#Neno...NANI ANAWEZA KUBADILISHA UKUU WA MUNGU? Ayubu 40:6-14....Yaani hakuna anayeweza kubadilisha hukumu ama uamuzi wa Mungu, hakuna awezaye kutoa sauti kama yake, hakuna awezaye kuwa na mkono kama wake, hakuna wa kulinganishwa naye, wacheni aitwe Mungu! Tukutane Galilaya!
#Neno...HATA DUNIA IBADILIKE, HATUTAOGOPA! Zaburi 46...Dunia inaweza badilika lakini Mungu habadiliki, hivyo hata misukosuko ije, mwana ligi amua kwamba hautaogopa, Mungu wa Yakobo ndiye kimbilio lako! Tukutane Galilaya!
#HapaNdipo#NuruNaEvahMwalili@EvahMwalili
Then he called for Moses and Aaron at night and said, “Rise up, get out from among my people, both you and the sons of Israel; and go, worship the Lord, as you have said. ” Ex 12:29-32
#RechargeWithMaria#ListenAndLive@maria_speaks
Text:20933 Wa:0717400555
#Neno...MUNGU HUWALINDA WENYE HAKI. Zaburi 37:27-29..achana na ubaya na utende wema, tenda haki, wacha Mungu Baba yako apendezwe na matendo yake nawe utafurahia, utahifadhiwa, uzao wako pia utahifadhiwa na utamiliki nchi! Barikiwa na Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili
And He said, “Your name shall no longer be called Jacob, but Israel; for you have struggled with God and with men, and have prevailed.” Gen 32:28
#RechargeWithMaria#ListenAndLive@maria_speaks
TEXT:20933 WA:0717400555