TheRed🐐🔴

20.5K posts

TheRed🐐🔴 banner
TheRed🐐🔴

TheRed🐐🔴

@FredTheRed255

@ManUtd ||@SimbaSCTanzania|| veni vidi vici👑

Antarctica 加入时间 Haziran 2021
1.5K 关注1.6K 粉丝
TheRed🐐🔴 已转推
Williard
Williard@prolific_88·
Muachieni mwana huru aishi maisha yake kwanini tunakuwa hivi lakini.
Williard tweet media
Indonesia
0
13
28
431
TheRed🐐🔴 已转推
Melanin🍫🤎
Melanin🍫🤎@Ms__wealthy·
Mwenyezi Mungu akutumie msaada kutoka mahali pake patakatifu Akulinde dhidi ya mabaya yote ,usidhurike na lolote,damu ya Yesu ikakufunike dhidi ya watesi wako ,ailinde familia yako na kuwafariji katika hili You will be back safe 🙏🏾 #FreeNinja
Melanin🍫🤎 tweet media
Indonesia
0
26
34
262
TheRed🐐🔴 已转推
🇹🇷GianT
🇹🇷GianT@mkemi4mkUu·
Kwenye Dua zenu msimsahau Ninja wanangu, he don’t deserve Haya maujinga. #FreeNinja .
🇹🇷GianT tweet media
Indonesia
0
24
31
263
TheRed🐐🔴 已转推
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuna kitu unakiomba kwa Mungu muda mrefu akutendee lakini hakitokea japo unafunga na kusali sana lakin hakitokei kabisa. Kuna muda unafika mpk unakata tamaa kabisa unaamuachia Mungu tu. Lengo sio kukukomesha ila Mungu anakutengeneza uwe bora wakati wote.
Indonesia
5
20
50
469
TheRed🐐🔴 已转推
Mwamposa 𓃵
Mwamposa 𓃵@akhsaxha·
Kila siku zinavyozidi kwenda naanza kumuelewa yule jamaa wa kuitwa Mwalimu Google TV. Jamaa anaweza kuwa mtu pekee mpaka Sasa mwenye best solution ya hali yetu TZ, period!! Ukisikiza hii scenario na ukisikiliza jamaa anacho preach u will understand how we gonna solve this
WHYMYCATISSAD?@influencerjr

Kwa nchi ambayo inaendeshwa kwa sheria, kanuni na taratibu mtu naenda kuchukuliwa kwake na hafahamiki yuko wapi mpaka sasa inaleta ukakasi sana. #FreeNinja

Indonesia
2
4
6
137
TheRed🐐🔴 已转推
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Neno la leo linatoka katika kitabu cha Zaburi 91:9-12, Kwa kuwa umemfanya Bwana aliye tumaini langu, Mungu kuwa makao yako,hakuna mabaya yatakayokupata, wala tauni haitakaribia hema yako; kwa maana atakuagizia malaika zake wakulinde katika njia zako zote" 🙏 #StaysafeNINJA
Indonesia
5
33
58
504
TheRed🐐🔴 已转推
ⒶⒹⒺⓎ
ⒶⒹⒺⓎ@adegotyou·
ⒶⒹⒺⓎ tweet media
ZXX
44
6.6K
11K
156K
TheRed🐐🔴 已转推
WeAreAllNinja- Free Ninja
WeAreAllNinja- Free Ninja@thenameis_Andro·
Mungu alitupa dunia tukae kwa uhuru na amani.. Wanatokea watu kwa maslahi yao wanataka kutuondolea alichotupa Mungu, ifike wakati mjiangalie kwenye kioo muone kama haya matendo yenu yanajenga jamii HASI au jamii CHANYA juu ya uongozi wenu.. Mnazingua KISENGE #FreeNINJA
WeAreAllNinja- Free Ninja tweet media
Indonesia
0
21
21
294
TheRed🐐🔴 已转推
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Stay safe Mkubwa 👊🏾
Sean 🦩 tweet media
HT
7
156
454
6.2K
TheRed🐐🔴 已转推
Billy
Billy@BillyTronix1·
Mrudisheni mwanetu nyie watu #FreeNinja
Billy tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
3
138
228
2.3K
TheRed🐐🔴 已转推
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Pray for my Gee @Ninja_Damour 🫡🫡
RaHeeM tweet media
English
8
251
607
8.8K
TheRed🐐🔴 已转推
🇹🇷GianT
🇹🇷GianT@mkemi4mkUu·
Iko siku tutaoneshana makali wanangu nyie endeleeni tu. #FreeNinja
🇹🇷GianT tweet media
Indonesia
10
210
447
11.1K
TheRed🐐🔴 已转推
Dick Zola ✌🏾
Dick Zola ✌🏾@mbeyud24·
Hizi mambo zinafanya huwa nakufuru sana huwa najiulizaga Mungu haoni haya au vipi mbona hawapi adhabu stahiki watesi kila siku sisi wa chini ndio tunaumia tutasubiri mpaka lini sasa ndio atulipie Stay safe and strong big bro Ninja #FreeNinja #FreeNinja #FreeNinja
Indonesia
2
69
87
1K