Sightmirror

71.4K posts

Sightmirror banner
Sightmirror

Sightmirror

@sightmirror

#FFF#

Tham gia Temmuz 2018
586 Đang theo dõi722 Người theo dõi
Sightmirror đã retweet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🙄 Msione yaelea vimeundwa! Kila mtu alishangaa kauli ya Chande kuhusu vijana kupewa mafunzo kwenye jengo ambalo liko kita 10 kutoka kituo cha polisi Kumbe chawa wa Abdul katoa code kuwa walilenga @ChademaTZ2 eti jengo la Ufipa Sasa mzee Chande atueleze kama hiyo ripoti waliandika pamoja na akina Abdul ama inakuwaje? Yaani mtu azuke kutoa details hizi kweli? Huu upumbavu wenu una mwisho na tunashukuru Mungu kawapiga upofu wanabwabwaja tu Ila #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
30
68
311
56.5K
Sightmirror đã retweet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
APRIL 24, 2025 KUMBUKU ISIYOFUTIKA Siku kama ya leo mwaka mmoja uliopota yani April 24, 2025 Majira ya alasiri hivi nikiwa Mahakama ya Kisutu kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu nilitekwa na maofisa wa Polisi ambao walitumwa na ZCO Mafwele hii siku ilikuwa ngumu sana kwangu. Jamaa walinipiga na kunitesa sana hakuna rangi niliacha kuona. Hii ndo siku ambayo nilijua kwamba maisha ya mwanadamu ni mafupi sana maana kila nikitizama mbele nilikuwa naona kifo, nilipoteza matumaini ya kuishi na ndo siku ambayo nilijua ile sala ya mwisho huwa wasali vipi.😭 Pamoja na mateso yote niliyokuwa napitia kila nikifungua kinywa changu nilikuwa nawaomba waniachie, nikamnyonyeshe mwanangu lakin hawakunihurumia licha ya kwamba maziwa yangu yalikuwa yamejaa mpaka yalikuwa yanamwagika yenyewe, kwa mtu ambae amezaa anaweza kuelewa maumivu ambayo Mzazi huwa anapata maziwa yakiwa yamejaa kwa namna ile. Halafu badae nikaambiwa nikikubali kutoa ushirikiano wataniruhusu nijidhamini ili niende nyumbani kumnyonyesha mtoto, nikakubali nikawapa particulars zangu badae nikaletewa fomu ya kujidhamini. Basi bhana nikajaza fomu yao, nikasaini wakataka niweke fingerprints za vidole vyote kumi, nilishtuka ila kwasababu akili yangu yote ilikuwa inawaza kumuwahi mtoto sikuona kama ni issue nikaweka fingerprint. Jamaa wakaniambia twende counter ukachukue vitu vyako ili umuwahi mtoto wako, moyoni nikajisemea asante Mungu naenda kumuona mwanangu ile tumefika tu counter, jamaa wakanibadilikia wakawambia askari wa zamu mchukueni huyu mpeleleni shimoni, nikauliza vipi tena si nimekamilisha taratibu zote za kujidhamini jamaa walikuwa mbongo waligoma hata kuniorodhesha kwenye Log book nilichanganyikiwa sana ila ndo ivo nikatupwa shimoni huko. Yani ni story ndefu sana, Kuna siku nitawasimulia vizuri Lakin yote kwa yote Namshukuru sana Mungu kwa kuninusuru na kifo, nawashukuru sana Watanzania wote ambao mlinipazia sauti. Nawashukuru Dada Happy Baega, @rose_mayemba na Mawakili wangu maana ile siku wasingefika kwa wakati leo ingekuwa tunaongea mengine pengine ingekuwa natimiza Mwaka mmoja tangu nipotezwe 😭 Wakili-; @Advocate_Jebra @Advocate_Kisabo @EdvEdson @AdvMahinyila , Mungu awabariki sana nyote kwa kazi kubwa ambayo mlifanya kuhakikisha nakuwa huru.🙏❤️
Hilda Newton tweet media
Indonesia
29
70
477
12.5K
Sightmirror đã retweet
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Report ya Jaji Kande inaweka kundi moja walipotea kwa kutokuwa na akili timamu kama wale wanaotangazwa ITV na walipotezwa kama kima Mdude,Soka, Chaula, Polepole na wengine wengi! Unawekaje watu hawa kundi moja? Alafu unasema sijui wewe ni mbobevu! Hamna kitu kwendraa!
Indonesia
10
83
432
5.5K
Sightmirror đã retweet
