K I U

687 posts

K I U banner
K I U

K I U

@kiuactor

Actor & Content Creator

Dar es Salaam, Tanzania انضم Haziran 2015
399 يتبع102 المتابعون
تغريدة مثبتة
K I U
K I U@kiuactor·
@miz_mzwakhe I DECREE AND DECLARE WEALTH TRANSFER INTO MY HOUSEHOLD, IN JESUSCHRIST ALMIGHTY NAME THE SON OF THE LIVING GOD, 🙏 AMEN.
English
0
0
0
41
K I U أُعيد تغريده
Chelsea FC
Chelsea FC@ChelseaFC·
The winning goal. 🔥 #CFC | #CHETOT
English
175
2.8K
22.5K
405.4K
K I U أُعيد تغريده
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
ikulu_Tanzania tweet media
ZXX
63
269
1.4K
44.3K
K I U أُعيد تغريده
OBBY
OBBY@thename_is_obby·
WAJUE MALAIKA NA VYEO VYAO Malaika ni viumbe wa kiroho wanaoaminika kuwa wajumbe, walinzi, au wahudumu wa nguvu za kimungu. Uzi 🧵🧵
OBBY tweet media
50
139
951
239.9K
K I U أُعيد تغريده
OBBY
OBBY@thename_is_obby·
Vijue vitabu vilivyopigwa marufuku na vilivyoondolewa kwenye Biblia Uzi Mrefu kiasi. twende sawa Moja ya topic ngumu kwenye ukristo ni pamoja na idadi sahihi ya vitabu vinavyotakiwa kuwemo ndani ya biblia, huku wakristo wakiprotestant wakiwa na vitabu 66, wakatoliki wakiwa na vitabu 73 na wa orthodox wakiwa na vitabu vinavyoweza kufika kati ya 76 mpaka 81
OBBY tweet media
Filipino
97
292
1.4K
312.4K
K I U أُعيد تغريده
Bixen
Bixen@heisbixen·
Best restaurant for date in Dar Es Salaam, Tanzania Part 2 21. Kukurico, Mikocheni
Bixen tweet media
Română
50
274
1.8K
249.4K
K I U أُعيد تغريده
Bixen
Bixen@heisbixen·
Best restaurant for date in Dar Es Salaam, Tanzania 1. Karambezi Cafe, Masaki
Bixen tweet media
Română
102
390
2.4K
262.6K
K I U أُعيد تغريده
Malachi Joseph Ministries
Malachi Joseph Ministries@JSMalachiJoseph·
Happy New Month Of August! FINALLY, GOD ANSWERED ME: Finally, God has given you the job, breakthrough, miracle, victory, testimonies, favor, healing, fruitfulness, prosperity, wisdom and protection in Jesus Christ name!
Malachi Joseph Ministries tweet mediaMalachi Joseph Ministries tweet media
English
0
1
2
18
K I U أُعيد تغريده
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
MAGETONI ndipo Wanangu wamechill muda huu, wanatazama juu kuamini Mwenyezi Mungu aliye hai ambaye ndie aliyempa rizki Mzee Bakhresa na MO, tunamtazama kwa kuamini kuwa hajatusahau kesho atatupa rizki yetu, nawapa tano Wanangu kwa kuendelea kuvuka vipindi vigumu ambavyo wengi waliamini tupo sawa ila moyoni tuna vita zetu kali sana. MAPENZI, yamekuwa machungu sana, kuna namna mpya ya ‘kujiuza’ inaitwa kuhudumia, utasikia Mwanaume asiye na pesa siwezi mpa nafasi, ndio hivyo Wanangu wana real love ila dunia inataka pesa, ugali dagaa kwenye amani sio utani, Dada zetu wamekubali wali nyama motoni sio vitani tena, mkono mtupu wa Mwanangu hauwezi kulambwa. INSTAGRAM, ni chaka ambalo tunatazama wenzetu walioshinda huku sisi tukiwapigia makofi kwa bidii mpaka pale zamu yetu itakapofika, tukiona wapo Dubai tunacomment kwa furaha, tukiona wapo Ulaya tunashangilia, maisha yetu yana vita nyingi sana kwahiyo tumechagua furaha kwakuwa chuki ni mzigo mwingine ambao hatuwezi kuubeba. HARAKATI, zimetusaliti sana Wanangu mfumo unataka tuwe Machawa, ajira zinataka tuvunje nazi na kuoga njia