Sightmirror
71.5K posts


🙄 Msione yaelea vimeundwa! Kila mtu alishangaa kauli ya Chande kuhusu vijana kupewa mafunzo kwenye jengo ambalo liko kita 10 kutoka kituo cha polisi Kumbe chawa wa Abdul katoa code kuwa walilenga @ChademaTZ2 eti jengo la Ufipa Sasa mzee Chande atueleze kama hiyo ripoti waliandika pamoja na akina Abdul ama inakuwaje? Yaani mtu azuke kutoa details hizi kweli? Huu upumbavu wenu una mwisho na tunashukuru Mungu kawapiga upofu wanabwabwaja tu Ila #TutaelewanaTu #SamiaMustGo



✓ uandikaji wa Katiba Mpya hauna lazima ya kusubiri maridhiano, unaweza kuanza mara moja, wakati jitihada za kutafuta maridhiano zikiendelea; DILLY-DALLY DELAYING TACTICS HAZITAKUBALIKA; ✓ MUSWADA BUNGENI NI MUHIMU NA LAZIMA ili ku kickstart Mchakato wa Kuipata Katiba Mpya; ✓




‼️🚨TUSIPOAMKA NCHI IMEKWENDA‼️ Mungu ni mwema sana 🙏🏽 Kabudi ameropoka kila kitu na sasa ni dhahihiri hawana nia yoyote njema na Taifa 👉🏽Tulipewa taarifa kuwa Kabudi ndiyo mastermind kwa maelekezo ya Abdul na genge lake kuDOCTOR ripoti ya Tume ya Chande na ndo ameandaa hotuba ya Samia - tatizo lake ni mropokaji 🙄 Lakini kupitia hii interview ya BBC amejianika kuwa yeye ndo mwandishi na mpangaji wa mipango yote na ndiye anatoa maelekezo wala si @SuluhuSamia 👉🏽 Kabudi anaongelea Tume ya Uchunguzi ambayo imependekezwa na Tume ila ye tayari anaongea (siyo kwamba Rais kamwagiza bali kama yeye ndo Rais mwenyewe) kuwa wataitwa watu na sijui sheria ya Uingereza! Tume haijaundwa wala kupewa hadidu rejea - lakini tayari Kabudi anaeleza what will happen! 👉🏽 Ameweka wazi kuwa watatarget viongozi wa upinzani (CHADEMA), viongozi wa dini na wanaharakati! Yaani wakamate na wafunge midomo wote tunaoongea na kupaza sauti! Ila walioua na ushahidi upo ni polisi hawatawajibishwa! Hakuna Haki itatendeka 👉🏽Katiba mpya wanataka kuleta ya kwao na mmemsikia huko mwisho eti labda waingiliwe na “wasiotakia mema nchi” mnaandaaje Katiba Mpya na huku mnawinda na kukamata wadau muhimu kama wa upinzani na wanaharakati? Sasa eleweni watanzania kuwa genge la Abdul na mama yake wakishirikiana na wasaliti wa Tanganyika kama akina Kabudi hawataki maridhiano ya kweli wala Katiba Mpya Wao wanataka kujizatiti kwenye udhalimu wafunge kila anayekosoa na wanasema watanzania wawe waoga wasithubutu tena kuandamana au kupinga serikali yao! Wanasema mmeshakuwa waoga so bado kidogo mtafyata wote! Sasa nina swali kwa wazalendo wote - hivi kweli tumekosa ujasiri na akili kiasi hiki? Mko tayari nchi izamishwe iwe himaya ya genge dogo la kilafi? Mnaelewa CONSEQUENCES? Kwamba Kabudi na wenzake wanapopeleka hii nchi ni kuDESTROY! Miili ya wapendwa wetu hatutakaa kuzipata! Tunaopaza sauti sasa tutanyamazishwa na giza litafunika nchi! Muda ni huu kutafakari kama Taifa! Kama mtakubali kwenda na huu upumbavu hakuna watu wa nje kuja kutukomboa! Utabaki ukweli daima! The choice is yours! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo youtube.com/live/tKqybIs-j…







Kuna mambo yanaumiza sana kwenye hili Taifa.