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Je, wale waliopoteza viungo vyao vya mwili? Waliokatwa masikio? Waliogongwa misumari miguuni? Waliofanya ukatili wa kutisha kama kulawitiwa wakati wakimtetea Mzee MBOWE akiwa mbunge wa HAI, wamepewa faraja au kuombwa msamaha? Wengine walilazimika kutelekeza familia zao na kuwa wakimbizi kwa kuhofia usalama wao. Hali hii inajenga picha kuwa Mzee MBOWE ameweka maslahi yake binafsi mbele na kusahau gharama kubwa waliyolipa wafuasi wake. Hii ni dhihaka kwa watu wote ambao waliwahi kuamini katika njia zake. Hii inatuogopesha ambao tumewahi kumpambania hadharani. Hata hivyo, SABAYA anatakiwa kuomba msamaha mwenyewe, siyo kuombewa msamaha. Kimsingi, msamaha ni jambo la kibinafsi na la kimaadili kati ya mtu aliyekosea na yule aliyekosewa. Msamaha wa kweli unahitaji sauti ya mkosaji mwenyewe.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
107
205
770
28.6K
Sightmirror đã retweet
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU WAKATOLIKI TANZANIA; Ripoti ya MAASKOFU haikumumunya maneno, ilisema lililopaswa kusemwa na yeyote mwenye common sense. Sababu za Maandamano na Mauwaji; 1. Kukosekana kwa hali ya usalama na ubabe wa “wasiojulikana.” 2. Kukosekana demokrasia ya kweli na ushenzi unaofanywa kwenye chaguzi bila hofu wala kujali. 3. Wananchi kukosa sehemu ya kupeleka malalamiko yao pale haki zao zinapoporwa na kupuuzwa. Mapendekezo ya kutibu tatizo; 1. Viongozi wenye dhamana KUKIRI UKWELI na kulaani ushenzi. 2. Wote walioshikiri kufanya ushenzi ule KUWAJIBISHWA na KUWAJIBIKA. 3. UCHUNGUZI WA TAASISI HURU 4. UADILIFU wa viongozi. Mwisho. Ukweli utabaki kuwa ukweli tu, haijalishi umeupaka wanja kiasi gani. Nyerere alisema ukiambiwa hili ni jiwe usilipige teke, wewe ukasema hapana hili ni dongo na kulipiga teke; MAUMIVU YATAKUUMBUA. #TumeTakatifuYaUtakasoWaSamia
Indonesia
4
124
293
8K
Sightmirror đã retweet
Baba Mwita
Baba Mwita@BabaMwita·
Kwa sheria za nchi hii, kazi ya kufanya UCHUNGUZI/UPELELEZI wa jinai ni ya Jeshi la Polisi. Ila, kwa kuwa jeshi hili ndilo MTUHUMIWA wa #MO29, na kwa kutambua MGONGANO WA KIMASLAHI (conflict of interest), sheria ikaelekeza iundwe TUME ya pembeni kufanya uchunguzi wa tukio hili. Cha kushangaza, mkuu wa Tume ambaye si tu ni mwanasheria, bali ni Jaji mstaafu, anachunguza halafu anasema, anaiachia Serikali ichunguze kupitia vyombo vyake vya uchunguzi (ambalo ni jeshi la Polisi), ambaye ndiye anatuhumiwa kuua raia!
Indonesia
13
90
398
11.6K
Sightmirror đã retweet
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Kitu hawa wajinga hesabu zote zinawaendea kushoto Lissu wanaepangia kesi kuwa alikuwa architect walikuwa nae miezi 6 kabla ya mauaji. Asingeweza kuamuru chochote. Chadema ambayo naamini wanapanga kusema walilipa watu kuandamana, account zao na Ofisi zilifungwa tangu May 2025.
Indonesia
19
88
571
15K
Sightmirror đã retweet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hakuna maridhiano baada ya uchaguzi Maridhiano ni kabla ya uchaguzi, baada ya uchaguzi ni uwajibikaji -Humphrey Polepole alitoa huu ujumbe wa mwisho masaa machache kabla ya kutekwa! Na sisi tunashikilia hapohapo! #FreePolepole #SamiaMustGo
Indonesia
13
194
693
13.2K
Sightmirror đã retweet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Ila Askofu unayejitambulisha kama mtu wa Mungu ukileta usanii inasikitisha! Uhajua hakuna siri kwa sasa? Sasa naambiwa kumbe ulirekodi haya madudu Jumatano huko Marangu alafu mkapanga itoke baada ya ripoti kusomwa iwe kama ulikuwepo! Nimepitia sura zote pale ukumbini ungekuwepo tungekuona! Eniwei hata huna impact tena - it is very sad! Unaharibu legacy mwishoni! And for what? Hiyo pesa uliyopewa ktk bahasha itaisha tu ila reputation kurudisha ngumu #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Indonesia
43
55
211
13K
Sightmirror đã retweet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kuanzia leo Odero Odero sio mwanachama wa CHADEMA. Hongereni sana Tawi la Olovisa japo mmechelewa sana kumfukuza huyu msaliti. Chadema sio kijiwe cha wasaliti aende akaungane na wasaliti wenzake.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
