تغريدة مثبتة
Max Dowman
37.6K posts

Max Dowman
@ThomasPantaleo7
@YoungAfricansSc 🔰 @Arsenal⚪🔴fans ishi kwa hofu ya mungu kufa kupo 🥀❤God is love❤🥀
Cape Town, South Africa انضم Ocak 2020
595 يتبع1.3K المتابعون

@TonnyUnfiltered @AllyAssed13070 Kwa afya ya mjegeje..andaa maji ya uvuguvugu yenye chumvi..then jioshe kwa dakika mbili.
HT

@742Gilberto Kaka lookman tayari ilikua awake goli pia alikua kachoma kalala chezaji limekua zito kinoma aisee..Timber sijui anapona lini huyu tapeli hapana aisee
Suomi

@ThomasPantaleo7 Huyu jamaa anachoma knoma....hata game zote tumefungwa toka timber aende injury, magoli yote yeye ndo anachoma...mosquera should starts 2nd leg
Filipino

ukaitoa Gen z muwe mnachapa retweet tuu mabuloo😃😃

Man Like Sule™@Maichagange
Kimasihara masihara hivi hivi tunaenda Kuwa kizazi Cha wazazi Wa kwanza Ambao hawaangalii taarifa ya Habari
Filipino

@SwahiliRealTalk Kuna dawa masau wanauza ya njano fulani ivi wanaita sijui mafuta ya ndege iyo ni hatari
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Sema wakuu hata Ufanyeje Derby ya Simba na YANGA,Ngumu KUKAZA 😅
Wanaharakati uchwara hapa mtatusamehe tu💔

Indonesia

Walimtoa wapi huyo kinyamkera😇
M Ę C K I Ę @mee_nicodemus
Edmund ka-switch off kidogo tuu kasababisha makosa makubwa ya kuigharimu mechi nzima.
Indonesia

@Gery_Gerrald Wapo wengi yanga saivi hawana akili
Damaro nguvu bila akili
Mwanengo nguvu bila akili
Edmund nguvu bila akili 🚮
Filipino

@CharlesChelsea_ Yanga waingie sokon tu msimu ukiisha hakuna mchezaji humo
Indonesia

Hii lineup kila siku haijawahi kuwa na positive impact lakn bado Arteta amekomaa nayo..! SMH 🚮🚮🚮
Arsenal@Arsenal
🔵 𝗧𝗘𝗔𝗠𝙉𝙀𝙒𝙎 🔘 😤 Saliba and Gabriel holding it down ©️ Odegaard leading the fight ⚡️ Martinelli returns to the XI Let's make our mark, Gunners ✨
Indonesia

Araenal akifika fainali anabeba Uefa mapema sana mzee mana wapinzani milango yao hawajui kufunga, silaha yake uzuiaji🫵😂
LEWIS@lewis_FN1108
Arsenal ajitahidi sana asifike Fainali, hakuna timu ataweza kucheza nayo hapa
Indonesia









