MULLER 20
2.3K posts


@JinoUkucha Ulipofika nyumbani ukaanza kurusha Nini Mkuu 😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿
Indonesia

@zoetjesheeftX Hiyo siyo sababu ya kuachishwa kazi,sema kuna mambo yako nje ya uwezo wetu Ambayo ni siri ya mwajiri na mwajiliwa basi, kama mnaitaji uongo basi tupige umbeya tuu
Mbona kazini Na Leo Alikuepo,😂😂
Indonesia

Yule kondakta mrembo kuliko wote aliye jipatia umaarufu kupitia kampuni ya Mabasi ya Tilisho, inasemekana Kwa Sasa hayupo na kampuni hiyo licha ya urembo wake kutumika kuipa jina kubwa kampuni hiyo.
Kwa mjibu wa Carry Mastory anasema binti huyo alianza Kujiona ni mkubwa Kuliko Kampuni yenyewe, Carry anasema Kuna kipindi alihitaji kufanya naye mahojiano (interview), lakini binti alimzungusha na mwisho wa siku akamuambia hana muda licha ya Kila mara Kumuona akila bata sehemu mbalimbali.
Ila Kwa upande mwingine huyu binti hii tasnia kaipa ukubwa Sana kiasi kwamba watu Wana iheshimu sana, hata kampuni ya Tilisho yenyewe ilijitangaza kupitia binti bila kutumia nguvu wala gharama.

Filipino
MULLER 20 أُعيد تغريده
MULLER 20 أُعيد تغريده
MULLER 20 أُعيد تغريده
MULLER 20 أُعيد تغريده
MULLER 20 أُعيد تغريده
MULLER 20 أُعيد تغريده
MULLER 20 أُعيد تغريده
MULLER 20 أُعيد تغريده

@ze_mandevu Sure mkuu Laini ya kingzilla A.K.A Godzilla salasala moja 🔥🔥
Suomi




