59
165
734
23.4K
Sightmirror đã retweet
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Jaji Kiande hajaanza leo kutumika kudidimiza wananchi. Anatumika na makampuni ya uchimbaji madini kutoa ushahidi ktk mahakama za kigeni kuwa: - Hakuna mauwaji ya raia migodini. - Mahakama za TZ ziko huru. Alichofanya jana si kipya. Jaji Kiande hastahili heshma yoyote.
Indonesia
6
102
471
9.3K
Sightmirror đã retweet
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Sio muda watu watakimbia hiyo Tume Wataweza zungumza na vimedia vya ndani Ila walichoandika kuondoa umuhimu wa maisha na kukimbilia kufanya propaganda za Samia kwamba watu wanalipwa hii wamegonga mwamba Kama watu walilipwa mbona mnaogopa uchunguzi kufanya na Tume huru? Mnataka kusema kama kweli wananchi walibeba silaha na Tume za kimataifa zukakuta wananchi walibeba silaha mnakuna na shida gani? Serikali inaogopa uchunguzi huru
Indonesia
2
47
162
9.1K
Sightmirror đã retweet
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Tarehe 27.4.2026 saa tatu asubuhi ktk ukumbi wa Kilimanjaro BOT tume ya CHANDE imeitisha warsha kwa: - Wenyeviti na makatibu wa vyama. - Wagombea urais wa JMT na wenza. - Wagombea urais ZNZ. Mada: Kuwapitisha ktk maeneo muhimu ya ripoti. Wakishaelimika watasemea wapi?
Indonesia
7
22
133
6.2K
Sightmirror đã retweet
Dr. Chris Cyrilo
Dr. Chris Cyrilo@DrCyrilo·
Kuhusu taarifa za askari kubeba majeruhi hospitalini na kutokomea nao kusikojulikana, tume imegusia hilo au halikuwemo kwenye hadidu za rejea?
Dr. Chris Cyrilo tweet media
Indonesia
9
58
600
15.4K
Sightmirror đã retweet
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Nyalandu-tume ilitembelea familia 1323 za waliouliwa ndugu zao na kuwahoji. Tume-waliokufa ni 518. Ukiwa muongo tunza kumbukumbu.
joseph_selasini tweet media
Filipino
5
25
108
1.4K
Sightmirror đã retweet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Tumemalizana na Jaji Chande mpaka kazima simu zake zote. Sasa kwenye Tume ya Chande kulikuwa na Jaji mwingine anaitwa Ibrahim Juma wote hawa wameshirikiana kupindisha ukweli, hata huyu apelekewe moto mpaka azime simu. Jaji Ibrahim Juma hii hapa +255 784 433 154. Ukipiga asipopokea acha message kawaida na WhatsApp
Filipino
22
137
702
22.2K
Sightmirror đã retweet
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tunamuongeza Askofu Shoo katika fungu la wazee wa hovyo sana wa hili Taifa. Anaungana na Butiku, Chande na wenzao. Wakati Taifa linavuja damu na vilio vya haki, hauwezi kujitokeza ukapongeza ripoti iliyoandaliwa kumsafisha muuwaji Samia. Usitake tuseme sana. Jiheshimu!
Indonesia
21
116
664
9.5K
Sightmirror đã retweet
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hawa jamaa ndio waliotoa ushahidi kwamba kuna makambi ya mafunzo? Au ndio wanaotengeneza taarifa kwa kutumiabile acct. ya Chadema walitoiba?
joseph_selasini tweet mediajoseph_selasini tweet media
Filipino
0
1
3
448
Sightmirror đã retweet
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hii nchi kuna wapumbavu wengi kuliko mtu unavyotarajia. Hebu tafakari kuna jamaa wa chama fulani(......) jana walikaa kwa matumaini ya kusikia Lissu, Heche, Mnyika na viongozi wa Chadema wametajwa kama wachochezi na waliopanga vurugu kisha kuwe na pendekeza la Chadema kufutwa.
Indonesia
41
85
534
16.2K
Sightmirror đã retweet
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
BUNDA UPDATE 24/ 04/2026 Mungu ni mwema, tumepata dhamana ya Kaunya na wenzake 4 sasa yuko nje kwa dhamana baada ya kuwa mahabusu kwa kipindi cha miezi sita. Watuhumiwa wengine 3 dhamana zao zitakamilika siku ya Jumatatu tarehe 27/04/2026. Tunawashukuru kwa maombi yenu.
Filipino
16
121
464
6K