Licious_tz أُعيد تغريده
Licious_tz
10.2K posts


#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imeweka bayana taarifa yake na ni jambo la kihistoria kwa sababu toka awamu ya pili ya uongozi wa nchi yetu hii ndiyo Tume pekee ya Rais wa nchi yetu iliyoweka wazi matokeo ya taarifa yake. Hongera sana Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ukomavu huu
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imeweka bayana sababu mbalimbali zilizobainika kusababisha utekaji na kupotea kwa watu nchini ikiwemo sababu za kimapenzi. Tunawashangaa Wanaharakati Uchwara kushabikia sababu moja pekee iliyoelezwa na Tume kwa sababu wanazozijua wao. Tunaendelea
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Kwa mara ya kwanza, Tume ya Rais wa nchi imependekeza namna ya kukamilisha mchakato wa kuipatia nchi yetu Katiba Mpya ili iweze kutumika kwenye chaguzi zijazo. Wanaharakati Uchwara hawataki tena hoja ya Katiba Mpya. Tumewapuuza.
#TumeNaUkweli
Indonesia

wanatamani kuonea Watu kwa kisingizio cha hisia na upotoshaji wao waliokuwa wakiufanya kabla na baada ya uchaguzi. Tunaendelea kuwapuuza.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29 imewasilisha mwelekeo wa nchi kuhusu namna ya kushughulikia tuhuma za jinai zilizojitokeza kwenye vurugu hizo na kupendekeza uchunguzi wa kina wa kijinai. Wanaharakati Uchwara hawakati kuona mizania ya haki bali
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeanisha kwamba vipo Vyama vya Siasa, Wanasiasa na Wanaharakati ambao walialikwa kwa maandishi kufika mbele ya Tume lakini hawakufanya hivyo. Tunawashangaa wanavyohangaika kuikosoa Tume wakati walipewa nafasi na
Indonesia

@SkyNews @BarbaraGSerra This person here is encouraging people to kill police and burn petrol stations days before the protest is this a peaceful protest?
English

@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?"
Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025.
🌍 trib.al/zff6Z7W
English
Licious_tz أُعيد تغريده

Sekta binafsi ilipata hasara kubwa ya bilioni 89 (71.2%) ikilinganishwa na sekta ya umma bilioni 36 (28.8%). Wajasiriamali wadogo walipoteza bilioni 1.6 kwa mali zilizoibwa wakati wa ghasia. Hii inaonyesha athari kubwa kwa uchumi wa kawaida. #RipotiYaChande
Tume Ya Uchunguzi

Indonesia

Jaji Chande Othman alisisitiza kuwa uchunguzi ulidumu siku 153 na kuhusisha maeneo mengi. Watanzania walionesha hamu ya maridhiano licha ya maumivu. Yaliyotokea si taswira halisi ya Utanzania wetu bali ni somo la kujifunza. #RipotiYaChande
Tume Ya Uchunguzi

Indonesia

Matukio ya Oktoba 2025 yalisababisha vifo 518 na majeruhi 2,390. Majeraha ya kijamii na kisaikolojia yanahitaji kuponywa kwa pamoja. Rais Samia ametoa wito wa umoja na uwajibikaji. #RipotiYaChande
Tume Ya Uchunguzi

Indonesia

Tume imetoa mapendekezo ya kuimarisha amani na uwajibikaji. Rais ameahidi kutekeleza ili kuepuka kurudia matukio. "Tumegusa kaa la moto na tumejifunza" – hii ni dhamira mpya ya kujenga Taifa imara. #RipotiYaChande
Tume Ya Uchunguzi

Indonesia
Licious_tz أُعيد تغريده

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imebaini kwamba hakukuwa na makaburi ya halaiki kama ilivyoelezwa na Wanaharakati Uchwara na Kituo cha Televisheni cha CNN.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imeeleza idadi ya vifo ni 518 na zaidi ya alfu 10 kama ilivyosambazwa na Wanaharakati Uchwara na Wafadhili wao.
#TumeNaUkweli
Indonesia

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Tume imeeleza kwamba kilichofanyika hayakuwa maandamano kwa kuwa yalikiuka Sheria za Kimataifa, Kikanda pamoja na Katiba na Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#TumeNaUkweli
Filipino









