇮🇷 zinadai mali ya thamani zaidi aliyomiliki ilikuwa ni gari la dola 4,000 sawa na Million 10 ya Kitanzania. Pango la Apartment yake ni dola 60 kwa mwezi sawa na 156,000 za Kitanzania kwa mwezi. Alikuwa anamiliki bastora ndogo yenye thamani ya Million kama Mbili za Kitanzania. Alikuwa na pete yenye thamani ya dola 200 ambayo ilikuwa zawadi kutoka kwa Ayatollah Khamenei. Amefariki wakati huo hadaiwi ila anamdai Dereva Taxi mmoja ambaye alikiri Msibani kuwa ni dola 30 ambazo zilikuwa ni za kumpeleka Binti yake shulenj, Larijani alimsamehe dini hilo wiki kabla ya kifo chake. ALI LARIJANI ana PhD ya Falsafa ya Magharibi na angeweza kuchota mali atakazo maana ni Deep State ndani ya Iran 🇮🇷 ila alikuwa anaishi tofauti.
Indonesia
14
18
199
18.1K
mk-sulphur đã retweet
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Machawa bana hahahahahaha Kumbe muda wote wanatupigia kelele hapa ndani hawajui hata nani anateua sasa huyu uwa anapewa hela ya nini na mjinga hivi kwamba Bakari Machumu ndiye anateua Watu pale Ikulu ? Kumbe hawa wengine ni wapumbavu kabisa ndio maana wanaimba mama anaupiga mwingi hawajui hata nini kinaendelea, Huyu mjinga yuko kinara kabisa kwenye mama anaupiga mwingi halafu hana knowledge hata ya kuvuka barabara
Think Different tweet media
Filipino
7
17
165
16.4K
mk-sulphur đã retweet
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Mara paaap wanaume wote Dar hawana nyeti halafu nabaki na nyeti peke yangu, ni mwendo wa kupokea oda tu
Filipino
12
8
190
5.9K
mk-sulphur đã retweet
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLow·
💨 Hili suala wa watu kuibiwa nyeti zaidi 100% siamini kama inawezekana, Ila kuna kitu najiuliza kwanini washukiwa wote ni watu wenye miili ya aina moja na ni rika moja?
Indonesia
27
13
279
15.3K
mk-sulphur đã retweet
LEWIS
LEWIS@lewis_FN1108·
Zile live wallpaper za moto wa kuni kwenye smart tv mnawekaje?
Polski
3
5
121
14K
mk-sulphur đã retweet
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Sijui kwanini ila kila siku zinavyozidi kwenda ndio ninavyozidi kupoteza na kuishiwa imani yangu kwenye DINI. NB. DINI ZOTE
HT
108
49
379
19.4K
mk-sulphur đã retweet
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukiingia chumba cha mtihani halafu kila mtu anakumbia "hapa kuna mtu" hiyo ilikuwa inamaanisha nini..? 😅
Filipino
25
31
161
4.6K