cultured أُعيد تغريده

Kuna Siku hawa Wamama wa Hii Ploti nikama Waliona Sinanga Kazi Wakaamua kuniongeza kwa Kamkutano Yao Ya Kufagia Stairs, Nikawaambia Siezi Fagia Stairs mimi Kwani ni Mwanamke??
Wakasema basi kama Sioshi nisipite kwa Stairs nitafte Njia ingine..
Asubuhi Yake Nilifunga kamba kwa Chuma nikateremka hadi chini kama SWAT ,Wamama ni Nduru Ungedhani ni Graduation ya NYS,Mimi I can be Very Petty😭😅
Indonesia
















