𝐉𝐫 

19.6K posts

𝐉𝐫  banner
𝐉𝐫 

𝐉𝐫 

@imaaJr01

Influencer

انضم Mayıs 2024
1.3K يتبع4.1K المتابعون
𝐉𝐫 
𝐉𝐫 @imaaJr01·
UKARABATI WA MV LIEMBA WAFIKIA 64%, KUKAMILIKA JULAI 2026. Ukarabati wa meli ya MV Liemba umefikia asilimia 64 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 2026. Baada ya kukamilika, meli hiyo inatarajiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 30 kabla ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kama huu tena.
𝐉𝐫  tweet media
Indonesia
0
4
3
198
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
MIRADI YA KIMKAKATI NA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI. Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini. 1.⁠ ⁠Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000 2.⁠ ⁠Bomba la mafuta zaidi ya 10,000 3.⁠ ⁠Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000 4.⁠ ⁠Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400 5.⁠ ⁠Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.
Kilwafinest 🦈 tweet media
Indonesia
0
5
5
31
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
UKARABATI WA MV LIEMBA WAFIKIA 64%, KUKAMILIKA JULAI 2026. Ukarabati wa meli ya MV Liemba umefikia asilimia 64 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 2026. Baada ya kukamilika, meli hiyo inatarajiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 30 kabla ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kama huu tena.
Kilwafinest 🦈 tweet media
Indonesia
0
8
10
42
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
Waandamaji waliohamasishwa na wanaharakti uchwara @MariaSTsehai na @mangekimambi wakiwa mstari wa mbele kudai haki ya kuchoma mali za watu binafsi na mali za umma oktoba 29. Chadema na wanaharakati uchwara mjiandae na ripoti ya tume ya uchunguzi hapo kesho tarehe 23/04/2026
Indonesia
1
8
7
72
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
Serikali Yakamilisha Sera ya Taifa ya Uwekezaji 2026 Kukuza Uchumi na Ubia Serikali inakamilisha uandaaji wa Sera ya Taifa ya Uwekezaji ya mwaka 2026, inayolenga kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini, kufungua fursa za masoko na mitaji, kuharakisha uhamishaji wa teknolojia pamoja na kukuza ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) ili kuchochea ukuaji wa uchumi.
Godfather fan tweet media
Indonesia
1
10
8
75
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·

Stori za Pombe 👽 tweet media
Indonesia
0
7
4
28

6
5
32
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Uwezeshaji kwa Wananchi: ✅ Mikopo kwa Vijana, Wanawake na Wenye Ulemavu: Thamani: TZS Bilioni 94 Lengo: Kuinua uchumi wa jamii kwa makundi muhimu ya vijana, wanawake na wenye ulemavu. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kiongozi wa vitendo akiendelea kutekeleza mikakati ya maendeleo jumuishi kwa wananchi wote. Hatua hii ni ishara ya kujitolea katika kuleta usawa na fursa za kiuchumi kwa makundi yaliyosahaulika, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha maendeleo endelevu kwa wote.
Stori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet media
Indonesia
0
8
6
39
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Ukarabati wa MV Liemba wafikia 64%, kukamilika Julai 2026 Ukarabati wa meli ya MV Liemba umefikia asilimia 64 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 2026. Baada ya kukamilika, meli hiyo inatarajiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 30 kabla ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kama huu tena.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
6
5
83
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
MTANZANIA ASHINDA MEDALI YA FEDHA NCHINI MAREKANI Aliphonce Simbu amekuwa mshindi wa pili Boston Marathon 2026, kwa mara ya pili mfululizo, akitumia saa 2:02:47, Mwaka 2025 alitumia saa 2:05:04.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
6
6
71
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Miradi ya kimkakati na fursa ya ajira kwa vijana nchini Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini. 1.⁠ ⁠Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000 2.⁠ ⁠Bomba la mafuta zaidi ya 10,000 3.⁠ ⁠Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000 4.⁠ ⁠Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400 5.⁠ ⁠Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
8
7
129
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
MTANZANIA ASHINDA MEDALI YA FEDHA NCHINI MAREKANI Aliphonce Simbu amekuwa mshindi wa pili Boston Marathon 2026, kwa mara ya pili mfululizo, akitumia saa 2:02:47, Mwaka 2025 alitumia saa 2:05:04
Ngadu tweet media
Indonesia
0
7
8
33
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
Miradi ya kimkakati na fursa ya ajira kwa vijana nchini Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini. 1.⁠ ⁠Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000 2.⁠ ⁠Bomba la mafuta zaidi ya 10,000 3.⁠ ⁠Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000 4.⁠ ⁠Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400 5.⁠ ⁠Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.
Ngadu tweet media
Indonesia
0
8
8
56
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
Ukarabati wa MV Liemba wafikia 64%, kukamilika Julai 2026 Ukarabati wa meli ya MV Liemba umefikia asilimia 64 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 2026. Baada ya kukamilika, meli hiyo inatarajiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 30 kabla ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kama huu tena.
Ngadu tweet media
Indonesia
0
8
7
50
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
MTANZANIA ASHINDA MEDALI YA FEDHA NCHINI MAREKANI Aliphonce Simbu amekuwa mshindi wa pili Boston Marathon 2026, kwa mara ya pili mfululizo, akitumia saa 2:02:47, Mwaka 2025 alitumia saa 2:05:04.
Kilwafinest 🦈 tweet media
Indonesia
0
7
6
37
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Mondinho Diallo
Mondinho Diallo@Mondinhodiallo·
LONG SLEEVE T-SHIRTS🔥 PURE LINEN 100% (BIG SIZE SHIRTS) SIZE: 3XL 4XL 5XL 6XL PRICE: 30,000/= CALL & DM +255626560477.
Mondinho Diallo tweet mediaMondinho Diallo tweet mediaMondinho Diallo tweet mediaMondinho Diallo tweet media
English
10
46
68
2.2K
𝐉𝐫  أُعيد تغريده
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Leo ni uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Nishati 2026/27
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
0
3
2
53
𝐉𝐫  أُعيد تغريده