But that gal Sky Victor has confidence,mimi nikiwa age yake singoea hata kwa watu ...hata hakuna siku niliwahi soma story books or novel during my highschool or primary
Hata university wengine wakiambiwa tufanye presentation nilikuwa nahepa ama tukiforciwa natetemeka kama mwizi