Vimsafiitz_🇺🇸

983 posts

Vimsafiitz_🇺🇸 banner
Vimsafiitz_🇺🇸

Vimsafiitz_🇺🇸

@Vimsafiitz_

Boe from🇹🇿|mancity⚽️|individual Fx Trader📊

California, USA انضم Şubat 2022
2.1K يتبع611 المتابعون
Haulay
Haulay@Positivenga1·
To be honest ni bora kuwa bodaboda ukiwa na malengo ya kwamba bodaboda ni mwanzo tu, kuliko kufanya forex miaka 5 na 10 na bado huna mwelekeo. Nikibakiwa na option 2 za aidha bodaboda au Forex nachagua Bodaboda!
Vimsafiitz_🇺🇸@Vimsafiitz_

@Positivenga1 Mjina no1 ni wewe unatak wote tuwe bodaboda

Indonesia
3
0
6
310
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Wote tukiwa wajinga na viazi kuna watu ndo wanafurahi!😅? Na wanafaidika?
Indonesia
3
0
8
522
Wakunesa
Wakunesa@Savasec·
Huyu Msenge Mwambieni nampa masaa 7 aje aombe msamaha.Kifuatacho naenda kuachia Movie.
Wakunesa tweet media
Indonesia
50
30
162
7.2K
Vimsafiitz_🇺🇸
Vimsafiitz_🇺🇸@Vimsafiitz_·
Vipo huko kwa kanji na vindege sio kamali 😂
Vimsafiitz_🇺🇸 tweet media
Filipino
0
0
1
45
The Top P🇹🇿
The Top P🇹🇿@The_PR0F3S0R·
Nimefanya biashara za physical na ninazifanya bado.. Ugumu na challenges na faida zake nazijua.. Na online businesses nimezifanya pia... Ninachopinga mimi ni mtu kutoa hoja za uongo kisa tu alifeli upande mmoja.! Hakuna biashara rahisi..risks zipo kote.!
Filipino
4
3
22
514
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Tanzania kama kuna watu laki moja wana trade forex, basi wanaotengeneza pesa/faida sustainably kwenye soko (sio kwa ada za kufundisha wenzao, sio kwa kuuza signal, sio kwa kudhaminiwa na brokers), wakiambiwa wapande daladala moja (sio costa), wote wanakaa kwenye siti na kuna siti zitabaki wazi. Na hata hao wachache wanaotengeneza faida, wana siri ambayo hawawezi share na wanafunzi wao na watakufa nayo. Kama wewe unahisi utapata siti kwenye ilo daladala nakupa pongezi sana.
mwalimu wa diploma@DizoFx

@Positivenga1 Hii sio biashara ya HKL Advance enyewe physics imekushinda unadhani forex utaweza Wengi wenu ambao mpo tofauti na hii biashar ni wale ambao mmejaribu mkashindwa Akuna biashara nyepesi kama forex Nina miaka 9 tangu nianzee na sijawai acha ata siku moja UKU MSIJE

Filipino
6
2
15
3.4K
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Kipindi nacheza Forex ulikuwa ukigusa story za kuipondea Forex nilikuwa natamani nikurukie. Na baadae niligundua ulikua ni utoto wa kifikra sio kiumri. Nilichokuwa napitia ndio ambacho wacheza forex wengi wanapitia sasa. Vijana wenzangu ile sio biashara ya kubet potential na future yako yote. Africa tuna matatizo mengi makubwa sana ambayo ukitatua ni pesa nyingi sana! Lets go solve them.
Indonesia
41
14
123
13.1K
The Top P🇹🇿
The Top P🇹🇿@The_PR0F3S0R·
Agh nimecheka kinoma hii asubuhi😂😭 Jamaa anasema Forex ni hatari kwa sababu broker anaona stop loss zako na yeye ndo adui yako😂😂😂😭😂😂 Kweli "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Ila Wachambuzi😂😭🙌
The Top P🇹🇿 tweet mediaThe Top P🇹🇿 tweet media
Filipino
11
1
18
2.8K
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Nina hisi deni kwenye nafsi yangu, kuwa na exposure ndogo niliyonayo na kukaa kimya nikiona vijana wenzangu wana angamia. Kuhusu engagement; ninapingana na forex trading toka 2021. That means i have been hunting engagements since 2021.
Haulay tweet media
leo@leo_unsc

@Positivenga1 Leo umeamka kutafata engagement mtu mwenye exposoure kama wewe kutokuelewa kwamba forex ni biashara kama biashara nyingine na biashara sio kwajili ya kila mtu inashangaza sana.

Filipino
3
3
17
1.7K
Vimsafiitz_🇺🇸
Vimsafiitz_🇺🇸@Vimsafiitz_·
@Positivenga1 Brow kila biashar ndo ivo ivo ata kilimo dadek 😂 imagine nmekod shamba,nmelima,mbolea, af mkuluma anakuja nunua Gobo 80😭 shambani apa nawaz au niache tu nije nivune
Vimsafiitz_🇺🇸 tweet media
0
0
1
32
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Gemini anaielezea Retail Forex Trading kwa maneno marahisi sana; “Fikiria kama wewe unaingia kwenye uwanja mkubwa wa mpira ambapo unataka kucheza mechi dhidi ya timu nyingine ili upate ushindi, lakini unapofika uwanjani unagundua mambo matatu ya kushtua. Kwanza, mwamuzi wa mechi hiyo ni yuleyule anayecheza upande wa timu pinzani. (Mara nyingi Broker wako ndo Counterparty) Pili, mpira unaotumika umetengenezwa maalum ili uwe mwepesi kwao lakini uwe mzito kwako, (mambo ya Slippage) na tatu, ubao wa matokeo unasimamiwa na wao wenyewe.(Broker wako anaona ulipoweka Stop loss and cant push the price to hunt it) Je, unadhani unaweza kushinda mchezo kama huu? Hiyo ndiyo hali halisi ya "Retail Forex Trading."
MWANAHISABATI@ArthurGeil

@Positivenga1 Kitu na ushahidi!! Kwanini??

Indonesia
6
3
24
1.9K
UMEME⚡️
UMEME⚡️@sinahisa·
Usiombe Namba ya Whatsapp, tumia Xchat💬
Filipino
6
3
84
9K