panda, Utajiri sometimes unataka kafara, wanaotupa nafasi wanapenda tufanikiwe ila sio kuzidi wao, wanaodai haki wanaitwa wajeuri, Chawa anaitwa Mchapakazi na Wanangu wapo mtu kati mbele kiza na nyuma moto. MICHONGO, imekuwa msamiati mgumu sana Wanangu, walioshika mpini wanavuta sana kisu kinatukata, Dada zetu wanashusha sana sketi kwakuwa vyeti sio kitu tena, Wanetu wanapiga Interview lakini hakuna nafuu bado kombolela halijalipa na kila tukijitokeza kubutua wanatuwahi. MITAA, inatudai sana Wanangu kwakuwa waliamini kuna sehemu tunaelekea lakini maisha yametupa njia mpya na mfumo haujatupa machaguo, bado wanatuona kitaa licha ya vyeti vyetu, kuna muda wanatucheka kuwa kiko wapi, kuna muda tuliowaacha kitaa wana maisha kuliko sisi. Unaona nini ukiwaona Wanangu? Fahamu unawatazama Washindi hao wapo vitani, hawana michongo ila wanavaa wanapendeza, wanakula na wanaishi, mioyo yao imejaa upendo wakiamini kesho nayo siku🫡
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
107
221
1.7K
77K
K I U أُعيد تغريده
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende. Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira. MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda, tushawahi shuhudia Wanetu wanaambiwa “Wewe sio type yangu” ila wapo busy kulamba vitambi vya Wakongwe na kujibebisha eti Dady, atasema sidate na Watoto ila analala na Mwanaume umri wa Babu yake. WANANGU kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na hawa Mabinti na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele, tuwe BIZE SAAANA kwakuwa wao ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu, tunao Ndugu na Wazazi wetu wanaotaka ushindi wetu. WANANGU tujibu texts zao pale ambapo muda umepatikana, tupokee simu pale ambapo hakuna mishe nyingine, tuwe busy tupambanie maisha, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu, mpaka mwisho Wanangu, wakisema sio romantic fresh, wakisema hatujali fresh sisi hatuna muda mwingi wa kujiteteta tunasaka USHINDI. MKULIMA WA BONDE LA MTO KILOMBERO.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
789
989
5.1K
853.4K
K I U أُعيد تغريده
Manifest_Lord
Manifest_Lord@Manifest_Lord·
Jason Statham is one of the finest action heroes of this generation, some says he’s our last action hero. but, before he stepped foot on his first movie set, He had a past life that would rival any of the characters he’s been on the screen. Let's dig into his life which helped him become the personality he is today.
Manifest_Lord tweet mediaManifest_Lord tweet media
English
1.2K
16.7K
192.5K
64.6M
Miz Mzwakhe Tancredi
Miz Mzwakhe Tancredi@miz_mzwakhe·
God is about to put you Where people don't think you belong.
English
12
8
67
1.7K
K I U أُعيد تغريده
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Simba Nguvu Moja 🦁
Latviešu
381
319
2.7K
301.4K
K I U أُعيد تغريده
