Nutrihaven

5 posts

Nutrihaven banner
Nutrihaven

Nutrihaven

@nutrihaven

Wellness, Simplified

انضم Ağustos 2025
19 يتبع5 المتابعون
Nutrihaven
Nutrihaven@nutrihaven·
Dalili za upungufu wa Vitamin D * Uchovu usioelezeka * Maumivu ya mwili (misuli na mifupa) * Kupungua kwa hali ya furaha, (unexplainable low/sad mood, moodswings) Je, unajua kwamba watu wenye ngozi ya Kiafrika hupungukiwa uwezo wa kunyonya miale ya jua inayotengeneza Vitamin D.
Indonesia
0
0
0
6
Nutrihaven
Nutrihaven@nutrihaven·
Hali ya kujiskia mwili umechoka kila wakati, kukosa nguvu au hata kujiskia huna mood ya kufanya shughuli zako za kila siku sio hali ya kawaida. Mara nyingi inaweza kuwa ishara kwamba mwili wako hauna kiwango cha kutosha cha vitamin D.
Indonesia
0
0
0
5
Nutrihaven أُعيد تغريده
oncointelligence
oncointelligence@oncointelligenc·
Ever wanted to directly impact community health?  ➡️ Here's your chance. The #TumboFresh campaign needs volunteers for Colorectal Cancer sensitization and free health screenings in Dar es Salaam. forms.gle/NPmumu4c2T6T1L… Scan the QR code → Apply before Aug 20, 23:59
oncointelligence tweet media
Tanzania 🇹🇿 English
0
8
11
331