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Ulikuja duniani huwezi kuongea kila kitu walikusemea na utaondoka duniani huwezi kuongea, kila Mtu atasema analojua. Siku ya kwanza kufika duniani ulilia sana na siku unayoondoka utawaliza sana watu, ingali wapo watakaofurahia. Uliishi kwenye tumbo la Mama kwa miezi tisa na siku ya mwisho utaondoka kwenda kuishi milele kwenye tumbo la ardhi peke yako. Kwenye birthday yako unakata keki na kushangilia ila siku ukiondoka tarehe ya kifo chako watachoma mishumaa na kuomboleza. Ulikuja duniani ukiwa mtupu bila nguo na utaondoka mtupu bila nguo. Ulikuwa Kiongozi mkubwa na walinzi kila kona ila kwenye jeneza utakuwa peke yako na Walinzi pekee ni Malaika wako kama ulifanya mema, inatisha sana. Ulipofika duniani walipambana kutafuta jina lako kwa furaha kubwa ila siku ya mwisho jina pekee ni Marehemu ambalo kila Binadamu atalibeba, majina ni mengi sana ila jina la kipekee ni hilo moja tu. Ulikuja duniani bila pesa na utajiri wowote na utaondoka bila chochote ulichovuna ama kupanda. Kwa mara ya kwanza ulipofika duniani uliogeshwa na siku ya mwisho unaondoka kuna Mtu atakuogesha. Ulikuja duniani ingali Mdhaifu kila kitu wanakufanyia na utaondoka dhaifu kila kitu watakufanyia watu wengine. Unajua nini? Tuna muda mchache sana duniani, fanya mema, heshimu watu na tumia muda wako vizuri, kesho hajaahidiwa mtu yoyote. Umeelewa maana ya maisha? Ni kuwa hupaswi kuishi kwa kusema watu, hupaswi kuogopa watu ila chagua amani nyakati zote kwakuwa maisha yetu hapa duniani ni mafupi sana na utaondoka peke yako. MKULIMA WA BONDE LA MTO KILOMBERO, MOROGORO🇹🇿
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
42
49
624
37.5K
K I U أُعيد تغريده
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa  kwenye Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University)ambapo alitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) Jijini Seoul tarehe 03 June, 2024
ikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
25
53
249
9.3K
K I U أُعيد تغريده
Miz Mzwakhe Tancredi
Miz Mzwakhe Tancredi@miz_mzwakhe·
Never forget 3 types of people in your life: 1. Who helped you in your difficult times. 2. Who left you in your difficult times. 3. Who put you in difficult times.
Miz Mzwakhe Tancredi tweet media
English
3
11
66
1.5K
K I U أُعيد تغريده
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Niliingia leo kama Deiwaka tu kumshikia Kaka Turpa kwenye XXL ya CLOUDS FM 📻
Indonesia
21
45
708
22.8K
K I U أُعيد تغريده
January Makamba
January Makamba@JMakamba·
Mganga ni Mungu na Subira. Subira ni imani katika hukumu ya wakati. Wakati hufifisha, hufufua. Wakati hutenganisha batili na kweli, bandia na halisi, povu na bia. Wakati hukatili fitna na uonevu. Wakati haurakishwi wala haucheleweshwi. Wakati ni duara, mzunguko wake hubusu haki.
Martin Kanuni@Wizarayavijana

Kaka @JMakamba kuna watu tangu kitambo wanakutandika sana na figisu,tena kuna Wakati hadi wakakuita Kigogo,sijui majenereta,lakini hadi leo bado unadunda tu.! Miaka zaidi ya 10!!!Mimi naomba tupe siri moja tu kaka mganga wako nani??

Indonesia
54
143
533
60K
K I U أُعيد تغريده
Malachi Joseph Ministries
Malachi Joseph Ministries@JSMalachiJoseph·
Mei ni Mwezi wetu wa MIUJIZA MIKUBWA NA MIKUU katika kila eneo la Maisha yetu, Unapoingia Mwezi huu wa Mei, pokea baraka na miujiza yako ya mwezi huu katika Jina la Yesu! Amina!
Malachi Joseph Ministries tweet media
Indonesia
0
1
1
21